Hi all, an international NGO with offices in Dar inataka kukodisha mini iPads 13 haraka kwa ajili ya data collection (not later than 11th July). Kama unazo piga 0763140247. Rates and all else tutadiscuss. Again, this is urgent. Thanks!
Wanajamii, habari!
Nimegundua kuwa watu wengi huwa wanajisahau ku-renew title deeds zao pale ambapo muda wa kukodi(lease) umeisha. Ninahitaji information hizi kutoka kwa mtu ambaye binafsi ameshawahi ku-renew:
1. Procedures (hizi ningeweza kupata wizara ya ardhi but nataka taarifa kutoka kwa...
Habari wana JF,
Natumai mpo vizuri wakati huu wa "mapumziko". Nina swali kuhusu sheria za kuendeleza ardhi. Tunafahamu kuwa mara nyingi hati ya umiliki wa ardhi inapotolewa, mmiliki hupewa muda maalumu (mara nyingi miaka mitatu) awe ameendeleza ardhi hiyo. Swali langu ni: ni wakati gani ardhi...
Habari Wakuu,
The car is
BMW X3 sports- limited edition
Year- 2005
Mileage 90,000 km
cc 2400
Luxurious leather interior, CD changer, TV, AC and with a royal look and feel. I have just imported this car, got in Dar on the 4th of May 2015. Drives superbly and is good as new.
Price is...
Habari Wakuu,
The car is
BMW X3 sports- limited edition
Year- 2005
Mileage 90,000 km
cc 2400
Luxurious leather interior, CD changer, TV, AC and with a royal look and feel. I have just imported this car, got in Dar on the 4th of May 2015. Drives superbly and is good as new.
Price is...
Kiddo, if you think the mar in your computations doesn't affect and nullify your advice then you are a long way from home. Hiyo computation ndio foundation ya argument yako na advice yako, na ina makosa. Go find something to do. Sio unapoteza muda hapa trying to give people advice ya vitu...
Vijana, I'm not a lawyer, neither am I taking a law degree. This is a real-life scenario. Nimesearch online na nimepata answers according to American laws. Nia ya ku-post hapa ni kupata majibu as per Tanzania's laws. Kama unaweza kujibu, go ahead and help. Otherwise kaa kimya, sio unapoteza muda...
Habari wana JF. Naombeni msaada wenu kwenye scenario hii:
Kuna LLC ina two Directors, say A and B. A holds 90% and B holds 10% of the shares. Now, B has personal loans and her creditors are after her. Swali
a) Can a court order an injunction on the LLC's assets to pay B's personal loans?
b)...
Manjagata, asante sana kwa mchango wako. Naona, pamoja na uimara wa gari na uaminifu wa dereva na konda, umetukumbusha suala la makubaliano ya muda wa ufanyaji kazi. Vilevile tumepata habari "from the horse's mouth" kuwa biashara inalipa, kitu ambacho kinatia moyo. Hapo kwenye kijani, kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.