HAKIMU WA KIUME ADAIWA KUJIGEUZA BINTI, AKAMATWA AKIMFANYIA MTIHANI MPENZI WAKE
Hakimu mmoja nchini Uganda amefutwa kazi kutoka utumishi wa mahakama baada ya kukamatwa kwa kujifanya mwanamke ili...
Which nation Colonized Burkina Faso?
The historical backdrop of Burkina Faso incorporates the historical backdrop of different realms inside the country, like the Mossi realms, as well as the...
Hatimaye, zama za mbabe wa siasa za jirani zetu pale Kenya bwana Raila Odinga, dalili zote zinaashilia zi-ukingoni.
Kwa namna Rais Ruto anavyotaka kushughulika na mwamba yule, hakika, ni suala la...
Kwa mujibu wa Taasisi ya Parliament Watch ya Uganda, Maafisa hao wametajwa na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali kuhusika na ubadhirifu huo, hivyo wanapaswa kujieleza kwa Umma juu ya sakata hilo...
Kutoka Uganda Polisi nchini humo wanamshikilia Mwanaume (23) na Mpenzi wake (35) kwa kosa la kuingia nyumba ya Jirani wakiwa wanatoka Baa usiku kisha kufanya mapenzi kwenye kitanda cha Jirani huyo...
Shirika la ndege la Uganda limeripoti kuongeza mapato kwa kuingiza zaidi ya Dola 67,137 kutokana na kusafirisha maiti za raia wa Uganda kurejea nyumbani tangu kuanza kwa safari zake takriban miaka...
Sakata la Waganda Kubambikiwa Watoto na kukimbilia Kupima DNA limechukua sura Mpya baada ya Mpinzani wa Siku nyingi wa Serikali Dr.Kiiza Besigye kukataa Kupima DNA akisema yeyote anaemuita baba...
Kampuni ya usindikaji wa maziwa ya Brookside Limited, nchini Uganda imepunguza zaidi ya asilimia 50 ya wafanyakazi wake kufuatia kushuka kwa bidhaa zinazouzwa nje. .
Katika barua iliyotumwa kwa...
Ajali ya barabarani iliyohusisha lori na daladala kwenye barabara kuu ya Kagadi-Kyenjojo katika halmashauri ya mji wa Nyanseke-Muhorro, wilayani Kagadi.
Ajali hiyo pia imewaacha wengine kadhaa...
Kama kichwa cha habari kinavyosema, "Mchungaji Huyu Amefunga Kanisa Baada ya Kushinda Sh Milioni 100 za Uganda Baada ya Kucheza Sports Betting."
Anakiri kusema kwamba alikuwa anakazana kutoboa...
Raisi wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni amedai kuwa ameridhika na ufugaji wa ng'ombe wake nyumbani na hana tamaa na madaraka.
Kiongozi huyo amesema hayo wakati akimpigia kampeni mgombea ubunge wa...
Naibu Spika wa Bunge Thomas Tayebwa ameiomba serikali kuzuia tovuti zote za ngono ambazo alisema zinawaweka watoto kwa taarifa nyingi zisizofaa.
"Watoto wetu wanakabiliwa na katuni za...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewataka wananchi wa Taifa hilo kutupilia mbali anaouita uzushi wa kuwa amefariki kutokana na Uviko-19.
Hatua hiyo inakuja baada ya siku kadhaa kupita tangu Rais...
Renowned Ugandan businessman Apollo Nyegamehe has died after the car in which he was travelling rammed into a stationary lorry along Mbarara-Kabale highway in Ntungamo District.
The ruling...
Uganda. Waumuni wa Kanisa la Bunyonga, kaunti ndogo ya Kayonza wilaya Kayunga nchini Uganda ambapo mwanaume na mwanamke walikutwa wakifanya mapenzi katika madhabahu ya kanisa hilo, wamefanya ibada...
Wapenzi hao wamekutwa wakifanya kitendo hicho eneo la Madhabau Nchini Uganda na kusababisha kikundi cha Waumini kadhaa kuapa kutoingia tena katika Kanisa hilo lililopo Wilaya ya Kayunga.
Tukio...
Ni kauli ya Meja Jenerali Mstaafu Kahinda Otafiire, aliyewaomba Wabunge wa Uganda kuondoa bidhaa hiyo katika orodha ya Vilevi vilivyopigwa marufuku Nchini humo.
Waziri huyo amesema, sidhani kama...
Kurugenzi ya Uraia na Udhibiti wa Uhamiaji ya Uganda (DCIC) imesema imepokea barua kutoka kwa Wanaume wasiopungua 32 wakitaka kufutwa kwa hati za kusafiria za watoto wao baada ya matokeo ya vipimo...
Raia 26 wa Uganda wamefungua Kesi Nchini Ufaransa wakidai utekelezaji wa mradi huo (EACOP) kutoka Hoima, Uganda hadi Tanga umesababisha Madhara na umekiuka Haki za Binadamu ikiwemo Haki ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.