Wadau nadhani sote tunamjua aliyekuwa Rais wa Zanzibar Salmin Amour.Rais Huyu amekuwa haonekani kwenye shughuli mbalimbali kama Marais Wastaafu wanavyoonekana,ziwe za Chama au Serikali je tatizo...
Miaka ya 1975 na kuendea kuna na kesi ya aliyekuwa mfanyakazi wa Kilimanjaro hotel akiitwa Juma Thomas Zangira. Huyu bwana alishtakiwa kwa kesi ya Ujasusi. Ninaomba anayeijua mwisho wa kesi hiyo...
Yoweri Kaguta Museveni alizaliwa 19 September 1944, ni mwanasiasa wa Uganda ambae amekua rais wa Uganda tangia 29 January, 1986.
Museverni alijiunga na majeshi ya uasi ambayo yamtoa aliyekua rais...
FROM HIS OWN WORDS - YOWERI KAGUTA MUSEVENI, the President of UGANDA. " We were gaining ground of Kampala, lead by Colonel Mahfoudh and we three of us, Me, Major Marwa and Major Isonda IN A...
Kumekuwa na shinikizo kubwa sana kwangu kutoka kwa ndugu na jamaa kuwa nijibu maneno ya Yericko Nyerere kuhusu historia ya African Association (AA).
Wengi waliomsikiliza Yericko katika kipindi...
Historia huwa inapitia msururu mrefu wa matukio.Yapo matukio ambayo mwanzoni huenekana ni sehemu ya historia nzuri lakini kadri muda unavyokwenda watu hujutia historia hiyo na hatimae kuamua...
DAR-ES-SALAAM YANGA AFRICANS YASIMAMISHA MAANDAMANO MSIKITI WA MAKONDE ILIPOTOKA ADHANA
Waandamanaji wa Yanga waliokuwa katika maandamano makubwa wakiwa wamebeba kikombe chao cha ubingwa wa Ligi...
YANGA NA SIMBA UNAZI WA ZAMANI: KISA CHA MZEE MANGARA TABU NA AYUBU KIGURU
Nina rafiki yangu anaitwa Kazua leo asubuhi kanipa kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu Kiguru. Wakati wa ujana wake...
Polisi kuua raia hovyo
Mawaziri na viongozi kufanya na kusema watakacho
Jumuiya za kidini kugomea sensa bila kujali
Ufisadi wa kutisha nchini unaoendeshwa bila woga
Migongano ndani ya CCM kufikia...
Indonesia ilikuwa na utawala uliojulikana kama New Order ulioendeshwa na Rais Surharto. New Order ili sumu madarakani kwa miongo mitatu, watawala walikuwa wamepumzika na hawakuangalia tena...
YALIYOPITIKA KIPATA NYUMBA NO. 69 WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Ndugu zangu WanaGerezani
Siku ya Gerezani Day nilikuelezeni kwa muhtasari kuhusu makaratasi yaliyokuwa yakichapwa pale...
Kwa hakika kipindi cha utawala wa Mwinyi hakupungukiwa na watu waliokuwa wanaona raha kumshambulia.
Ilisikitisha kuwa kulikuwa na magazeti yalimpa nafasi Reverend Mtikila kumshambulia Rais.
Kuna...
Ni takribani miaka 44 sasa tokea kuuawa kwa aliyekuwa rais wa kwanza wa Zanzibar marehemu sheikh Abeid Karume.
Tukio hilo lililotokea katika ofisi za makao makuu ya A.S.P huko kisiwa Ndui mjini...
Wakuu hapa nitawaletea matukio yote muhimu wakati wa vita hii ya Kagera. Sio kama mimi ndiye niliyeandika la hasha! Ninachokifanya mie ni kuwaletea hapa kutoka Gazeti la Mwananchi. Kaa nami upate...
Mwene Ngalu(I) mwanamke mtawala wa Kabila la Wafipa
]
Makao makuu ya Mwene Ngalu wa kabila la Wafipa yaliyopo mjini Sumbawanga
Kitabu kilichoandikwa na Mkuu wa wilaya wa enzi za Ukoloni wa...
Wadau,
Naomba mnisaidie hili swala, Hivi Zanzibar kuna makabila kama ilivyo Bara? Na kama yapo ni mangapi.?
Kuhusu Lugha Ukanda wa Pwani.
Unaposema kabila katika uwanda wa mwambao wa pwani...
Wana JF;
Inasemekana Tanzania ina Makabila 126 na katika makabila haya kuna Koo au majina mbalimbali. Je tunaweza kusaidiana kutaja majina haya ya Ukoo au makabila yaliyo Common?
Majina ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.