Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.3K
Threads
7.5K
Posts
210.3K

JF Prefixes:

Jamani nimesoma article moja mtandaoni, inasema masturbation ni normal and natural kwa wanaume na inashauriwa kiafya mtu afanye mara kwa mara na akishindwa kabisa afanye japo mara moja kwa mwezi...
0 Reactions
85 Replies
20K Views
Leseni yako imeokotwa Call 0717454455 /0767-454455
2 Reactions
2 Replies
935 Views
Msichana aliyechomwa kwa tindi kali abahatika kupata mchumba India Muathiriwa wa shambulio la tindi kali India, Lalita Ben Bansi alicheka kwa furaha katika harusi yake mjini Mumbai wiki hii...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Mi nitaendelea kuwashauri dada zangu mambo mema wayapasayo kutenda, nimekuwa kwenye mahusiano kwa miaka isiyopungua 30 nina wafahamu wanawake kwa kiasi flanu, moja ya tatizo kubwa ambalo linawawia...
18 Reactions
192 Replies
14K Views
Leo muda huu huu tu si mrefu katika pita pita zangu maeneo niliweza kusimama katika Pub moja hivi na kunywa Soda ( Team Inzi ) huku nikitafakari shida za mjini na nikipanga mikakati ya Kimaisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nawasalimia. Kwa mlio tanga mtakuwa mmesikia habari inayovumishwa na mashilawadu wa mtaani kuhusu tukio lililotokea huko korogwe ktk kijiji cha mashewa mitaa ya kwa mzee shed......... Kuna...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Yamenikuta bandugu, Nimemchumbia binti mmoja nataka nimwoe, na tayari kishika uchumba nimetoa na mahali nimepangiwa. Mwezi wa sita mwanzoni ndo nataka nipeleke. Sasa shida inakuja, Mimi niseme...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Habari wana jamvi; kwa mara ya kwanza leo nimejitokeza kwenu nikiomba ushauri ktk hili munisaidie, Ninaishi na mwanamke ambae kiimani hatutafautian bali dhehebu ndio tunatofautiana, yy...
0 Reactions
17 Replies
973 Views
  • Redirect
Vijana wenzangu unapoamua kuoa mrembo, msomi na binti wa digital, lazima ukubaliane na haya; 1. Wasichana wengi sasa hawajui kupika. Wanajifanya wamechoka nitanunua msosi sana tu, tena usipokaza...
0 Reactions
Replies
Views
[emoji3] [emoji3]
0 Reactions
13 Replies
1K Views
MAPENZI! Hivi umeshawahi kukaa chini na kujiuliza kwamba, kama yasingekuwepo mapenzi ulimwenguni binadamu wangeishi vipi? Kimsingi ni swali gumu na hakuna anayeweza kulitolea jibu la moja kwa...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
KATIKA MAISHA YA KIMAPENZI HAKUNA KITU KINACHOUMA KAMA KUSALITIWA, TENA KUSALITIWA KUNAKOUMA ZAIDI NI PALE UNAPOBAINI MPENZI WAKO KAMPA PENZI MTU UNAYEMJUA HALAFU UKIJILINGANISHA WEWE NA HUYO...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Salaam wakuu Mada yahusika Mara nyingi tumesikia kwamba wadada wengi wanaovaa cheni mguuni/ kuku ni kiashiria kwamba wanaliwa nyuma a.k.a tiGo a.k.a Kusukumwa tope Sasa katika mjadala flani...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Poleni na majukumu, Mwanamke anaweza kuishi kwenye Ndoa/Mahusiano bila ku cheat kwa asilimia 99 & Wanaume wanaweza kuishi kwenye Ndoa/Mahusiano bila ku cheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Jamani naomba mnisaidie tabia za huyu mwanamke kabla sijafika mbali. Mavazi yake siyaelewi kabisa mda mwingi anavaa mashati ya kiume, yani atavaa suruali ya kike /sketi juu anavaa shati la kiume...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wana-JF Katika u-bachela nimekumbuka mambo ambayo nilikuwa naona uvivu sana kuyafanya kama vile; 1. Uvivu wa kufua Shuka, yaani shuka sifui au kubadilisha hadi siku nina ahadi na kamanzi...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Anahitajika girl mwenye nia na malengo ya kuishi na mume awe na nia ya kweli,umri kuanzia miaka 20 -26 sura haizingatiwi ila nice shape and and awe na bright future Kama uko tayari ni pm tu sms...
1 Reactions
8 Replies
823 Views
Hamjambo ndugi zangu za masiku nimeona nije tena humu nimezidiwa na mawazo na matatizo mengi labda kati yenu anionyeshe njia ya kwenda kupata haki yangu na watoto, nazani story zangu mnazijua...
2 Reactions
60 Replies
4K Views
Back
Top Bottom