Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.2K
Threads
7.5K
Posts
210.2K

JF Prefixes:

Habari za jioni wana MMU. Poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Kuna swali hua najiuliza sana ila leo nataka nipate mawazo ya wengi katika hili. Wanaume tumekua tukiona fedheha sana kukaa kwa...
1 Reactions
106 Replies
6K Views
Hivi mtu akivaa pete kidole cha kwanza kutoka gumba anamaanisha nini? nipeni pia shule kuhusu vidole vingine.
0 Reactions
5 Replies
906 Views
Habari wanajamii forum Katika maisha haya ambayo tunaishi nimegundua wanaume wengi tunashindwa kupata wanawake kutokana na sababu kuu mbili ambazo mimi nimeziona .Kuna aina mbili za wanawake ambao...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana MMU. Kama mada tajwa hapo juu inavyosomeka. Mimi naitwa #Poise, ni ME. Nimekuja rasmi humu MMU baada ya kutendwa na mada za Siasa . Yaani, hasa matamko ya mtu wa taratibu...
0 Reactions
28 Replies
1K Views
Nakumbuka ilikuwa form 4 tulipanga gheto tukiwa masela 3. Hapo shuleni kuna msichana nilikuwa namuongelea sana nikiwa gheto na masela kama namuelewa na ni mzuri sana, hii ilikuwa karibia kila siku...
15 Reactions
191 Replies
30K Views
Habari zenu ndugu, poleni mliotendwa na mliozitumia zote siku ya Eid mkasahau kuna maisha baada yake. Pia hongera zenu mlioanzisha mahusiano siku hiyo maana kuna wanawake unaweza fukuzia mwaka...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mama lyampopo najutia kwa yote niliyokutendea,ni wiki ya pili sasa toka umeniacha na kutoroka wakati nikiwa nimejifunika gubigubi alfajiri ya kudamkia mnadani. Mama lyampopo usomapo ujumbe...
0 Reactions
15 Replies
737 Views
Hii familia ninaifahamu walipenda sana watoto wao wapate elimu nzuri. Walitafuta English Medium Schools walipata lakini gharama za ada na school bus pamoja na pesa ya lunch shule wazazi wote...
21 Reactions
361 Replies
14K Views
Wanajukwaa hope wote ni wazima kiafya na kimaendeleo Mwenzenu naumizwa sana na mapenzi Kuna mkaka alikuwa rafiki yangu tukiwa wadogo age ya primary tumekuja kupana kwa simu ukubwani tukatamaniana...
3 Reactions
109 Replies
10K Views
Sorry
16 Reactions
288 Replies
23K Views
Kuna girl mmoja nipo naye at least two years, sasa kma wiki mbili akanigeukia kabisa kila jambo nikimwambia anasema no, tena akaniambia nitafute mwanamke wa kuoa ila yeye anitaki. Dah niliumia...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
  • Redirect
ENZI ZETU Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati. Salamu nyingi sana zikufikie huko ulipo. Utakapo kujua khali yangu mie ni bukheri kabisa. Hofu na mashaka ni juu yako ewe mpenzi wangu uliye mbali...
13 Reactions
Replies
Views
Nisiwachoshe sana mada tajwa hapo juu...aisee ni six months sasa nadate na kadem fulani hivi...keupe,karefu,model na dizain fulan hi ni kafundi pande zile,toka nimedate nako upendo kwangu unazid...
0 Reactions
58 Replies
3K Views
Salam! Kichwa cha thread cha husika. Swali langu ndio hill, he unajisikiaje pale unaposhuhudia post za mkeo/mumeo,/mpenzi wako zikielezea matatizo yako/yenu kwenye social networks hasa hapa JF...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Salaam ndugu zangu Wiki iliyopita nimeleta tatizo langu hapa linalohusiana na mimi kujikuta ni mhanga wa kufanya tendo la ndoa na wasichana wengi, na pia nilikuwa nashindwa kujizuia kuacha kufanya...
11 Reactions
45 Replies
5K Views
  • Redirect
Ktk mizunguko yangu hukooo nikakutana na hii habari hapo juu
0 Reactions
Replies
Views
Wana Jf habari zenu, Juzi nimekuja hapa Mwanza kikazi, niliingia jumatano.Siku ya jumanne nikiwa nyumbani Dar nilimjulisha rafiki wa tangu utotoni kuwa nakuja Mwanza kikazi, yeye anaishi Mwanza...
35 Reactions
258 Replies
28K Views
Dah wadau msaada wenu kuna dem nilikuwa namfukuzia sasa kila nikitaka nionane nae bila ya yeye kujua inashindikana sasa siku ikabidi niombe namba yake, siku napewa ile namba kumbe haikuwa yake...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Inatokea mwanamke upo serias kutafuta mwenza humu anakufata mtu kwenye email na kuanza mahusiano na wewe kumbe yupo kwenye ndoa. Sasa mtu akiamua kukuharibia na kukutangaza kwa kuweka mawasiliano...
22 Reactions
493 Replies
25K Views
Sharti moja lililowashinda waganga wengi wa kienyeji ni utamanifu na kushindwa kuidhibiti tamaa hata kumtongoza mteja....akithubutu kufanya hivyo anajimaliza mwenyewe Hapa nazungumzia wale ambao...
19 Reactions
131 Replies
12K Views
Back
Top Bottom