Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.2K
Threads
7.5K
Posts
210.2K

JF Prefixes:

Habar za Asubuhi wana MMU . Kuna rafiki amekuja Jana ananisimulia kwamba alienda kwa boyfriend wake wakati anapanga panga vitu ndani akakutana na chupi za mwanamke, kwa hasira rafiki yangu...
2 Reactions
113 Replies
13K Views
1. Wasiliana nae kwa upendo na adabu. Usiongee nae kwa hasira, dharau na kejeli. 2. Mwache ajue kwamba yeye ni wa muhimu kwako. Kila siku muonyeshe hilo. 3. Elewa hisia zake, hata kama mtakua...
2 Reactions
14 Replies
923 Views
Salam alekyum! Labda nisiandike sana, nianze kwa kuuliza hili swali. Je kuna uhusiano wowote wa hizi sikuu za id na kurudi kwa mapendo kwa wapenzi wetu hata kama ni wale tuliokwisha achana nao...
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Yule mdada uliyekuwa unambully sana boarding school, wakati huo wewe dorm leader, kosa dogo tu amechelewa kwenda prep unampiga adhabu ya kupiga deki wiki nzima chooni. Miaka imepit a, kitaa...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Habari Wakuu. Uchawi ni moja ya Mila mbaya katika Jamii nyingi. Pamoja na ubaya wake lakini yapo makundi ambayo yana uwezekano wa kutumbukia katika shimo hilo la Uchawi. Moja ya Makundi ambayo...
4 Reactions
54 Replies
4K Views
Jamani nimemkuta mpenzi wangu na mwanamke mwingine analia na kuniomba msamaha, je nimsamehe au niachane nae? Naomba mnishauri.
2 Reactions
90 Replies
7K Views
Kwa upande wangu, aliniona na mchumba wangu sokoni, alitufatilia kwa nyuma mpaka nyumbani. Akaanza kugonga mlango, sikufungua mlango baada ya kufahamu ni yeye. Akaenda kuzima generator...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ninapo taka mke nitumie njia gani ili kufanikiwa
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wanajamii forum. Nimekua sitosheki na mwanamke mmoja hata nimpende vipi, yani tena nikishamzoea ndo naona kero kabisa natamani kumuacha au kumuongezea mwanamke mwingine. Nimekua na hamu...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwani hizi pipi za mwaka gani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] alaf wanaotunga ndo wale wanao omba wapate mke au mume alafu kama mungu vile awaoni achane hizi mambo
2 Reactions
67 Replies
18K Views
Poleni kwa majukumu ya kila siku, Huwa napenda kujifunza mengi pia humu JF ila hili nimelikuta mahali nikasema si mbaya nikashare na nyie kuna ma shostee walio kua wanadai kuwa kwa wale wanaume...
0 Reactions
37 Replies
9K Views
A study has discovered females who have attended secondary school, college, and have obtained an Undergraduate or Masters degree are more likely to stray from their partners, same goes for men as...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Wadau kumekua na katabia kale ka kujirekodi mfanyapo tendo la ndoa sasa imagine siku moja hizo video zimevuja zipo mafacebuk instagram na mawatsapp hvy utajionaje, utafanya nini na ukizingatia...
1 Reactions
67 Replies
12K Views
Would you Fight for Girlfriend or Boyfriend...?? Kama jibu ni ndiyo/hapana tueleze ni kwanini?
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Wadau, Naomba mnisaidie jambo hili. Kaka familia nyingi (baba, mama, watoto na ndugu /jamaa) wanapokuwa wamechuma mali, na kwa bahati mbaya baba akafariki, mali inapobaki mikononi mwa mama na...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Ni kama vile hili janga linaenda kua la kitaifa sasa ..ukipita mitaa mingi pia kwenye maredio, magezeti, kwenye mitandao utakutana na mabango mengi tunatibu (nguvu za kiume)...
0 Reactions
79 Replies
9K Views
  • Redirect
KATIKA jamii kwa sasa kumekuwa na wimbi la watoto wanaolelewa na mzazi mmoja kutokana na sababu mbalimbali. Katika nyakati hizi, idadi ya watoto ambao wanakuwa katika familia zilizo katika...
3 Reactions
Replies
Views
Imesemekana kwamba ikiwa familia yenye wazazi wote wawili ingelinganishwa na mnyama, basi huenda mnyama huyo angekuwa katika orodha ya wanyama wanaokaribia kutoweka. Fikiria: Kuna zaidi ya familia...
8 Reactions
32 Replies
7K Views
Mimi leo kuna kitu nimecheka kuanzia mchana mpaka muda huu nikifikiria nacheka sana ,nyie acheni yaan sijaamin nilichoona na wala sijawah kufikiria aisee ,watu wa humu mnachekesha sana aisee...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Huwa mnatumia mbinu gani kwa watoto ambao viwango vyao kielimu (darasani) wanashuka. Yani hapandi au ana mantain hapo hapo. Napata shida nina mdogo wangu (ke) yani hapandi. Na wastani wake ni...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom