kinyaukitoto
Senior Member
- Oct 13, 2019
- 103
- 188
.
AminMungu akujaalie upate rizki halali.
Hahaha ni Id, ambayo huwa natumia kufanya mind relaxation,lakini nahisi kama kuna mtu ana moyo Id is not big dealNdugu yangu kinyaukitoto unge kuja na hiyo I'd maarufu, basi unge ongeza percentage ya wewe kusaidiwa.
Ubarikiwe mkuuNakuombea sana nitajitahidi nione vile nitasaidiaView attachment 2877699
Sent using Jamii Forums mobile app
Ts is not big deal mkuu,maana content ya thread imejitosheleza😔Ungekuja na id yako hiyo maarufu ungepata msaada haraka sanaa!!
Ndugu zangu ,kaka zangu na dada zangu, Kutokana na Kuwa maarufu kiasi Hapa jf,imenibidi nije na Id ya akiba
Naunga mkono hoja au pengine I’d yake nyingine ni ya kujisifu,anaogopa wala watamshambulia.Ndugu yangu kinyaukitoto unge kuja na hiyo I'd maarufu, basi unge ongeza percentage ya wewe kusaidiwa.