Simba mkimchukua Mpole ni bora muitwe mbwa

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,345
4,035
Sitarajii Simba isajili mchezaji kama yule.
Narudia tena Leo,nilikuwa namwona akicheza na Simba anakuwa na hasira sana na mara nyingine kutaka kukabana na wachezaji wa Simba.

Hii ilikuwa ni chuki ya wazi na siamini kama itaisha lada akacheze utopolo

JamiiForums mobile app
 
Sitarajii Simba isajili mchezaji kama yule.
Narudia tena Leo,nilikuwa namwona akicheza na Simba anakuwa na hasira sana na mara nyingine kutaka kukabana na wachezaji wa Simba.

Hii ilikuwa ni chuki ya wazi na siamini kama itaisha lada utopolo

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Asa pale atacheza namba ya Nani?
 
Back
Top Bottom