Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hi ladies & Gentlemen, Welcome to Brazil National Football Team special thread. Tuendelee kupeana updates mbalimbali kuhusiana na Timu ya Taifa ya Brazil. Nime attach full squad itakayoenda...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Hata championship Hakuna refa wa kiwango cha ovyo kama huyu. Kabla ya Mechi hii Nilikuwa naamini huyu refa ni dhaifu, lakini aliyoyafanya Leo nimejiridhisha ni refa wa ovyo kabisa nchini...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Sina mengi karata yanagu natupa 1. Brazil 2. England 3. France Huu ni mtazamo wangu tusizungume sana tuupe muda wakati wa kuamua 😂😂😂😂😂😂
0 Reactions
16 Replies
332 Views
Sitarajii Simba isajili mchezaji kama yule. Narudia tena Leo,nilikuwa namwona akicheza na Simba anakuwa na hasira sana na mara nyingine kutaka kukabana na wachezaji wa Simba. Hii ilikuwa ni chuki...
1 Reactions
3 Replies
417 Views
Hii ndio maana halisi ya kaka kuwa muungwana kwa mdogo wake hata kama mdogo wake hampendi, kuna muda ilibidi kaka afanye uungwana ajishushe kumkubalia mdogo wake amshinde ili kumuokoa na kuna muda...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Huyo no Rais wa heshima wa Simba ambaye atajulikana Kama Dr Mohamed dewji baada ya kutunukiwa udaktari wa heshima na George Town University (USA) Huyu jamaaa ni hatari kwani ametoa hotuba ambayo...
0 Reactions
5 Replies
724 Views
Ndugu zetu Kenya wamepeleka wanamichezo 93 sisi hapa tunapeleka watalii wangapi Olimpiki Japan? Au ndo bado tunachakata majina kupitia kamati kuu ya Olimpiki?
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Soka inaunganisha, na kwa kulifahamu hilo ndio maana FIFA kwa muda mrefu ilikuwa haitaki kuingiliana na Siasa, kama una mambo yako au mambo yenu malizaneni huko nje mkiingia uwanjani kuna lugha...
3 Reactions
20 Replies
978 Views
Wakuu tafadhali naomba mwenye nyimbo za mwimbaji maarufu wa nyimbo za Christmas Bw.James Reeves (a.k.a JIMMY REEVES) atuwekee hapa ili tudownload na kuenjoy nyakati hizi za sikukuu ya Christmas...
2 Reactions
11 Replies
7K Views
Kwa wachezaji wa nje wa hapa bongo wapo wanaokunja hadi milioni 10 lakini kwa wazawa wetu kuna utata. Tukija kwa wachezaji wetu wa hapa bongo, kunaweza kuwa na yeyote anaelamba walau dola elf 3...
8 Reactions
93 Replies
6K Views
Hivi kwa mfano ndio ingekuwa kweli shida ni nini? Hivi Wabongo nani katuroga? Kutwa kuhangaika na maisha ya Watu!! Mlitegemea Mayele afanye tangazo na Anna kwapa Nene au Shani Nyamichupi...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Morocco Egypt na Libya zilishakataa kuwa wao siyo Waafrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika! Na ni Morocco ndiyo waliopinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa...
32 Reactions
271 Replies
15K Views
Yaan hii nchi ni shida kila kona.Ona sasa Azam na wenyewe wameamua kutuua macho tusione.Mpira unaoneshwa kama wachezaji ni maroboti.
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Salaam wana jamvi! Moja kwa moja niende kwenye mada yangu, napenda kuwapongeza sana watu wa Asia kwa mapinduzi makubwa sana walioyafanya kwenye mpira kwa kipindi cha miaka minne yalidhihirika...
9 Reactions
11 Replies
776 Views
Hivi sheria inasemaje juu ya uvaaji wa jezi aina moja home and away? Naona jamaa hawabadili jezi.
3 Reactions
65 Replies
3K Views
Baada ya kufatilia uchezaji wa hawa miamba, Chama the brain football na Feitoto aka KDB nmegundua jambo hili. Kwa mpira wa kisasa Feitoto ni Bora kuliko Chama Takwimu zao Chama....goal 2 but...
6 Reactions
198 Replies
7K Views
Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa. Hawezi mfikia Kisinda au Aziz Ki kwa mbio. Hawezi kabisa. Mchezaji konokono wa nini sasa? Anatembea tu Uwanjani. TK Master anachomoka kinyama...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
  • Redirect
Habari Wana jamvi. Kocha wa Timu ya Taifa ya Morrocco Boufan amesema ushindi wao dhiya Hispania na kuingia robo fainali ya Kombe la Dunia Ni Dedication kwa Ulimwengu wa Waarabu.. Morocco...
0 Reactions
Replies
Views
90' Mwamuzi anamaliza mchezo 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 85' Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi Tuisila Kisinda anafunga goli la pili kwa Yanga 82' GOOOOOOOOOOO 75' Namungo FC...
2 Reactions
103 Replies
7K Views
Senegal: Simba wa Teranga. Cameroon: Simba wasiyofugika. Morocco: Simba wa Atlas. Tanzania: Simba wa kuifunga Utopolo. Au nasema uwongo ndugu zangu?
0 Reactions
7 Replies
569 Views
Back
Top Bottom