Recent content by Aman Ng'oma

  1. A

    Kifo cha Dkt. Magufuli chaacha sintofahamu kubwa kwa wafanyakazi

    Tukiwa bado tunaendelea na maombelezo ya Rais wetu, mchapa kazi hodari, mtu wa matokeo, msimamizi makini wa pesa za uma, mwenye kuhakikisha kuwa pesa iliyotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi inatumika kwa malengo husika na aliyetufundisha mengi na hasa uthubutu wa kuyaendea mambo. Kwa...
  2. A

    Mkulima Tajiri

    *Utangulizi* Kampuni ya *Kinasoru East Africa (T) Ltd* inakuletea semina kubwa na ya aina yake ya *Mkulima Tajiri.* *Mkulima Tajiri* ni mfululizo wa semina zinalenga kutoa elimu na mwamko mpya wa Kilimo Mkataba kwa mazao tuliyo na masoko nayo. Kwa kuanzia tutaanza na semina ya Kilimo Mkataba...
  3. A

    KILIMO EXTENSION SERVICE (KES)*

    Hii ni huduma mpya kutoka kwenye kampuni yako pendwa ya Kinasoru East Africa (T) LTD. Ni huduma inayolenga kujibu changamoto za wakulima na wafugaji katika mnyororo wa uzalishaji wa mazao ya kilimo na mifugo. Ukiwa na changamoto yoyote ya Kilimo na ufugaji, maswali ya ufahamu, kutaka kujua...
  4. A

    Request: Sua Graduate Entrepreneurs Success Stories

    *SUGECO IMEFUNGUA NJIA KWA VIJANA WAJASIRIAMALI KATIKA SEKTA YA KILIMO BIASHARA* Vijana wengi wa Tanzania tuna shida kubwa katika bongo zetu. Tumegeuka kuwa jamii ya kulaumu na kulalamika badala ya kuchukua hatua.Tunapenda urahisi. Tunasahau kuwa zama zimebadilika. Hatufikirishi vichwa vyetu...
  5. A

    Request: Sua Graduate Entrepreneurs Success Stories

    TUMEZOEA MAJUNGU NA FITINA Watu wamezoea kuishi kwa majungu na fitina. Naomba niwaambie kitu kimoja. Document hii haijaandikwa na mtu wa SUGECO. Imeandikwa na watu tu wenye nia mbaya na SUGECO, watu waliyozidiwa akili ambao wanatamani kuiona SUGECO ikichafuka na kupoteza haiba yake kwa...
  6. A

    Ijue kiufupi Rwinga na sababu ya Rais kutosimama Rwinga

    Wewe unaijua Rwinga kabisa, hongera
  7. A

    Barua ya wazi kwa Mheshimiwa Rais Dokta John Pombe Magufuli

    Shikamoo Mheshimiwa Rais. Awali ya yote nikupe pole kwa majukumu mazito tuliyokutwika. Mhemiwa Rais, nakuandikia barua hii nikiwa mtanzania kamili ninayetokea mkoa wa Ruvuma wilaya ya Namtumbo. Kwanza nikupongeze kwa kufanya ziara mkoani kwetu kwa hakika tulikumiss sana. Tunajua ujio wako ni...
  8. A

    Kuwa na mabanda bora ya kuku ni mtaji

    Mara nyingi ukiwa na banda la aina kama hii unapaswa kuwa na turubai ili ikitokea kuna mvua za upepo basi utalishusha
  9. A

    Karibu kwa fursa hii ya Pilipili Kichaa

    Jamani niwaambie ukuweli, kilimo cha pilipili ni hela. Soko liko tayari linakusubiri wala huitaji kulitafuta. Na bei halikadhalika ishabainishwa ni tsh 4000/= iliyokaushwa kwa kilo. Lakini pia kabla ya kuanza kulima unapewa mkataba wako kabisa wa market assuarance. Haina gharama sana kwenye...
  10. A

    Karibu kwa fursa hii ya Pilipili Kichaa

    Ni kuhusu kilimo biashara. Unapoamua kulima lazima akili ilenge faida. Hukuna tena kulima kwa kubahatisha au kufuata mkumbo. Kwa msingi huo, ndiyo maana Kampuni yetu ya Kinasoru East Africa (T) Ltd kwa kushirikiana na wadau wetu tukaja na kilimo cha mkataba kilimo ambacho mkulima unalima ukiwa...
  11. A

    Get soya beans and pegion peas from Kinasoru East Africa (t) ltd

    In a next season, starting from may next year, 2019, we expect to harvest about 1000 tones of Soya Beans and 2000 tones of Pegion Peas from our out grower farmers in Tanzania. The farm gates prices will be TZS 800/= and 1000/= respectively for each Kilogram. Deliverance service of these...
  12. A

    Fursa katika kilimo cha viazi lishe, tuchangamkieni upesi

    *YES, MAMBO SASA NI WAWA!* Leo kwa mara nyingine tena kampuni yetu ya *Kinasoru East Africa (T) Ltd* imerudi kwenu kwa ajili ya kutoa mrejesho wa programu yetu ya masoko kwa mazao ya kipaumbele ambayo ni *Viazi lishe, Pilipili Kichaa, Mpapai, Maboga Vibuyu (Butternut) na Maboga ya Kawaida.*...
  13. A

    Fursa katika kilimo cha viazi lishe, tuchangamkieni upesi

    YES, MAMBO NI WAWA! Hayo ndiyo maandalizi ya ghala la kukusanyia mazao yetu ya kipaumbele. Viazi lishe, Pilipili kichaa, Maboga Vibuyu na Maboga ya kawaida, Mapapai pamoja na Soya Lishe. Changamkia fursa sasa. Ukiingia mkataba nasi utajiweka kwenye nafasi nzuri ya kuendesha kilimo chenye tija.
Back
Top Bottom