Search results

  1. Asad

    Magufuli atumia lugha ya Kiswahili kwenye hotuba ya kumkaribisha PM wa India

    Nampongeza kujiamini na kuongea kiswahili lugha ambayo ni comfortable kwake. Tuangalie mambo ya msingi kama hiyo miradi walioingia mikataba na fursa ya dengu. Sijui uwezo wao hao wahindi waliopewa mikataba ya maji sababu kuna mradi maji Ng'apa Lindi walipewa wahindi wametelekeza site wananchi...
  2. Asad

    Barabara za NACHINGWEA - NANGANGA na RUANGWA NANGANGA zitakumbukwa lini?

    Nimejaribu kufuatilia kama kuna mipango yoyote ya ujenzi wa barabara za kutoka NACHINGWEA -NANGANGA (Km. 45) na RUANGWA - NANGANGA (Km. 60) kwa kiwango cha rami maana barabara hizi zimekuwa kero na ucheleweshaji wa maendeleo ya watu wa maeneo hayo bila kusahau barabara ya NANGURUKURU - LIWALE...
  3. Asad

    Mbowe: Mimi kisiki, anayetaka kujipima ubavu na mimi aje

    Mbowe ametangaza kugombea lakini hajawa Mwenyekiti, bado kuna mchakato wa uchaguzi naamini wapo wagombea wengine wenye uwezo watajitokeza na ni jukumu la wanachama kuchagua wanayeona anawafaa
  4. Asad

    Kugoma kwa Wafanyakazi Strabag: Pesa zao zadaiwa kuchotwa na Kinana!

    By Sturmius Mtweve and Felix Lazaro ,The CitizenReporters Posted Wednesday, April 30 2014 at 00:00 Dar es Salaam. A parliamentary committee yesterdayconfirmed the worst government budget expenditure news -- that up to 60 percent of the money allocated for development projects under the local...
  5. Asad

    Bungeni pawaka: KURA YA SIRI vs KURA YA WAZI

    Easter Bulaya na Prof Kapuya ndio majasiri wa leo sio Lusinde anayeongea kulinda maslahi yake binafsi.
  6. Asad

    Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Shukrani kwa fastjet, Mbeya - Dar, mwe!!
  7. Asad

    Mpasuko CCM: Watofautiana juu ya Serikali mbili

    Suala hili la muundo wa Muungano ni la kihistoria Tume za Jaji Kisanga na Jaji Nyalali ambazo baada ya kuchukua maoni ya Watanzania zilipendekeza kuwepo kwa Serikali tatu, na pia tunakumbuka mijadala ya mwalimu Nyerere miaka ya 1993/1994 na kundi la G55 ambapo wabunge na viongozi wengi wa CCM...
  8. Asad

    Polisi inabidi wadhibiti midomo michafu. Wanaomtukana Rais wanakuwa wametutukana watanzania wote

    Mawazo yako ni kama ingekuwa Tz ni nchi ya Kifalme, lakini katika Demokrasia kukosolewa ni jambo la kawaida especial ukiongea hadharani kama vile unapiga porojo kijiweni, kiongozi lazima ufanye analysis ya kila neno unalotoa kinywani kwako, ndio maana wanakuwa na watu wa kuwaandikia 'speech'.
  9. Asad

    Serikali kuwalipa doctor, professor na wanazuoni sh 300,000 bunge la katiba ,kushusha hadhi taaluma

    Walipwe sawa tu, hakuna tofauti yoyote kati yao wasomi na wasiowasomi, linganisha hekima za Prof Banna na Lukuvi utaona kuwa elimu sio kigezo.
  10. Asad

    JK 'runs away from catching poachers'

    JK 'runs away from catching poachers' BY AISIA RWEYEMAMU 15th February 2014 Head of state says he knows some of the culprits Christiane Amanpour, (L), CNN Senior International Correspondent and host of CNN International's Nightly Interview Programme 'Amanpour' hosts President...
  11. Asad

    Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

    Hata mimi sikuamini masiko yangu kama kiongozi wetu wa nchi ndio katoa kauli hiyo, ukichanganya na ile ya Pinda kwa Polisi, basi tunasubili vita kati ya Green guard + Polisi na Red guard + Wananchi.
  12. Asad

    CHADEMA kusimamisha mgombea Kalenga ni kupoteza muda wao na hela za chama bure..

    Ningependa kutoa ushauri kwa viongozi wa chadema kutosimamisha mgombea Kalenga kwani wakifanya hivyo watakuwa wanapoteza pesa zao na muda wao bure, kwa sababu watashindwa vibaya na itakuwa aibu tupu. Demokrasia ni haki ya wananchi kuchagua kiongozi wanaomtaka, ukisema vyama vingine visishiriki...
  13. Asad

    TRA wanataka 18% mfanyabiashara faida 2-4%

    Wafanyabiashara wanaona shida kulipa kodi maana visingizio vimekuwa vinabadilika kila siku mara zina bei kubwa, mara hazirekodi manunuzi, mara 18% kodi, tupate elimu kwanza n.k EFD imekuwa kero kwa wafanyabiashara kwasababu inatunza kumbukumbu za biashara za kila siku kwahiyo ile fursa ya...
  14. Asad

    Video: ITV News ya UK yapeleleza biashara ya NDOVU nchini, yawarekodi wauzaji bila ya wao kujua...

    Aisee inasikitisha kumbe ndio mambo yao wafanyabiashara wa vinyago, sasa watu wa usalama waanzie huko.
  15. Asad

    Anapenda sana kudadisi mahusiano yangu

    Wewe funga ndoa, huo ndio utakuwa mwisho, sasa hv anajaribu kama utarudi kwake, ukifunga ndoa atakuwa adui yako bila sababu yoyote, nakueleza hili kwa uzoefu.
  16. Asad

    Mtikila: Nitajiuzulu Bunge la Katiba na kufungua kesi Mahakama Kuu

    Nakubalina kwa sehemu na Mtikila, tumechoka kusikia wenzetu wakilalamika kuhusiana na Muungano, umefika wakati wa kuwa na serikali ya Tanganyika, Zanzibar na ya Muungano, au itafutwe namna yoyote ya Muungano lakini Tanganyika nayo iwe na serikali yake. Katika Serikali mbili kama sasa Tanganyika...
  17. Asad

    CHADEMA yang'ara matokeo Udiwani: Ni zaidi ya ukanjanja wa siasa na uandishi

    Wapiga kura wa 2010 wengi ni wazee (conservatives) na CDM mtaji wao ni vijana ambao ni wengi mijini na hawana kazi kutokana na sera mbovu za CCM kama za shule za kata sasa hao ndio wapo wengi mtaani na hao ndio wanaenda kuiangusha CCM 2015, lakini ni vyema dada kujifariji sasa hivi kama wale...
  18. Asad

    Ya Chopa 3, ushindi Kata 3 na masuala ya msingi kwa wanaCHADEMA, wapenda demokrasia

    Nafananisha kelele za CCM kwa matokea haya kama yule Waziri wa Habari wa Sadam Hussen maarufu kama M.S.S yeye wakati Waamerika wamekwisha teka Baghdad alikuwa anatoa propaganda katika vyombo vya habari kwamba Waamerika hawawezi kuingia Iraq watawachakazwa, ndio leo uchaguzi huu na nyingine...
Back
Top Bottom