Recent content by Alice Gisa

  1. Alice Gisa

    Mbunge wa Kawe, Josepat Gwajima atembelea Bunge la Japan

    Mbunge wa Kawe. Asikofu Dr Josepat Gwajima. Ametembelea Bunge la Japan. Hapa akituma salaam kwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson. Aidha Gwajima amepata mialiko kadhaa ya watu wa Tokyo kufika jimboni Kawe na kufanya mashirikiano...
  2. Alice Gisa

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Kahama ni wilaya moja yenye majimbo matatu na halmashauri 3. Kahama, msalal na ushetu. Jumlisha Kisha linganisha na njombe
  3. Alice Gisa

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Duh. Mbeya hakuna wafanyabiashara wakubwa. Ndege mara 4 kwa wiki. Wakati Mwanza mara 4 kwa siku na Kahama mara 3 kwa wiki
  4. Alice Gisa

    Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

    Kumbe Kahama MC inaizidi Moshi kwa mbali sana. Sasa ile kelele ya Moshi kua Jiji nini chanzo. Kumbe tarime pia iwe jiji
  5. Alice Gisa

    DR Congo: Muasi Sultan Makenga auawa

    Kumekuwa na uvumi wa muda mrefu kuwa Bri Gen Sultan Makenga kauawa vitani huko DRC. Hatimaye Leo zimevujishwa picha za maiti ya Makenga kwenye mitandao ya kijamii. Itoshe nisema hili ni pigo kubwa sana kwa M23 na kwa Rais Kagame bila kumsahau Lut Gen Kabarebe wa Rwanda. Brig Gen Sultan...
  6. Alice Gisa

    Tshisekedi Amjibu Kagame: "Chokochoko za Rwanda Zikiendelea, Hatutakaa bila Kufanya Lolote. Sisi sio dhaifu”

    Kagame kwa mara ya kwanza kanywea vikali. Kajisahau kasema M23 itaondoka DrC Sasa wanamuuliza yeye ni nani wa M23. Kaufyata. Anywhow ikitokea vita Kigali itaanguka within 2 weeks. Vitaa inaanza DRC wako KM 150 to Kigali. Na RW wako KM 1500 to Kishansa. Sasa defence line ya Rw ikivuja kidogo tu...
  7. Alice Gisa

    Paul Kagame ni nani EAC? Hii jeuri ya kujiamini hivi anaitoa wapi?

    Jamani Rwanda Kuna nini zaidi ya kuwekeza kwenye PR. Tz iko mbali sana kwa Rw
  8. Alice Gisa

    Paul Kagame ni nani EAC? Hii jeuri ya kujiamini hivi anaitoa wapi?

    Hukumbuki 2013 alisema atampiga Kikwete mahala panapoumiza kwa wakati sahihi
  9. Alice Gisa

    Paul Kagame ni nani EAC? Hii jeuri ya kujiamini hivi anaitoa wapi?

    Mie naomba DRC iivamie Rwanda. Afu madubwana tuunge mkono DRC. Haiwezikani Kagame awe tatizo lisiloisha yeye na mgogoro na kila nchi. Alimtukana JK na Tz. Akavimbia Burundi. Kavimbia Ugh kavimbia DRC kavimbia SA. Who is she.
  10. Alice Gisa

    Jeshi la Kongo DRC sasa linaweza kuidhibiti M23 na majirani wabaya

    Wanajeshi wa Rwanda wanauwawa kwa wingi wengine xnx na kukimbia wanaacha vifaa vya jeshi vyenye log ya jeshi lao. Sasa hakuna utata tena kua M23 ni RDF
Back
Top Bottom