Recent content by 10Shoka14

  1. 1

    Nahitaji nyumba ya kununua Dodoma iwe ndani ya eneo la meta za mraba 1000 kwenda juu

    Waugwana habari za majukumu. Ninauhitaji wa nyumba kama nilivyoeleza hapo kwenye kichwa cha habari. Lakini kuna sifa ya ziada ambayo hiyo ndo itakuwa kivutio kwa Mimi kufanya manunuzi. Sifa hiyo ni nyumba hiyo wakati tunafanya biashara iwe inaendelea kuingiza pesa { iwe na mpangaji ama...
  2. 1

    Daraja linalounganisha Dodoma na Morogoro limevunjika, hakuna mawasiliano ya barabara

    Hawawezi kufa njaa,kwa wanaonda Dsm wanapita Mtera wanaingia Iringa kutokea hapo maisha yanaendelea. Ama laaaa wanabadili pa kwenda . Sema tu gharama ya maisha inaweza ongezeka kidogo kwa wasafiri waliokuwa wakitumia njia hiyo na bidhaa hali kadhalika.
  3. 1

    Furaha na Changamoto ya kufanya kazi nyumbani

    Kwa namna ya mkondo wa shughuli unazozifanya nakuomba kama utaweza jaribu kumfuatilia Fb huju mwamba huwa anaweka vitu vizuri kwa watu wa kaliba yako " Strive Masiyiwa " . Sent using Jamii Forums mobile app
  4. 1

    Friji la kisasa linauzwa

    Kama bei itapungua kufikia 500,000/= nipatie contact pm tufanye biashara
  5. 1

    Riwaya: Scolastica Temu

    Baharia Wa Buza Ulinusurika na "PAK"
  6. 1

    Kutuma mzigo kutoka Bukoba kwenda Iringa

    Mimi naweza kukusaidia lakini kama wewe utakuwa huru na amani moyoni mwako. Muda mwingi napatikana Singida au Dodoma kwahiyo naweza kuwa kiunganishi kwa huo mzigo lakini nitakuwa na maswali kwako kabla hatujafanya zoezi.Cheki Pm
  7. 1

    Mwaka mmoja umepita tangu kuacha kazi

    Nimekumiss King'asti siku moja nitafute nikutoe out
  8. 1

    Kwa nini siwaonei wivu matajiri

    Some advice to you,you may take it or not.If you will be comparing your richness against other human under the planet earth you will not go anywhere. Measure your progress against your vision,that will take you far better than where you are today. Just that
  9. 1

    Hawa wachina wanaharibu uchumi wa Nchi yetu

    Mkuu wachina wapo level zingine huwezi walinganisha na Tanzania kwenye mizania ya kibiashara hilo litakuwa ni kosa la kiufundi. Rejea vita ya kibiashara kati ya China na Marekani tangu D. Trump akalie kiti cha uraisi pale USA,hizo ndizo level za China. Huo unaolalamika uchafu kwamba miongoni...
  10. 1

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

    Apumzike kwa Amani. Pole kwa ndugu,jamaa na marafiki wote. Hii ni njia yetu sote ,tujiandae kila iitwapo leo hatujui saa wala siku .
  11. 1

    Kuna ukweli wowote wa NMB kuhitaji nyaraka za ziada kwa miamala zaidi ya milioni 5???

    Ulichokisikia kipo lakini hakiko sahihi. Kuna issue ambayo nafikiri ni utaratibu kwa mteja akitaka kuchukua fedha kiasi kwanzia 4 M kunakuwa na utaratibu wa teller kukuelekeza ukamsainishe incharge wake ile slip then unarudi chukua mzigo na mengine yanaendelea hamna maswali wala nini. Labda NMB...
  12. 1

    Wenye taaluma ya Habari naomba mnielimishe

    Asante kwa mrejesho wako. Mimi nina tabia ya kufuatilia mikutano tofauti tofauti huwa naona zipo habari zenye kuhitaji muendelezo lakini huwa haifanyiki hivyo. Mkuu kwanini sasa PPR isijaribu kulichukua hili kama opportunity.Mimi sina elimu yoyote juu ya uandishi wa habari ningekuwa nayo...
  13. 1

    Wenye taaluma ya Habari naomba mnielimishe

    Naomba kujua kutoka kwa wanahabari wetu. Sijawahi kuona muendelezo wa yale yanayotokea katika vile vikao vinavyokuwa vikifanywa na watu waliopewa dhamana ya uongozi miongoni mwetu. Je huwa kunaugumu labda wa kufuatilia zaidi yale yaliyojiri na kuleta mrejesho wake? Kwa mfano mtu anakuwa na...
  14. 1

    Tabora wanahitaji msukumo wa ziada kiuchumi

    Tz is not poor country no matter what period.
Back
Top Bottom