Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Nimebaini kuwa watu wanaofanya mazoezi ya viungo huwa wanafurahia usingizi,hii ni kwa sababu viungo vyao huwa laini Kinyume cha wale wasiofanya mazoezi huwa wanapata shida sana kutokana na kusihi...
3 Reactions
4 Replies
718 Views
Heshima kwenu Madaktari, naomba kujua ukomo wa umri wa mwanamke kuzaa. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33. Nimekuwa na uhusiano na mabinti wa umri chini yangu ila wamekuwa wakiniacha kwa...
1 Reactions
20 Replies
16K Views
Wataalamu mi nasumbuliwa na kuota visundo nini sababu na nifanyeje kuvizuia?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Salaaam wana Jf Ni langu tumaini kwamba mpo salama na mnaendelea na majukumu ya kila siku. Leo naomba tufahamishane kazi ambazo zinawezwa kufanywa na OLIVER OIL.
1 Reactions
36 Replies
35K Views
Jamani kuna mdudu (anafanana na mnyoo) anaye kaa kwenye mboga za majani pia huyo mdudu hafi kwa kupikwa unashauriwa kuosha mboga za majani kwa chumvi na maji ya uvuguvugu maana ni mdogo anaganda...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
  • Redirect
Habarini, nimeona niwashirikishe nilichokisikia toka kwa mkufunzi wa masuala ya mahusiano na ngono kama alivyokuwa akitoa semina katika kipindi cha "TED Talk show". UKWELI. 1. Wale wale walio...
1 Reactions
Replies
Views
Wakuu habar ya majukumu. Leo nimejitokeza katika jukwaa hili ili mnipe reasons za kitalaama na hata wenye uzoefu juu ya mkasa huu. Girlfriend wangu nilikua nae tarehe 12 na tuli sex but kabla ya...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
  • Redirect
Wasalaam, Kuna dada ana mimba ina miezi 3 na wiki mbili na hili amelijua siku chache zilizopita kuwa ana mimba na sababu ya kutokujua hadi inafika umri huo ni kwamba na alikua anapata hedhi...
0 Reactions
Replies
Views
Je Kuna uwezekano wowote Juu ya Mwanaume kutoweza Kutungisha Mimba Maisha yake Yote?
0 Reactions
2 Replies
714 Views
Inapotokea wafalme wa Misri, Malkia wa Ulaya, Mitume na wanasayansi wa kisasa wanakuja na kukubaliana katika jambo moja, ni mhimu kudadisi juu ya jambo hilo. Ingawa nyakati za sasa tunazungukwa na...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani natafuta dawa ya vidonge vya kalonji inayotokana na mmea wa black cumin. Mwenye kujua nitaipata wapi tafadhali anijulishe.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Redirect
Unasumbuliwa na vidonda vya tumbo??? Chukua maganda ya nanasi chemsha yakiwa na uvuguvugu changanya na asali ya nyuki wadogo kunywa. Kunywa mara mbili kwa siku na ufanye ivyo kwa muda wa siku saba.
1 Reactions
Replies
Views
Habari na poleni na majukumu yenu, Ndugu zangu nahitaji meno ya bandia, mimi nipo Dar wapi naweza kupata? mwenye kujua yanapouzwa na kubandikwa anijulishe plz!!
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naumia kiuno,kinauma sana hata kutembea siwezi.
0 Reactions
2 Replies
697 Views
  • Redirect
Msaada tafadhari nimekuwa nikisumbuka na aina ya vipere ambavyo uniwasha sana baada ya kunyoa nywele,na nahisi vinaongezeka kadri ninyoavyo. Wataalamu ngozi tusaidiane ushauri.
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wanajanvi naomba msaada hivi ganzi kwenye viungo inasababishwa na nini. Ndugu yangu ana tatizo la ganzi kwenye mikono yake na ametumia dawa mbalimbali alizoshauriwa na daktari lakini bado tatizo...
0 Reactions
Replies
Views
kwa yeyote anayeijua dawa lishe wapi naweza ipata kwa hapa dar anijuze tafadhali, siyo unga lishe tafadhali ni dawa lishe!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Redirect
Inafurahisha kuona kuwa wapo wafanyabiashara wengi maeneo tofauti tofauti Nchini mwetu na mitaa tofauti tofauti wanaouza juisi ya miwa. Kimsingi juisi hii ni sukari halisia ambayo haijachakatwa...
6 Reactions
Replies
Views
Naombeni ufafanuzi wa kina ndugu, maana ni siku ya 3 leo shemeji/ wifi yenu analalamika kasi ya mtoto kucheza tumboni imepungua.
0 Reactions
6 Replies
30K Views
  • Redirect
Naomba kuuliza kwa wataalamu wa meno. kuna hili tatizo la meno kufa ganzi(yaani meno kuwa kama yalikula maembe machachu kisha kkuma na kushindwa kutafuna chakula). Hivi hili tatizo linatibika na...
1 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom