KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe

JF Prefixes:

Watanzania tuisome rasimu hii ili tupate katiba safi itakayoleta mwanga mpya wa taifa letu. Wajumbe wa mabaraza ya katiba pia mtutendee haki. Wana jf kazi kwetu.​
2 Reactions
2 Replies
1K Views
MFANO MADARAKA YA UTEUZI BILA KUSHIRIKISHA BUNGE """""""""MADARAKA YA RAIS Ndugu Wananchi, Tume inapendekeza kwamba, Rais abaki na madaraka ya uteuzi wa viongozi wa ngazi za juu. Hata...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa upande wangu nina wasiwasi mkubwa juu ya kuwepo uchaguzi mkuu 2015.kwa sababu zifuatazo: 1.mchakato wa katiba mpya bado na nchi haiwezi kuingia ktk uchaguzi bila katiba. 2.Kama tutafanikiwa...
0 Reactions
1 Replies
731 Views
Wana JF, Nadhani bila shaka mwaka 2016 kutakuwa na Wabunge wengi sana pale Mjengoni watakao ingia kwa tiketi hii ya " Mgombea Binafsi " bila shakaaaa ! Wale wooote watakaozinguliwa na ile...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Wadau, Rasimu ya Katiba mpya ndio imetoka. Binafsi sijaipata ila nimefuatilia kwenye vyombo mbali mbali vya habari na pamoja na kazi nzuri waliyofanya kina Warioba lakini bado kuna mapungufu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
​ IDADI YA MAWAZIRI Inapendekezwa Rais aunde Serikali ndogo iliyo na Mawaziri wasiozidi kumi na tano na mawaziri hao wasiwe wabunge. Mawaziri hawatahudhuria vikao vya Bunge isipokuwa...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Naomba ufafanuzi kuhusu wakuu wa wilaya na mikoa wanapatikana vip?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF, Nimeipitia Rasimu ya Katiba mpya kwa haraka haraka na nikagundua kitu kimoja muhimu sana kinakosekana. Rasimu ya Katiba katika utangulizi wake imeshindwa kumtambua muumba wa ardhi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wa jukwaa, kutokana na matatizo yanayoendelea ndani ya nchi yetu, mimi kwa maoni yangu naona bora katiba mpya izuie kabisa viongozi wa dini kujiingiza kwenye siasa au kushiriki mambo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
1.Kila raia wa Tanzania ana haki ya kupata mkopo wa Elimu bila ubaguzi wala kugawa makundi ya aina yoyote,pasiwe na priority na non priority kwenye masomo na ugawaji wa mikopo,kama masomo fulani...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Wakuu kwanza niipongeze tume kwa kuja na hii rasimu maana tumepata pa kuanzia sasa. Wajumbe wa tume ni wanadamu kwa hiyo mapungufu yanaweza kuwepo japo naamini bado kuna nafasi za marekebisho...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
UCHAMBUZI WANGU KUHUSU HOTUBA YA RASIMU YA KATIBA. 1.tanganyika sasa ipo ila hatima yake haipo 2.tume inaposema hili na lile si la muungano,KWANI ILITUMWA KWENDA KUTENGEZA KATIBA YA MUUNGANO NA...
1 Reactions
5 Replies
929 Views
alichokuwa anakisoma makamu wa raisi kiliandaliwa lini, mbona kama walijua kila kitu kilichokuwemo kwenye rasimu. nisaidieni jamani maana alisema anawakilisha aliyomwagiza rais.
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Kati ya mambo mengi yaliyoelezwa ni pamoja na 1. IDADI YA MAWAZIRI WASIOZIDI 15. 2. TANZANIA BARA KUWA NAMAJIMBO YA UCHAGUZI 25 TU kila JIMBO WABUNGE (2)WAWLI. 3. BUNGE LA MUUNGANO LIWE NA WABUNGE...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau aliye na softcopy ya rasimu ya katiba mpya hebu aitupie tuisome wote hapa. Nmefungua website ya tume mpaka sasa hawajaiweka sasa nashindwa kuelewa kwanini mpaka sasa bado hawajaiweka.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Tume ya Katiba inayoongozwa na Jaji Joseph Warioba inatarajiwa kutoa Rasimu ya Katiba kuanzia kesho Jumatatu. Taarifa za uhakika kutoka ndani ya tume hiyo zinasema wajumbe wa tume hiyo wameamua...
2 Reactions
127 Replies
9K Views
Katika Salaam za kukaribishamwaka mpya wa 2013, Rais wetu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete alitoa taarifa yamaendeleo ya uundwaji wa Katiba Mpya. Katika maelezo yake alionyesha kuwaifikapo Novemba 2013...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kuwakilisha ni mtazamo wangu tu kimaono,nimefikia hatua hiyo kutokana na harakati za wanzanzibar mbalimbali mara tu tangia huu muungànò mwaka 1964 kulalamika kuwa wanaonewa na kuanza kuunda...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu hebu tutafakari hili pamoja. Hoja yangu ni kuwa bunge letu kama chombo kilichoainishwa katika katiba yetu kama muhimili wa wananchi wenye dhamana ya kusimamia na kuishauri...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom