Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.3K
Threads
7.5K
Posts
210.3K

JF Prefixes:

Habari zenu wapendwa, Sielewi nimepatwa na nini hata, kuna hali huwa inanijia mfano nikipita barabarani nikaona wale watoto wanaombaomba jamani napata na huruma sana moyo unaniuma hadi nalia...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Wanaume tunadhani kwenda gym kutanua misuli basi mwanamke watadata. Tunajitahidi kuwa na six pack ili wanawake wachanganyikiwe na bodybuilding lakini ukweli ni kwamba mwanamke hivyo vyote...
1 Reactions
32 Replies
12K Views
Na imani kila mtu kuna kitu huwa ndiyo anachokipenda kutoka kwa mke wake au mpenzi wake aidha kwa muonekano au kwa kufanyiwa au vinginevyo. Mimi kiukweli kabisa nampenda mke wangu sana kutokana...
1 Reactions
21 Replies
8K Views
Wakati wakufanya mapenzi ni kipindi pekee ambacho mwili na akili inapaswa kutulia na kumakinikia tendo, lakini hutokea aidha kwa makusudi au bahat mbaya mpenzi wako akakufanyia au kukutamkia jambo...
5 Reactions
488 Replies
61K Views
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mke wangu aliondoka mwezi uliopita akaenda kwao kusalimia huko Ukerewe Mwanza Tanzania. Lakini sasa karudi...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kitu cha kwanza na cha pekee mwanamke anachohitaji ni affection (upendo) ni muhimu sana, mwanamke haitaji kujamiani kama anavyohitaji affection (upendo). Affection (upendo) sio kujamiana, wanaume...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
  • Redirect
Kuna nguvu ya mvuto kubwa na ya ajabu kwa hawa watu wenye kutumikia ufalme wa giza kwa kivuli cha Mungu kupitia unabii na utume bandia. Ni kwa vile tunajifanya hatujali au ni kwa vile hata...
17 Reactions
Replies
Views
hili lidada tena bahati mbaya au nzuri lilikuwa ni li mke la mtu. pande la mdada hasa. nyuma limefunga trailer linavuta makontena mawili makubwa kabisa. halafu ni wide road.lilikuwa lina sura...
14 Reactions
37 Replies
5K Views
Katika pitapita zangu nimekuta watu wengi waki discourage Matumizi ya condom yaani they say its useless na wala haisaidii katika protection ya Maradhi. Wanasema zingine Huja hata zikiwa na viini...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Leo nimepata wasaa wa kukumbuka historia yangu ya mahusiano ya kimapenzi na kina Dada niliowahi kujamiiana nao. Nimefarijika kuona records sio mbaya sana. The list is short kama utekelezaji wa...
8 Reactions
69 Replies
8K Views
Ulikuwa na Mpenzi, ndio mlikuwa pamoja kukidhi haja za kimwili japo hata hamkupendana Kihivo. sasa katika uhusiano wenu labda kwa mfano mwanaume kuna vitu ulimpa huyo mwanamke je mkiachana kuna...
0 Reactions
67 Replies
4K Views
Falsa yangu katika kuchagua mechepuko in hii 1# sipendi mwanamke ambaye kabla ya kukwichi kwichi kwanza eti umnyweshe,umlishe,mwisho wa siku kabao kenyewe kamoja tu. ukipiga hesabu umetumia...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Sijawahi kutegemea kama ipo siku ningefanyiwa suprise kama hii inshort is hurt inauma sana. Asee kuna msichana fulani nilikuwa na mahusiano naye nilimpenda sana ila ndo hivyo kigeto geto si...
5 Reactions
96 Replies
5K Views
Asalaam Aleikum Ndugu Wapenzi. Poleni Na Mahangaiko ya kutafta Mkate wa kila siku. Kwa sasa nimekuwa Mtu wa kujichanganya sana na watu, ilimradi nipate mawaidha flani kwa kusikiliza angalau...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu wadau? Bila shaka siku zinaenda vyema mpaka muda huu?. Nilitaka tujuzane juu ya wafungwa wake kwa waume walio katika magereza huwa wanakidhi vipi matakwa ya kimwili(ngono). Au ndio...
1 Reactions
43 Replies
10K Views
  • Closed
Inshort na mama yangu ambaye kwa bahati mbaya ulitokea mtafaruku wakatengana na baba miezi mitatu iliyopita . Shida sasa niliyonayo mama yangu wakati anaishi na baba alikuwa amefanikiwa kujenga...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Kipindi hicho natanga tanga sana na njia kukimbizia kimbizia mabinti. pita pita siku hiyo nikaenda ilala kwa fundi mmoja wa AC za magari akanijazie Gas ilikuwa imeisha. basi nimepark gari nikasema...
6 Reactions
23 Replies
5K Views
Hapa nlipo nawaza kinoma kuwa huyu mazeri atanionaje. Maana tunaheshimiana naye sana na wazazi nao wanaheshimiana naye maana ni family friend kitambo. Miaka kama 9 iliyopita nilikuwa namla binti...
2 Reactions
62 Replies
6K Views
Wanabodi, Ni miezi mitatu sasa toka house girl amekuja hapa kwangu, kila siku zinapozidi naona anazidi kupendeza. Najua tamaa mbaya lakini nashindwa kujizuia kabisa. Wakuu, wenzangu mnafanyaje...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Katika dunia ya siku hizi kuna wanawake aina aina nyingi sana. Leo tumeamua kuwaanika hawa wanawake wanaojulikana kama gold digger. Kawaida yao huwa wanajiingiza katika mahusiano na windo lao pasi...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Back
Top Bottom