Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Mimi ni fundi ujenzi kuna jamaa namdai yeye ni fundi aliniuzia kazi sasa kwenye kunilipa ndio shida hatujaandikiana ila ushaidi wa kawaida kua namdai upo sasa naomba kujua kama naweza kumshitaki...
1 Reactions
5 Replies
266 Views
Habari Wanasheria mlioko humu, Mimi nilijenga nyumba yangu maeneo yasiyo rasmi ( squatter) tangu mwaka 2014 na kuhamia , kipindi hicho hakuna barabara , umeme Wala maji. Wanacnchi tulijichanga...
3 Reactions
8 Replies
703 Views
Za asubuhi wapendwa, hope nyote mu wazima wa afya, na kwa wale wagonjwa Mwenyenzi Mungu awafanyie wepesi. Hapa mtaani kuna mama amerehemika, huyo mama ameacha mume na watoto 3. Mali zote...
1 Reactions
8 Replies
441 Views
Kawaida, tena on the spot, judgment zinazotolewa na HC and CoA zinawekwa kwenye website ya TANZLII. Such a sensitive judgment one would expect to be posted as soon as possible! Tuwekeeni...
0 Reactions
3 Replies
379 Views
MGAWANYO WA MALI ZA FAMILIA BAADA YA MUME NA MKE KUACHANA. SEHEMU YA 1 Kumekuwa na maswali mengi kuhusu mgawanyo wa mali za familia kwa wanandoa baada ya kuachana. Makala hii inajibu maswali...
0 Reactions
3 Replies
502 Views
Habari wana JF, ni matumaini yangu wote mko sawa, nadhani hii ni mara ya kwanza kupost hapa ubaoni ninaombeni msaada maana nimeshindwa hata kulala yaani. Labda nielezee hivi, sisi ni wakristo...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
📌 UWT YAJIKITA KATIKA KUTOA MSAADA WA KISHERIA KWA WANAWAKE NCHINI. 📍Dodoma Mwenyekiti wa UWT Ndg Mary Pius Chatanda (MCC) ameielekeza kamati ya Haki na Sheria ya UWT inayoongozwa na Mhe. Zainab...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
🔰🔰🔰WAJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI YA BARAZA KUU LA UWT WANOLEWA KUHUSIANA NA SERA YA JINSIA 📍Dodoma Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu la UWT chini Mwenyekiti Ndg. Mary Pius...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
Iko hivi... Mimi ni mmoja wa wanahisa wa kampuni fulani mkoani Arusha.Katika harakati za kutaka kuongeza mtaji,wazo la kwenda taasisi za fedha kukopa likaibuka.Moja ya mahitaji ya hiyo taasisi...
1 Reactions
1 Replies
339 Views
Judiciary and Stakeholders' Role in Strengthening the Integrated Criminal Justice System Introduction For over two decades, the judiciary has marked Law Day with significant implications...
1 Reactions
0 Replies
192 Views
Kwema Wakuu? Nilikua naomba usaidizi wenu wa msaada wa mawazo. Ninamdai mtu kama TZS 18mil hivi na nikamfungulia kesi ya madai kwenye Mahakama moja ya mwanzo hapa Dar es Salaam. Bwana yule...
0 Reactions
11 Replies
560 Views
Kuna kitu hakiko sawa, nadhani subject to discussion (maana sasa tunaruhusiwa kujadili hukumu) Since no reason was given, the first respondent, Permanent Secretary, Public Service Management &...
3 Reactions
4 Replies
410 Views
MWENENDO WA KESI YA WAKILI FATMA KARUME NA ILIPOFIKIA Habari, leo nakuletea UPDATE YA KESI YA WAKILI FATMA KARUME a.k.a. Shangazi, jinsi ilivyoanza, jinsi alivyosimamishwa Uwakili kwa muda na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Boss wangu alinijulisha kwa mdomo kwamba natakiwa kuwa rentrenched kwa hiyo HR watanijulisha Zaidi. Siku mbili baadae, nikapewa Termination Letter ambayo inasema ajira yangu itakoma baada ya siku...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari, leo nakuletea makala fupi kuhusu dhamana kwa mujibu wa Sheria za Tanzania. Kwa kusoma makala hii utajifunza mambo yafuatayo: (i) Utajua maana ya dhamana (ii) Msingi wa dhamana kisheria...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
I took a mobile app loan for 8 days. On the date of repayment, the company staff started to bombard me with demands for payment. I spoke to three different individuals from the company and...
4 Reactions
2 Replies
382 Views
Habari? Kuna changamoto niliipata na kampuni moja ya ukopeshaji mtandaoni.. Nilikopa kwao pesa 21/01- Na makubariano yalikuwa niwalipe siku ya tarehe 27. Ilikuwa siku ya tarehe 27 nikapokea simu...
4 Reactions
14 Replies
479 Views
Ni haki kutoa matunzo ya mtoto kwa kiasi akitakacho mwanamke alieamua kuvunja ndoa na kuondoka na mtoto?
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Mtu akistaafu (on compulsory retirement) , hawajamlipa stahiki zake time limitation ni ipi to claim that in a court of law? Nijuavyo if UNFAIR termination from employment, time limitation to lodge...
2 Reactions
16 Replies
522 Views
Back
Top Bottom