Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

JF Prefixes:

Wana JF please please nawaomba sana mnisaidie mume wangu amesoma mpaka post degree na Hana ajira nifanyeje? Yaani mi ndo nalisha nyumba na kulipia mahitaji yote, sasa inaniumiza! Binafsi...
2 Reactions
253 Replies
39K Views
kwa mara nyingine nakuja kwenu ndugu zangu, ndugu yenu nimehangaika sana kutafuta nafasi kwenye majeshi yetu bila mafanikio, kiukweli nina nia ya dhati kabisa ya kulitumikia taifa letu...
10 Reactions
253 Replies
20K Views
Katika kada inayoongoza kwa kulaumiwa na kuonewa ni afya. Sasa viongozi wa kada hiyo ni madaktari maana ndio moyo. Nataka kujua, wanalipwa kiasi gani mpaka wanaonewa kiasi hicho? Tulinganishe na...
46 Reactions
252 Replies
34K Views
Maelezo yote hapa[emoji116][emoji116] Semina siku 2 kiingilio 40000
6 Reactions
248 Replies
37K Views
Kitengo cha Huduma za Ajira kinapenda kuwatangazia wateja wake wote kua kuanzia sasa Registration itafanyika through NLMIS Kama uliwahi kujisajili kwa kwenda physically ofisi za TaESA au...
11 Reactions
248 Replies
38K Views
Nimemaliza chuo kikuu toka 2008 lakini ndoto zangu aziendi kama niliywotarajia kwa hiyo nimeamua kujinyonga ijumaa
2 Reactions
247 Replies
26K Views
Wakuu , hii ajira ni ya kweli? au ubabaishaji?
6 Reactions
247 Replies
21K Views
Nimepigiwa simu kwa ajili ya interview ya pili Jumamosi hii Duce Changombe
1 Reactions
246 Replies
52K Views
Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums. Kesho (30-03-2021) saa 4 asubuhi ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu...
30 Reactions
245 Replies
22K Views
Ndugu zangu, hali ya ajira nchini ni mbaya sana. Idara ya Uhamiaji imetangaza nafasi za kazi 70 kwa wahitimu wenye shahada moja na kuendelea. Matokeo yake, baada ya mchujo wa majina zaidi ya...
6 Reactions
244 Replies
71K Views
Naomba kujuzwa chimbo la vibarua hapa mjini ni wapi? Na kazi zipi za part time hapa bongo? Kuna mtu nlimsikia kuwa posta karibu na clock tower kuna sehemu watu wanakusanyika kusubiri vibarua na...
0 Reactions
243 Replies
25K Views
Habarini za wakati huu? Kutokana na wadau wa jukwaa hili uwa bize na upendo wa baadhi ya kazi zinazotafsiriwa kama zenye kipato uzuri na kwa kiwango iubwa wadau na watafutaji wamekuwa hawaipi...
7 Reactions
241 Replies
25K Views
Wakuu habari, Naomba kufahamishwa kiasi cha mishahara kwa wafanyakazi wa TRA wa ngazi zote kwa ujumla. Hususani naomba kufahamishwa mshahara wa TRA kwa custom officer au Tax officer mwenye degree
0 Reactions
240 Replies
101K Views
Amani naiwe kwenu. Nimejaribu kumjazia mdogo wangu maombi ya ajira TAMISEMI kwenye system yao ya OTEAS, lakini changamoto ninayoipata ni kwenye attachment. Kila nikijaribu ku-upload attachment...
3 Reactions
239 Replies
121K Views
Wengi wetu tutakuwa mashahidi kuna taarifa zinasema kuwa ajira za walimu na afya zitatangazwa wiki hii na kesho ndio uwezekano mkubwa wa kutoa majina kwa hivyo uliyeomba sali leo kweli kweli...
5 Reactions
237 Replies
21K Views
Naona kuna jamaa hapa kijiweni alianzisha mjadala huu kwamba kuna watu wanavuta zaidi ya mshahara tajwa. Tiririkeni wadau. Kwa watoa povu kama unaoma maada haikufai mlango upo wazi nenda...
4 Reactions
236 Replies
32K Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
10 Reactions
234 Replies
12K Views
Habari wakuu, poleni na majukumu. Siku ya leo nimeingia ajira portal na kukuta mabadiliko fulani nikashindwa kuelewa japo Hii ni mara yangu ya 7 kuomba kazi utumishi. Kwa wale mliokuwa...
2 Reactions
234 Replies
55K Views
Habari wana JF. Mawakala wa ajira za walimu tanzania "Teachers junction" kuanzia sasa tutakuwa tunaweka updatz zetu humu. Hivyo walimu, wasokuwa walimu bali wamewahi kufundisha na wenye nia ya...
5 Reactions
232 Replies
43K Views
Back
Top Bottom