Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Ivi hawa wanaotangaza kazi na kuomba experience ya 10 years wako serious wanataka watu kweli au ni zuga tu? Kwa nini hawataki vijana? Kijana mwenye 10 years experience ni wachache na wengi...
1 Reactions
4 Replies
805 Views
Habari wanajukwaa! Nina mtizamo wa kujiajiri katika biashara ya nafaka tangu natoka chuoni sikupenda kuajiriwa maana nilijua ni hiari yangu! Nimechunguza maendeleo yangu katika kujiajiri...
1 Reactions
2 Replies
959 Views
Twaweza is recruiting several new staff in January 2017, including positions in Dar es Salaam, Nairobi and Kampala. Details of each post, including a full job description and details of how to...
1 Reactions
3 Replies
705 Views
Hii benki imetangaza nafasi nyingi za kazi. Na barua za maombi ya kazi unapeleka kwa mkono. Kuna anayeifahamu vizuri hii benki? Na kwa Kariakoo tawi lao lipo maeneo gani? Sababu wamesema...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ndg wanajamvi nahitaji kazi yoyote ninajua kuongea kiingereza na kuandika vizuri pia kiswahili ,nipo Dar es salaam.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natafuta kazi yoyote nipo Dodoma pia nina utaalamu kidogo wa computer repair na photo editing namba zangu za simu ni 0677754054
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Habari wanajamii forum, kaka yangu anatafuta kazi ya ualimu shule za private..asante
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wadau,mimi ni mkazi wa singida,nina interest na kujifunza kutengeneza simu ,tv au radio lakini sina mtu wa kuniboost. So natafuta fundi ambaye yupo tayari atanifundisha mpaka nielewe, bei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Redirect
Wale mafundi wataalam wa kujenga tiles, tarazo, paving blocks, marble, mosaic na tanga stone wanapatikana hapa. Mawasiliano: - 0654 121218 Na WhatsApp kwa picha zaidi za Nazi zetu...
1 Reactions
Replies
Views
ZIlizotoka December nani anataarifa Nazo ? Walishasholist?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hi team Kama una mdogo au ndugu yako hajaajiriwa na anatafuta ajira. NBC Bank wametangaza nafasi za muda mfupi(miezi 5 to 6) so kama yuko tayari tafadhali mwambie kesho asubuhi aende NBC HQ kwa...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Natafuta kaz ya utabibu Mawasiliano: 0672480244
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Greetings! Are you fresh graduate from higher education institution? Are you looking for a job or self-employment? We, academics based in Dar es Salaam, would like to help you with CAREER TIPS...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana jamii forum, Naomba msaada kwa anaejua shule inayotafuta mwalimu wa KIFARANSA (shule ya msingi au sekondary) aniunganishe na wahusika. Namba yangu ni: 0746 30 70 70
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za mwaka mpya wadau wote humu jukwaani Mimi ni mwalimu Nina diploma ya ualimu secondary namtafuta kazi ya ualimu sehemu yoyote ile na mkoa wowote ile hata English medium primary nipo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Poleni na majukumu wakuu, Kama kichwa kinavojieleza hapo juu , jamani naomba mwenye muundo mzuri wa cv anisaidie maana mwenzenu ninamwaka wapili sasa nimetuma cv kila ninaposikia nafasi ya kazi...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Ndugu wana JF, Poleni kwa majukumu na hongereni kwa kuendelea na majukumu hayo. Kipindi kama cha mwezi mmoja hivi niliwahi kuleta ombi na kuhitaji msaada kwa dada yangu ambae alikuwa anahitaji...
13 Reactions
14 Replies
2K Views
Three (3) Women teachers needed to teach at our school [English medium] Sunrise nursery school. Qualifications needed; 1. Certificate/grade IIIA or Diploma 2.Ability to deliver in english to the...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau wa JF habari naomba mchango wa mawazo namna ya kufanya. Mimi ni mtumishi katika kada ya Afya nimeajiriwa katika mkoa wa Tabora kwa Mkurugenzi mtendaji Wilaya ya Sikonge mwaka 2015 mwezi wa...
0 Reactions
3 Replies
771 Views
Habari wakuu, Watu wenye ujuzi huu wanahitajika haraka. -Nurse..Qualification,Degree/Diploma.Not above 38 years. -Nurse assistant, Qualification,Certificate in nursing,Not above 35 years...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom