Search results

  1. A

    mini iPads needed for hiring by NGO ASAP

    Hi all, an international NGO with offices in Dar inataka kukodisha mini iPads 13 haraka kwa ajili ya data collection (not later than 11th July). Kama unazo piga 0763140247. Rates and all else tutadiscuss. Again, this is urgent. Thanks!
  2. A

    Msaasa kuhusu ku-renew hati ya kiwanja (renew of title deed)

    Wanajamii, habari! Nimegundua kuwa watu wengi huwa wanajisahau ku-renew title deeds zao pale ambapo muda wa kukodi(lease) umeisha. Ninahitaji information hizi kutoka kwa mtu ambaye binafsi ameshawahi ku-renew: 1. Procedures (hizi ningeweza kupata wizara ya ardhi but nataka taarifa kutoka kwa...
  3. A

    Msaada, Sheria ya Ardhi

    Habari wana JF, Natumai mpo vizuri wakati huu wa "mapumziko". Nina swali kuhusu sheria za kuendeleza ardhi. Tunafahamu kuwa mara nyingi hati ya umiliki wa ardhi inapotolewa, mmiliki hupewa muda maalumu (mara nyingi miaka mitatu) awe ameendeleza ardhi hiyo. Swali langu ni: ni wakati gani ardhi...
  4. A

    Bmw x3 sports limited edition for sale by owner- imported on may 2015

    Habari Wakuu, The car is BMW X3 sports- limited edition Year- 2005 Mileage 90,000 km cc 2400 Luxurious leather interior, CD changer, TV, AC and with a royal look and feel. I have just imported this car, got in Dar on the 4th of May 2015. Drives superbly and is good as new. Price is...
  5. A

  6. A

    Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja

    Kiddo, if you think the mar in your computations doesn't affect and nullify your advice then you are a long way from home. Hiyo computation ndio foundation ya argument yako na advice yako, na ina makosa. Go find something to do. Sio unapoteza muda hapa trying to give people advice ya vitu...
  7. A

    Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja

    Nimeanza kusoma, nilipofika hapo kwenye red nikaacha. Umejifunza wapi Math?
  8. A

    Vitabu kwa bei rahisi sana

    ebooks, you guys rock! Nimeweza kupata vitabu vya economics na mathematics nilivyokuwa natafuta kwa muda mrefu sana. Asante sana. Bless you.
  9. A

    T-marc na bot tanzania bado tu?

    T-MARC wameanza kuita. Bwana mdogo ameitwa. Hivi hawa jamaa package zao zikoje
  10. A

    Just how liable is a Limited Liability Company (LLC)?

    Asanteni sana wakuu. This is how a forum should be. Unatoa jibu, advice, comment yenye msaada.
  11. A

    Just how liable is a Limited Liability Company (LLC)?

    Wabongo kweli tunapenda ligi. Nimesema: TOA JIBU AU KAA KIMYA. Don't tell me to go refer somewhere else. Acha kupoteza muda wako na kujiumiza kichwa
  12. A

    Just how liable is a Limited Liability Company (LLC)?

    Vijana, I'm not a lawyer, neither am I taking a law degree. This is a real-life scenario. Nimesearch online na nimepata answers according to American laws. Nia ya ku-post hapa ni kupata majibu as per Tanzania's laws. Kama unaweza kujibu, go ahead and help. Otherwise kaa kimya, sio unapoteza muda...
  13. A

    Just how liable is a Limited Liability Company (LLC)?

    Habari wana JF. Naombeni msaada wenu kwenye scenario hii: Kuna LLC ina two Directors, say A and B. A holds 90% and B holds 10% of the shares. Now, B has personal loans and her creditors are after her. Swali a) Can a court order an injunction on the LLC's assets to pay B's personal loans? b)...
  14. A

    Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    Manjagata, asante sana kwa mchango wako. Naona, pamoja na uimara wa gari na uaminifu wa dereva na konda, umetukumbusha suala la makubaliano ya muda wa ufanyaji kazi. Vilevile tumepata habari "from the horse's mouth" kuwa biashara inalipa, kitu ambacho kinatia moyo. Hapo kwenye kijani, kama...
  15. A

    Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    Jodoki K, asante sana. Nina jamaa yangu ambaye anafanya hii biashara Shinyanga. Miezi miwili iliyopita moja ya Hiace zake ilipinduka na kuuwa abiria wawili (askari) na kujeruhi wengine kadhaa. Bahati nzuri alikuwa amekata "CTP Insurance" na "Comprehensive Insurance" hivyo "liability" haikuwa...
  16. A

    Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    King Kong III, asante sana kwa mchango wako. Naona kwamba suala la dereva (na konda) bado linaendelea kuwa changamoto nambari moja. Nimefurahi kusoma ya kwamba kuna wadau wengine ambao wanataka kujikita kwenye biashara hii, ishara ya kwamba inalipa. Swali moja tu King Kong III: Unaposema ya...
  17. A

    Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    Chasha, asante sana kwa mchango wako. Kwanza, ninatumai ya kwamba unajaribu kujibu kipengele cha "Mwisho ningependa wamiliki na wadau wengine watueleze wanauonaje muelekeo wa biashara hii kwa Dar, sasa ambapo DART ipo njiani" kilichopo kwenye uzi huu. Pili, ninaomba tuchangie uzi huu kwa uzoefu...
  18. A

    Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    Nyenyere, haya maelezo yako yatanisaidia sana katika kuendesha biashara hii na ninaamini kuwa wengine wengi watanufaika sana pia. Kwa muhtasari tu, mambo mawili muhimu ambayo nimeyaona ni 1) Uzima wa gari 2) Uaminifu wa dereva. La kwanza lipo ndani ya uwezo wetu. La pili ni mtu kutafuta namna ya...
  19. A

    Biashara ya Daladala: Ushauri na Mbinu za Uendeshaji Wake

    Bluetooth, asante sana kwa taarifa hizi.
Back
Top Bottom