Qui Parle le fran?0?4ais bien? Je manque bien de parler cette langue.?0?4a c'est pourquoi j'ai decid?? d'??crire en cette nuit comme ?0?4i.soyez les bienvenus.......!!!!! Que Dieu vs bennisse mes...
CHAMROHO CHAMROHO.
1)Kapu lake mkononi,njiani ajizungusha.
Na mi mate i tumboni,usoni kajikausha.
Kwa mbali yu taabani,siri anasikitisha.
Chamroho chamroho,mate taka mdomoni.
2)mate...
TUMBUA MAJIPU.
1)Ukweli yanaumiza,maumivu ni makali.
Ni lazima kumaliza,tena kuyatupa mbali.
Na dawa yake fukiza,hata kama njia ghali.
Jembe tumbua majipu,tumbua usiogope.
2)Wengi...
Ifuatayo ni sehemu ya shairi liloandikwa na Idd Ninga likijulikana kama tatizo ni baba mkwe ,unaweza kutoa maoni na ushauri wako.
1>tatizo ni baba mkwe,mke amenibania.
Sipendwi na wangu...
PUNGUZA TUI UTIE MCHELE.
Kobe hugeuka paka, kwa uchungu wa mwanawe,
Atoe sumu ka nyoka, kiasi asichezewe,
Kama tai ataruka, kwa makucha aparuwe,
Tua nasema jituwe, siku zako zimefika.
Nasema...
TANZANIA NAKUPENDA SANA.
Mama Tanzania, nakupenda sana,
Nakupigania, usiku mtana,
Zitaangamia, husuda fitina,
Za walo pania, watu kuchinjana
Nakupenda sana, wangu Tanzania.
Siwati kulia, tunapo...
IKULU YA MASHETANI.
1)tutauteka Dunia,milele tutatawala.
Nyote mtaangamia,kila kona kila pala.
Sana tutawachukia,wale wafanyao sala.
ikulu ya mashetani,tutaiteka Dunia.
2)mbona hofu...
UJINGA WA MWAFRIKA,FURAHA YA
MZUNGU.
1)ni uchu wa madaraka,ndio
unaotuponza.
ama kili zimechoka.
tumekuwa takataka,kwa jalala lenye
funza.
ujinga wa muafrika,ni furaha ya
mzungu.
2)wao mbona...
1>mungu akupe maisha,marefu yenye
baraka.
Lugha vyema wafundisha,twaelewa
kwa haraka.
Njia umetuonyesha,nasi twapenya
kichaka.
Pongezi davidi nzela,mema
ninakuombea.
2>ushauri na nasaha,zako...
Nipinge kama sio kweli pia like kama nipo sawa lakini hata hivyo mie tangu mwaka jana niliamua kutumia lugha ya kiswahili kwenye simu yangu ambayo muda mwingi ninayo.Je nawe wafanyaje kuokoa...
Tangazo la mwezi wa 12 la king'amuzi cha Startimes lilikuwa tangazo lililokosa weledi kwenye lugha ya kiswahili na kwakweli linarudisha juhudi nyuma za kukiweka kiswahili kwenye ramani ya dunia...
Amani iwe juu yenu wapendwa wote. mwaka 2016 unahitajika kuwa mwaka wa mabadiliko katika fani ya ushairi Tanzania na Afrika ya mashariki kiujumla.
mabadiliko hayo yanakuwa katika
vipengele...
Hapo zamani za kale, kale ile ya umilele. Kale iliyozama hata isitambulike ilipoanza wala kuisha. Haswaa ni kale ya zama za enzi na enzi. Hapo kale basi, palikuwa naye neno, asijulikane alipoanza...
kuna msemo umeenea sana siku hizi utasikia "chandarua chenye dawa" Je hii ni sahihi?mimi kwa ufahamu wangu finyu nilidhani neno sahihi ni "chandarua yenye dawa"naomba mchango kwa wataalam wa lugha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.