Recent content by 2 PAC

  1. 2

    Kutokana na mahusiano yasiyoridhisha kati ya Lissu na vyombo vya dola,CIA,FBI,MOSSAD,MI5 yahusishwe kuchunguza

    Hivi uchawi kama ule wa wakenya hauwezi kuleta hawa wahalifu
  2. 2

    Ushauri: Nataka kununua home theatre!!

    sasa hizi bei manabishana wakati kila mtu amenunua hometheatre hata kama ni samsung speaker tano lakini zinaweza kuwa na specification tofauti.kuna nyingine zina 3d sourrings ya sound.wengine player ina blue ray nyingine blutooth.nyingine ni smart enhanced ..sasa hivyo ni vitu tofauti. ila...
  3. 2

    mark 2 grande 110

    mkuu kitu cha kwanza cha kuangalia ni knock sensor.jaribu kuangalia gari yako kama ina sensor hiyo ukiweza badili hiyo sensor gari imepona.
  4. 2

    Gari inayotumia petrol kutoa moshi tatizo ni nini?

    mkuu magari mengi sana sijuhizi yanatumia sensor kucontrol emission. moja ya sensor ni oxygen sensor na sensor nyingine ni knock sensor. jaribu kufanya uchunguzi kama hizo sensor ni nzima.nchi za watu wanafanya emission test na mara nyingi hizo sensor ndio zinakuwa na shida na ndio zinacontrol...
  5. 2

    Hii ikoje wadau? Mtu ana gari no A anabadili na kupata D?

    jamaani kwani gari kuwa number D inamaanisha gari kuwa mpya.kuna gari number A zinadunda mtaani na kuna D zipo icu au tayari zikishazikwa tayari. hivyo kama unanunua gari kwa kuangalia number D lazima utaliwa kichwa
  6. 2

    Msaada kati ya hizi gari CARINA TI,CARINA Si NA MARK II GRANDE.

    nafikri kwenye swala la ulaji wa mafuta sio cc pekee inaangaliwa.pia tecnolojia ya hiyo gari na pamoja na bodysize weight and engine power ration.na hapo ti na si ndio zinatofautiana
  7. 2

    Gari gani poa ya ''kifamilia?''

    wataalam wanasema Si ina advantage zaidi kuliko Ti kwakuwa body size ratio ya si ni sawa na power yake ukilinganisha ti body size ratio na weight ni kubwa kuliko power yake. hivyo fuel consumption ya si na ti ni kama sawa tuu japo si ni cc1790 .pia zinatumia tecnolojia ya learn burn inayopunguza...
  8. 2

    Carina si 1.8l

    asante mkuu
  9. 2

    Carina si 1.8l

    wadau naomba naomba uzoefu wenu wa gari ain hii
  10. 2

    Carina si 1.8l

    mshana jr Rrondo etc
  11. 2

    Carina si 1.8l

    wataalamu naomba kujua zaidi kuhusu gari aina ya carina si 1.8l matatizo yake garama za spare uwezo wake matumizi ya mafuta mjini na highway. maelezo ya ziada...
  12. 2

    At&t, t-mobile, verizon

    Mi nachifahamu kwa sasa simu nyingi zinakupa option ya kurun both unachagua kama unataka cdma au gsm mwenyewe na CDMA hasa inasupport 3g network services na gsm inasupport edge network zaidi. Kwahiyo kwa tz ukiwa mfano na line ya halotel yenye 3g across the country inamaana ni only few areas...
  13. 2

    Unayotakiwa kuyajua kuhusu battery, chaja za simu na tablet

    mkuu hilo swali la betri ya iphone kuwa na mah ndogo inategemeana na hardware na operating systerm simu inayotumia, hivyo betri consumption inaweza ikawa sawa tuu na simu yenye mah kubwa, ios ni very stable operating systerm pengine hata power consumption yake inaweza kuwa ndogo.hivyo...
  14. 2

    Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    Mkuu tambua ugonjwa wa kisukari unasababishwa na tatizo la hormone insulin, kunawatu wasio na insulin kabisa hao ni kisukari aina ya kwanza na kunaambao wanazalisha insulin isiyokidhi mahitaji au wanazalisha insulin ya kutosha lakini vipokeo vya insulin katika sehemu mbalimbali za mwili...
  15. 2

    Natafuta mwenye iPhone 3Gs tubadilishane na Nokia Lumia.

    Usijaribu huo ujinga mi ninayo ya 32 gb nimiweka kama Pambo tuuu , kwa sasa lumia ni bora kuliko hiyo iphone, isue ios capability, sasa apple wanataka release ios 8 ambayo hiyo haitakuwa compatible na 3gs watakuwa wamekula kichwa chako, wakati huo application nyingi zitaanziamios 6 wakati simu...
Back
Top Bottom