Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Kuacha kazi si jambo dogo. Lakini zipo sababu kadhaa zinazoweza kukufanya uamue kuacha kazi. Mosi, kupata kazi mpya. Unapoitwa kuanza rasmi kazi uliyoomba, ni vigumu kuendelea na kazi uliyonayo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ewura tangu watoe tangazo lao la kazi mwaka jana(2016) October na deadline kuapply ilikua tarehe 15 Nov,,mpaka leo hawajaita watu kwenye interview,Tatizo ni nini??
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wale vijana walio omba ajira zile 192 za matabibu wasaidizi na Wauguzi, pitieni tovuti ya Wizara ya Afya. Majina yapo tayari na tarehe za usaili pia
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Hello, Nimemaliza chuo mwaka jana (2016) Natafuta kazi ya kujitolea kampuni yeyote nina degree ya environmental studies Pia naweza kufanya data collection,data coding and analysis by SPSS, EIA...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
I Hold Bachelor's Degree In Mathematics (Bsc Maths) And I Have One Year Teaching Experience In Secondary Level. If There Is Any School Which Needs Mathematics Teacher Please 'PM' Me.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Calnej general supply. Ni kampuni inayodili na uuzaji wa jumla wa mikanda ya gypsum pamoja na angle(kona) za gypsum pia pamoja na gypsum body zenye, Hivyo tunaitaji kijana yeyote (me/ke) kwahajili...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu...Mimi ni Mchumi mwenye Digrii mbili za Uchumi. Natafta kazi (Part Time) ya kufanya Uchambuzi wa Maeneno mbali mbali ya Uchumi, Kijamii n.k. Nina uzoefu wa kufanya Uchambuzi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba kwa yeyote mwenye shule ya secondary ya private aniajiri kwa mkataba wa miaka 2 au 3 .ni mhitimu wa shahada ya elimu .nafundisha geography na history.kwa mawasiliano ni PM .
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa wasaka ugali . hivi kuna mtu anajua chochote kuhusu interview ya Bank Tellers Mtwara (NMB), mm naona kimya sjui wenzangu mshaitwa???? tujuzane please
1 Reactions
6 Replies
2K Views
efebfive@gmail.com Phone +255782833126
0 Reactions
5 Replies
926 Views
Nilikuwa nataka kutafuta kazi kwa njia ya mtandao katika mashirika haya; 1.TPC Moshi 2.Pepsi Arusha 3.Serengeti Moshi 4.SBL Arusha 5.Idara ya Maji Moshi 6.Idara ya Maji Arusha Naomba kuweza...
0 Reactions
5 Replies
966 Views
Hi all Am John Toss, a holder of Bachelor degree-Accounting. Strong in ERP software (SAP and ORACLE 6i), Quick book, Focus, Peachtree and Wings Ex. Having over 3 years of Experience in the...
1 Reactions
1 Replies
646 Views
  • Redirect
Habarini watuu,kuna muda ulikuwepo uzi hapa ukitoa taarifa kuwa majina kwa zile ajira 192 yametoka, na kukawekwa link ambayo nazani ni ya matabibu wasaidizi tuu,kwa mwenye link ya wauguzi pia...
0 Reactions
Replies
Views
Monday, 5 December 2016 FullStack developer for SafeMotos Duma Works is recruiting a FullStack developer for SafeMotos in Kigali, Rwanda. SafeMotos is a safer Uber for Africa’s motorcycle taxis...
1 Reactions
3 Replies
885 Views
Habari za mwaka mpya wakuu, bila Shaka ni wazima kabisa wa Afya na poleni kwa majukum ya kila siku. Katka mizunguko yangu ya hapa na pale Nilipata safari moja ya kwenda Morogoro sehemu moja...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Anahitajika mtu wa kufanya kazi kwenye Vodashop . Sifa; Awe anakaa mbezi au kimara.. Awe na Elimu ya form 4 Ajue kuongea kiingereza Awe msichana wa miaka 18 mpaka 30. Mawasiliano 0715407508
2 Reactions
20 Replies
3K Views
WAKUU!! Hizi hadithi za mitandaoni, majukwaani na kwenye vyombo vya habari kuhusu ajira za serikalini zitakoma lini????? make tumechoka nazo!!
4 Reactions
110 Replies
17K Views
Nina elimu ya Masters ya Project Management. Postigraduate ya Public Health. Bachelor ya Sociology. Uzoefu wa miaka 5 ya Monitoring and Evaluation!.. Na uzoefu wa miaka 7 ya masuala ya utafiti...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu" naomba kama kuna mwalimu anaweza mfundisha mtoto wangu nyumbani anitafute" mtoto ana miaka 3 na nusu" alikuwa anasoma lakini nafanya. Taratibu za kumtafutia shule nyingine...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom