Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.2K
Threads
7.5K
Posts
210.2K

JF Prefixes:

Habari wanajamvi, poleni kwa mtikisiko wa kiusalama kwa ndugu yetu Lissu dua zetu Allah anazidi kumpa wepesi. Niende kwenye mada mi nikijana wa 26yrs old nina kazi yangu na najitegemea kwa kila...
4 Reactions
67 Replies
7K Views
Kutokana na kuongezeka kwa matatizo ya sehemu za siri kwa wanawake wengi, huku kukiwepo na masomo ya kupotosha yanayosababishia wanawake wengi kutumia madawa yanayozidi kuwaletea matatizo...
3 Reactions
130 Replies
127K Views
Wandugu kuna binti wa kichagga alimuacha mzazi mwenzake aliezaa nae kisa mimi na kumwacha kwa matusi na kejeli za kupindukia akaja kwangu akidai ananipenda sana. Na kusema kuwa mimi amejiridhisha...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
kama kuna kitu nakifurahia na kumshukuru MUNGU ni ile hali ya kuweza kujizuia kumtongoza au kumshinikiza mwanamke ambaye si mpenzi wangu anipe penzi hata kama nyumba nzima tubaki mimi na yeye tu...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wakuu!… kama heading inavosomeka,,, tangu mke wangu ashike ujauzito wa pili sina hamu nae kabisa,, bali hamu imehamia kwa michepuko adi najishangaa… Mke wangu mwenyewe hanielewi kabisa...
1 Reactions
86 Replies
9K Views
Habari za wakati huu wakubwa. Natanguliza pole zangu kwa wale mliokumbwa na ridandansi mubashara toka chamwino na ambao majina yenu yatachapishwa kuanzia kesho magazetini kwa kugushi vyeti na...
24 Reactions
251 Replies
17K Views
Ukimuona mwanamke anasema siku hizi hakuna wanaume waoaji, ujue huyo anataka pesa hana shida na ndoa, wewe wanaume wapo kibao wanaotaka kuoa wengine wanataka kuoa hadi wake wa nne. Ukimuona...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Ikitokea mwanamke(siyo mke) wa rafiki yako anakupenda na anasema anatamani kufanya mapenzi na wewe utafanyaje, maana hapa nipo dilemma kuna siku tumewahi kufikia mpaka kulana mate ndani ya gari .
0 Reactions
41 Replies
2K Views
Shamsa na Shabani ni wanandoa ambao wamekuwa katika ndoa kwa miaka isiyopungua 15. Wanasimulia kuwa walianza uhusiano wao wakiwa wapo chuo wakiwa wametokea mikoani mwao. Wakaendelea na uhusiano na...
0 Reactions
5 Replies
948 Views
Wana JF, Nimeolewa na mume wangu kwa ndoa ya kitamaduni toka mwaka 2002 na tumejaliwa watoto wawili wote wa kike (kwa sasa ni wakubwa tu) kila nikimuomba mume wangu tuongeze baby wa mwisho...
16 Reactions
323 Replies
26K Views
  • Redirect
Eti mdau wimbo gani ukipigwa unamkumbuka mpenzi wako Either mliachana Or yupo mbali na ww... Mm kuna huu wimbo wa kihindi unaitwa .. Haste hoo rolate ho! Kila nikiusikiliza namkumbuka Chura mmoja...
1 Reactions
Replies
Views
Salaam wa MMU Kuna kauli nimeambiwa na mzazi mwenzangu imenifanya niwaze Mara 2 2 Okey ngoja niende kwenye point Mimi naishi mbali na mzazi mwenzangu japo mikoa ni ya karibu karibu. Mimi napiga...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Wakuu, Mimi huwa nachukuia sana tukiwa bed unakuta mwanamke ashavua chupi mwenyewe naweza hata kuacha kuendelea na tendo. Huwa napata mzuka nikimvua mwanamke chupi mwenyewe yaani hapo dah full...
21 Reactions
409 Replies
59K Views
Habari wakuu. Nimekua nikiona watu wa karibu naowafaham na wengine kuwasikia tu wanakua kwenye mahusiano na wanawake waliozaa tayari lakini sikua nawachukulia serious kivile lakini hivi sasa...
9 Reactions
84 Replies
11K Views
Ni sura? Makalio? Umbo? Au ninini? Maana hivyo vyote sijaona kazi yake kwenye kufanya mapenzi baada ya kutamani kwenye kufanya uwa ni kulekule Wanaume tuna nini jamani? Au tumelaaniwa. Sent...
10 Reactions
300 Replies
35K Views
Nianze kwa kuwapa pole kwa tukio lilitokea leo,mhe. Tindu Lisu kupigwa risasi,hakika namuombea apone haraka. Niende kwenye mada,leo nimewiwa kuongelea hili suala la utegemezi kwa wanawake wa siku...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Jamani wanajamii.. ni kero ya kelele na matusi ya nguoni toka kwa walevi nyumba ya jirani wanauza pombe za kienyeji na gongo. Si mchana si ucku ni kero ya kelele na matusi sana.. yaani siku...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Habari za mida wakuu nimejitokeza apa mimi ni kijana mdogo age 22yrs niko na mpenzi wangu yeye umri wake ni 23yrs na for real nampenda sana nae naamini ananipenda sana. SHIDA inakuja apo kwenye...
1 Reactions
115 Replies
18K Views
Back
Top Bottom