Yap hutatuona kwa sababu hatuwezi kumcheka bingwa mwenzetu wa UCL. Mkubwa hamcheki mkubwa mwenzake. Tunatania nyie watoto msioijua harufu ya kombe la ulaya. BJB FC
Japokuwa list ya majeruhi ni ndefu lakini kwa namna yoyote McTOMINAY ambaye ni mfungaji wetu bora anatakiwa aanze. Sijui ni kitu gani kinamuweka benchi AMAD, mara zote anazoingia unaona kabisa uwezo wake. Muambieni huyo mjinga ETH na leo amtoe tena MAINOO auone mziki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.