KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

1. Mamalaka ya rais kuteuwa viongozi wa juu yaishie ktk ibara zifuatazo tu: Ibara ya 69(2)(e): kuteua wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama Ibara ya 69(3)(c)-(e):kuteua mawaziri na manaibu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Na Waandishi Wetu, Mwananchi Posted Jumatano,Juni5 2013 saa 19:53 PM KWA UFUPI "Ukiangalia kwa haraka, hivi Serikali ya Tanganyika itakuwaje? Bunge la Tanganyika litakuwa la namna gani na...
0 Reactions
5 Replies
879 Views
Imefahamika kutoka kwa baadhi ya wajumbe wa Tume ya katiba kuwa kiongozi wa Serikali ya Tanganyika atajulikana kama Waziri Mkuu, vile vile kiongozi wa Serikali ya Zanzibar atajulikana kama Waziri...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mshangao mwingine niliouona katika rasimu hii ya katiba ni misingi ya kijamaa. Misingi inaonekana katika masharti ya viongozi kama wabunge kumiliki mali. Leongo na vipengele hivyo ni kuwafanya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
TANZANIA NA RASIMU YA KATIBA MPYA 2013 Si mbaya kwa watanzania kuwa na maamuzi makubwa ndani ya katiba wanayotaka iitawale nchi kwa sasa. Ni jambo jema na wengi tumeona Rasimu na kwa mtizamo...
0 Reactions
3 Replies
840 Views
kutokana na rais wa muungano kusimamia nchi mbili nazo nitanganyika na zanzibar.Je tutalazimika kuwa na ikulu mbili?maana nadhani kuwa na ikulu sehemu moja ya muungano sio haki. angalizo: sisi...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Baada ya kupitia kwa muda mrefu rasimu hii , nimegundua kuwa: Rasimu ina makosa mengi sana ya kimpangilio kwa maana ya kuwa mambo mengi sana yamechanganywa changanywa katika sura tofauti tofauti...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Kuna vyama vingi wengine huvitambua kama vikundi kama POLISALIO, PKK e.t.c. Ambavyo chimbuko lake ni madai yao ya kuwa wamemezwa au wanaonewa au Wanatawaliwa kimabavu. Suala kama hili si mssamiati...
0 Reactions
3 Replies
773 Views
Naomba msaada kwenye RED hapo. Inamaanisha nini swala kuwa sheria na sio kwenye katiba. Najua hakuna stupid question. Na watu wenye uraia wa Tanzania wa kuzaliwa wakiwa na uraia wa nchi nyingine...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwanza, ikiwa umeisoma rasimu YOTE (na siyo sehemu, wala kurukaruka), naomba uanze kwa kusema (andika) NDIYO. Baada ya hapo jaribu kueleza unaionaje. Tatizo ni kwamba kuna uwezekano mkubwa kwamba...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
NCHI TATU TOFAUTI ZINAONGOZWA NA CHAMA KIMOJA CHA SIASA!...Hii inakaaje? Tanganyika (Tanzania Barani) Zanzibar (Tanzania Visiwani) Tanzania Jamhuri (Shirkisho).............kama atumdangi...
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Katika Rasimu ya Katiba iliyozinduliwa Juni 03, 2013 Karimjee, Ibara ya kwanza inautangaza Muungano wa Tanzania kuwa Shirikisho la nchi mbili zilizo na mamlaka zake; ambazo moja ina katiba yake na...
0 Reactions
0 Replies
784 Views
KWAMBA, Katiba ya Tanganyika itawezaje kutengenezwa ndani ya mwaka mmoja (1) mara baada ya Katiba ya Shirikisho itakayoainisha uwepo wa serikali tatu (3) kupitishwa 26 Aprili, 2014 halafu...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Kila Mtoto Ana Haki ya Kucheza
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama Tume yako imeandaa Rasimu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wenye kujumuisha zilizokuwa nchi huru,tena Jamhuri, za Tanganyika na Zanzibar,iweje sisi tuitwe Tanzania Bara na wenzetu wabakie...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Najaribu fikiri ni vipi Katiba inaweza kuweka Mahakama ya kadhi bila ,kuicha ktk lawama ambazo serikali na Bakwata wanazipata Leo? Pamoja na ukweli kuwa hata wakristu nao wanaweza weka Amri 10...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimeipitia rasimu ya katiba, haya maisha yalivyo magumu tukiongeza na rais wa tatu itakuaje, maana kuhudumia marais watatu wenye mawaziri kumi natano manaibu waziri 15 makatibu wakuu ,watu wa...
0 Reactions
4 Replies
893 Views
Nanukuu 'Mtumishi wa umma aliye katika ajira ya kudumu hataruhusiwa kuingia katika ajira nyingine ya malipo ya mshahara'. Ibara hii inaweza kuwa nzuri sana kwa kuwa itajenga mazingira ya watu...
0 Reactions
0 Replies
959 Views
SURA YA NNE HAKI ZA BINADAMU, WAJIBU WA RAIA NA MAMLAKA ZA NCHI SEHEMU YA KWANZA HAKI ZA BINADAMU .... "(5) Ni marufuku kwa mtu, kikundi au taasisi ya dini kutumia uhuru wa kutangaza dini kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom