Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.2K
Threads
7.5K
Posts
210.2K

JF Prefixes:

Hivi "my" maana yake ni nini?
2 Reactions
93 Replies
19K Views
Habari, Niingie moja kwa moja kwenye mada bila ya kuooteza muda. Nimekuwa nikisikia kwamba mwanaume akishiriki tendo la ndoa hali ya kuwa ana njaa kunauwezekano mkubwa sana akazimia. Vilevile...
1 Reactions
40 Replies
7K Views
CHANDUKA (1) Age 18 by hafidhi j ikram Cm 0765672880 ---------------- TUPATE KIDOKEZO KWANZA CHANDUKA ni kijana mmoja aliye kulia katika maisha ya kimasikini sana yani hata elimu ya darasa la saba...
3 Reactions
92 Replies
77K Views
Hili jambo bwana limeleta kesi nyingi sana, Mimi nina jamaa yangu mmoja alirejea home ghafla kutoka office, akakuta dogo wa kuremba kucha anammassage mkewe miguu huku mkewe huyo mipaja ukiwa wazi...
1 Reactions
129 Replies
12K Views
Watu waliozaliwa Jan 16 mpaka Jan 24 wanasifa zifuatazo; Wanajua kupenda kwa dhati Watulivu wafanyapo maamuzi Wanamisimamo ktk mahusiano yao Siyo viruka njia Wanakasirika haraka Hawapendi kuumiza...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu Imezoeleka kwa vijana wanapofika umri wa kuelekea utu uzima huwa hawashauriki na chochote hususani masuala ya ngono na mahusiano kwa ujumla Sasa inashangaza kwa kijana kuanzia miaka 25 na...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Habari za asubuhi wanajf.... Kama kichwa cha habari kinavyojieleza;,Nimekua na tabia(tatizo) imenianza toka January 2017..... Liko hivi: nimekua na tabia ya uume kusimama Mara kwa Mara mpaka...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Katika pitapita mtandaoni nikajikuta mtandao fulani kutoka taifa la Ukraine wananishawishi nijiunge na mtandao huo ilinichukua dk chache tu kujiunga cha ajabu ni kwamba baada tu ya kujiunga...
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Huu uzi ni maalum kwa ajili ya kushare mitego ya kimapenzi, ambayo uliwahi kuitumia au ambayo huwa unaitumia kumnasa mtu (MWANAMKE au MWANAUME) unayempenda ila unashindwa kumwambia moja kwa moja...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Unakuta mdada, unamuita na unamwambia kabisa njoo tupumzike pamoja, anafika ndani sebuleni unamkaribisha chumbani, anavunga kugoma unambembeleza sana kisha anakubali. Akifika chumbani anasema...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
Ipi heri kuoa wake wengi wanaojulikana au kuwa na michepuko kisa dini inataka uoe mke mmoja? Wanaume wa kikristo mnatudanganya mmeao mke mmoja lkn kumbe mna wake wa siri zaid ya 20! Heri mje...
8 Reactions
90 Replies
9K Views
Wapenzi wanaoishi wawili huko Burundi wamepewa hadi mwishoni mwa mwaka huu wawe wameoana kanisani au kujisajili kwenye ofisi za serikali Mwezi Mei mwaka huu Rais Pierre Nkurunzinza alisaini...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Popote mtakapowaona hawa wakuu jamani ni muda mrefu sana
0 Reactions
1 Replies
496 Views
Naomba mtueleze kinagaubaga kabisa sehemu ambayo ukiiona au kuangalia katika mwili wa mwanaume hadi unapigwa shock ya muda mfupi au mrefu na kujenga hisia fulani kichwani mwenu na kwa muda huo...
5 Reactions
456 Replies
46K Views
Siku napata habari serikali imesema binti kuolewa mpaka awe na cheti cha kidato cha nne niliruka ruka kwa shangwe na ndelemo kwani bi tukinao alikuwa kaniganda sana mpaka wazazi wake ooh oa oa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii tabia ni mbaya huleta mtafaruku kati ya dada na mdogo wake na inaweza pelekea mpk ndoa kuvunjika. Umeoa mmoja hujaoa wote.
8 Reactions
144 Replies
14K Views
Mwenzenu nimejikuta nampenda Sana huyu ripota Wa ITV Fortuna Suleiman. Mwanzo nilipagawishwa na sauti yake wakati anaripoti habari za Kibiti. Pili umahiri wake wakati Wa kutangaza. Ukweli Ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nina mdogo wangu kaishi na mke wake kwa miaka kama mitano na mpaka mwezi march mwaka huu walikiwa pamoja.mola kawajalia mtoto mmoja. Huyu shemeji yangu alimuaga dogo kuwa anaenda kusalimia kwao...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Husika na mada tajwa hapo juu Km wewe ni Dada hujaolewa, au umeolewa lkn kiroho chako huwa hakitulii mpka uwe na mume wa MTU tukutane hapa. Kuwa na MTU wa MTU kuna changamoto zake, je...
1 Reactions
83 Replies
7K Views
uzi huu maalum kwa wana ndoa au watu wanaoishi na wenzao ,nmekuja kuuliza maana leo katika pita pita zangu mtaani nipo sehemu nikaona mdada ana lalamika kuwa kachoka na baba boke maana baba boke...
2 Reactions
111 Replies
12K Views
Back
Top Bottom