Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Salama wakuu wa love connect. Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya...
29 Reactions
398 Replies
36K Views
Jamani natafuta boyfriend ila awe serious maana huu upweke sasa unaelekea kuniua... Mchumba niliekuwa nae kapata ajali mwaka jana ikiyopoteza maishaa yake... Ni mwaka sasa umepita nadhani nahitaji...
27 Reactions
276 Replies
36K Views
Mnamo mwaka jana mwezi wa 8 nliweka tangazo la kutafuta mume humu ndani nikarudia tena February mwaka huu, nilipata pm nyingi nyingi tu na nlizijibu kadri ya uwezo wangu. Nilibahatika kuonana na...
52 Reactions
356 Replies
35K Views
Jamani mwenzenu imenikuta mara nyingu sana toka niweke thread ya kutafuta mchumba, si mimi tuu hata rafiki yangu James wa JF kakutana nalo, unakuta umeweka hiyo thread then wanaume kibao wanakupm...
3 Reactions
180 Replies
35K Views
Natafuta mwanaume anaejielewa, mwenye kumcha mungu na awe na kazi ya kumuingizia kipato asiwe na mtoto zaidi ya mmoja,awe mnene kidogo mrefu saizi ila sio sana. Na awe tayari kunipenda na awe...
4 Reactions
180 Replies
35K Views
Mie ni msichana na umri wa 23 pia nina mtoto mmoja ana miezi 6, nimezalishwa tu na mtu alonizalisha hanitaki na isitoshe ameoa mwanamke mwingine. Kwa hiyo atakae kuwa tayari kunioa na tuishi kwa...
23 Reactions
182 Replies
35K Views
  • Closed
Nimegundua sipendelei na wala siinjoy sex... Nahitaji mwanaume tutakaependana na kupeana emotional support bila kuhusisha sex.
17 Reactions
241 Replies
35K Views
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 47. Nina watoto watatu. Ninaishi Dar es Salaam. Ninahitaji kumpata mwanamume ambaye ana mapenzi ya dhati hasa uaminifu. Sihitaji kuolewa au niseme kuishi na...
22 Reactions
413 Replies
34K Views
Habari zenu wapendwa, Samahani kwa kuwapotezea wakati, Niko hapa kutafuta mume kwa mwanaume aliyeserious tuanzishe mahusiano baada Mungu akipenda tufike hatua ya ndoa. Sifa zangu; Umri: 31...
16 Reactions
93 Replies
34K Views
wapendwa wana JF mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28! Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme sifa za ninaemtaka awe na umri wa kuanzia miaka 25-na kuendelea! elimu kuanzia masters...
1 Reactions
194 Replies
34K Views
Habari zenu, Mimi naishi Dar es Salaam, kama nilivyoandika hapo juu natafuta mwanaume wa kunioa. Nina miaka 21, elimu yangu ni certificate, sijaajiriwa bado. Atakaye kuwa interested tunaweza...
9 Reactions
137 Replies
34K Views
Habari zenu. Mimi ni binti wa miaka 23 naishi Dar es salaam kwa ndugu zangu. Ni mhitimu wa chuo ngazi ya stashahada ila bado sijafanikiwa kupata ajira. Natafuta mwanaume mwaminifu na mwenye...
15 Reactions
54 Replies
34K Views
Hallow JF members,, Mimi ni msichana wa Kitanzania kwa mara ya kwanza najitokeza ktk jukwaa hili kutafuta mwanaume ambaye Mungu akijaalia Inshaallah awe mume wangu. Sifa zangu.. Umri 28 kidini ni...
39 Reactions
179 Replies
32K Views
Poleni na corona. Acha leo na mie nije na vigezo vyangu vya kutafuta mwenza. Baada ya watu wengi kunivutia wakileta mirejesho ahahaha Sifa ya mwanaume anayehitajika. 1) Awe na kitambi, ila sio...
16 Reactions
810 Replies
32K Views
NYOTA YA PUNDA NA MIZANI Mpate mpenzi siku ya Ijumaa kwenye sherehe za ngoma saa 3 au saa 9, vaa nguo rangi mbili juu nyekundu chini njano. Mshike mkono mara kwa mara, hakikisha mnakula kabla ya...
0 Reactions
5 Replies
32K Views
Habari mimi ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mimi bila sex hadi ndoa. Elimu: Chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education. Dini...
26 Reactions
370 Replies
32K Views
MIMI NI KIJANA MWENYE UMRI WA MIAKA 27, MKRISTO, SIJAWAHI KUOA NA SINA MTOTO, SITUMII KILEVI CHOCHOTE NA NI MWAJIRIWA WA SERIKALI. HAKIKA NIPO SERIOUS NA NIMEAMUA KWA DHATI KABISA KUTOKA MOYONI...
0 Reactions
13 Replies
32K Views
Nimekuwa msomaji mzuri sana wa JF hasa nikivutiwa na watu kadhaa wa humu ndani kama akina Sky Eclat , GuDume , Nucky Thompson , Salary Slip, Da'Vinci e.t.c Hawa ni watu ambao nimekuwa kwa...
26 Reactions
196 Replies
31K Views
Mimi ni msichana,umri wangu ni miaka 25,nafanya kazi shirika binafsi, elimu yangu ni chuo kikuu, natafuta mchumba sijagui kabila wala rangi,awe na umri kuanzia miaka 28-33,elimu chuo kikuu,pm please
13 Reactions
175 Replies
31K Views
Jamani kwa mara nyingine tena naomba niwajuze kuwa nahitaji mwanamke wa kiarabu na nikisema mwanamke wa kiarabu nina maana mwanamke wa kiarabu naomba niwasilishe.
1 Reactions
103 Replies
31K Views
Back
Top Bottom