Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Nafikiri mkopoa kabisa Naomba ku share na nyie recipe nzuri ya kupika ndizi mzuzu Kwa wale wasiopenda rost na wengine wanaopenda kula chakula Cha tofauti na hakichukui mda kuandaa Mahitaji Ndizi...
34 Reactions
402 Replies
10K Views
Jamani samaki wa salmon anaitwaje kwa kiswahili
1 Reactions
25 Replies
52K Views
Kwanza lazima tukubaliane kuwa hakuna mfanyabiashara anayependa hasara iwe ni hotel mgahawa au bar kubwa zikiwemo take aways. Wote hawa hutulisha ndaza na viporo. Ni mara chache nno kuona chakula...
26 Reactions
120 Replies
22K Views
Wakuu! Hii kitu inayoitwa halua ambayo inasifika sana hasa maeneo ya Pwani na Zanzibar kiukweli imekuwa overrated kwani nimeijaribu na nimeshangaa kuiona ina ladha mbaya ukichanganya na...
2 Reactions
40 Replies
7K Views
Habari wakuu, kwa wale wadau wa hii nyama yetu pendwa, ngoja leo nikupe mbinu. 1. Nunua nyama yako, ni vizuri kama atakukatia katia pale. 2. Weka nyama kwenye sufuria, weka na maji, halafu anza...
20 Reactions
138 Replies
5K Views
Kama unapenda kufahamu kuhusu vyakula mbalimbali na hujui namna ya kuviandaa njoo kwenye uzi huu uliza nitakujuza kwa wakati.
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Kuna hii mishikaki inauzwa Mida ya jioni 200 jamani ni mitamu sijui wanatiaga viungo gani nyie na ile pilipili yake 😋😌😂 Kuhusu suala la nyama me selewi ni nyama ya nini kuna watu wanasema ni ya...
11 Reactions
42 Replies
3K Views
Mambo vipi wanaJF natumai mko poa. Kwenye misosi kuna kuwa na kile chakula una hamu nacho au tu umekuta sehemu kimepikwa kwasababu hujawahi kula unaamua kula huo msosi kwa mara ya kwanza lakini...
16 Reactions
636 Replies
57K Views
Wasalaam, Mwenye ujuzi juu ya utengenezaji wa ubuyu wa vipande naomba dondoo, nimepitia Youtube kila nikijaribu holaa!! Tutafute namna ya kuongeza kipato [emoji120]
0 Reactions
0 Replies
420 Views
GET A JOB SPELL Are you one of those people that are struggling to take care of themselves and their families? Have you been looking for a job and you don’t find one? Are you thinking that you’re...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu, natumai mpo salama. Mara ya mwisho nilitengeneza white sauce na leo napika bagia za dengu. Ukitaka kuangalia video ya haya mapishi unaweza kuangalia hapo chini. Ukipenda unaweza...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Mahitaji Maini ya kuku 1/2 kilo Vitunguu vikubwa 2 Hoho 1 Pilipil 1 Limao 1/2 Swaum/tangawizi 1 kijiko cha chai Curry powder 1/2 kijiko cha chai Mafuta ya kupikia Matayarisho Safisha maini weka...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimenunua njugumawe nusu kilo. Huku Makongo Juu wanauza 1 kg = 3,400 Nikachambua, nikatia kwenye thermos flask kisha nikaweka maji ya moto (100°c), nikafunga chupa. Hapo ilikua saa tatu usiku...
14 Reactions
36 Replies
3K Views
Vipimo Kuku - 3 Lb Mayai - 6 Baking Powder - 1 kijiko cha chai Pilipili boga - Robo kipande Kitunguu maji - 1 kidogo Pilipili manga ya unga - 1 kijiko cha chai Kitunguu saumu(thomu) na...
2 Reactions
0 Replies
730 Views
Mahitaji Unga wa ngano kilo 1 Amira vijiko 2 vya chai Sukari vikombe viwili vya kahawa Vanila ya unga nusu kijiko cha chai Chumvi nusu kijiko cha chai Nazi 1 tui zito Mafuta lita 2 Maelekezo...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
  • Redirect
Wakuu nipeni ujuzi hapa, Kila siku nikipika wali kwa kutumia jiko langu la Gas naona unanisumbua sana, kwanza hauivi pia unaungua sana chini ya sufuria, nimewaza hadi kununua Rice cooker Wenda...
1 Reactions
Replies
Views
Choroko ni moja kati ya nafaka zenye kiwango kikubwa cha protini, madini ya phosphorus na calcium. Ukiachilia mbali faida nyingine, virutubisho hivi ni muhimu sana kwa ustawi wa afya ya ubongo...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Chefs, Juzi kati hapa nilipigwa na Homa moja matata sana hadi kupelekea kulazwa Hospitali. Ashukuriwe Mwenyezi Mungu na Madaktari kwa sasa homa imeisha. Hii homa ilipelekea kupungua sana kwa...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Haya kama ulikuwa unataka kufahamu pishi fulani namna ya kuliandaa ili kulifanya futai na lisilo futari niulize ikiwa nalifahamu nitakujuza hapahapa namna lipikwavyo. Karibu.
6 Reactions
39 Replies
33K Views
Uzi wa mapishi umedoda jamani watu sijui tupo kwenye mifungo mikavu, rudini kundini tuanzae madigo diko mapya. Mtag mwana mapishi wako pendwa umualike arudi uzini tushee mapishi mapya na...
1 Reactions
4 Replies
356 Views
Back
Top Bottom