Samahani wana jf Nina Shamba langu ddogo la ekari 2 la muhogo. Ninatamani kutengeneza unga wa muhogo ili niuuze badala ya muhogo wenyewe. Plz ninaomba Mwenye uzoefu na kazi hiyo nipo Dar.
Nimechoka kuajiriwa, nina Mtaji wa Milioni 5 na nataka kujikomboa kupitia kilimo/Ufugaji. Naombeni Ushauri niingie kwenye kilimo/ufugaji gani kwa kuzingatia mtaji, uendeshaji na urahisi wa masoko...
Asilimia 40 ya mazao yanayovunwa Tanzania, yanaharibika kabla ya kumfikia mtumiaji kwa kukosa vifaa vya kuhifadhi mazao lakini pia kwa kukosekana viwanda vya kusindika.
SIDO wako wapi na...
Wakuu humu, heshima mbele. Nimefuga kuku kama 100 hivi wa kienyeji, na nawalisha pumba za mahindi mchanganyiko na mashudu, dagaa na madini. Wanaenda vizuri, ila shida ni kwenye utagaji...
Igweeeeee
Mfugaji aliyeko Dodoma na anauza kuku wa kienyeji, nahitaji matete 4 na jogoo moko, kwa ajili ya kufuga mbegu iwe nzuri.
Mdondo umenisafishia banda!
saizi ni ulimwengu wa smartphone na internet tumia fursa hii kueneza biashara yako mikononi mwa mteja.natengeneza blog na android mobile app kwa bei nafuu mno na kuiweka playstore kabisa.
blog...
Habari Wakuu,
Natafuta taasisi au watu binafsi mwenye utaalamu wa kilimo au Ufugaji ambao watakuwa tayari kutoa Elimu kwa watu wenye interest ya kulima mazao mbalimbali au kufuga mifugo...
Habari wanajukwaa,
Nataka nianze mradi wa ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa kwaajili ya biashara,naomba wenye uzoefu wa ufugaji huu wanisaidie kupata somo na mambo ya kuzingatia wakati wa...
Najiandaa kuanza ufugaji wa kuku aina ya koroiler pamoja na wa kienyeji ifikapo mwezi wa sita
Kama una uzoefu/ushauri kuhusu huu Mradi na namna ya kuuendesha kwa faida unakaribishwa uchangie...
Wana jf hapa najua kuna wataalamu wa kilimo. Sisi Watanzania asilimia kubwa ni wakulima, hata uwe mfanyakazi wa ajira sehem fulani baadhi yao wanalima.
Kinachoniskitisha hapa kwani tunashindwa...
Haiwezekani mtu anaomba msaada alafu watahalamu husika mpo kimya ivi kwastaili hiyo tutafika ayo mnayoleta nimambo yakitt MTU akiuliza anamaana yakua hajuui kitu so msaada wenu ndio nguvu kwawote...
Habari wanajamvi, nimepitia makala ya faida ya kilimo cha miti ndani ya jamvi iliyochangiwa mwaka 2012,Naomba mwenye mchanganuo wa kina kuhusu faida ya uwekezaji wa kilimo cha miti anipatie na pia...
Habari ndugu zangu, ninaomba kufaham kama suala la kufuga kuku wa kienyeji kwa muda mfupi kama wanavyofugwa kuku wa kisasa wa nyama linawezekana?. Nahitaji kufuga kuku wa kienyeji kuanzia wakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.