Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,587
- 1,137
Wengi wetu tutakuwa mashahidi kuna taarifa zinasema kuwa ajira za walimu na afya zitatangazwa wiki hii na kesho ndio uwezekano mkubwa wa kutoa majina kwa hivyo uliyeomba sali leo kweli kweli
Nawasilisha
Nawasilisha