Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Siku moja tukiwa tunaongea na wagonjwa katika mijadala ya kawaida kuhusu kudhibiti kisukari na presha, mgonjwa mmoja aliuliza swali la muhimu sana. Dr. Mimi nashangaa, ninamuiga mume wangu aina...
2 Reactions
7 Replies
347 Views
Wakuu kwema? Ni sahihi mtu kunywa dawa (Vidonge)na akatumia maziwa mgando? Asanteni
2 Reactions
24 Replies
318 Views
Habari wakuu! Hivi karibuni nimeanza kusikia Kelele kwenye Sikio Langu la Kushoto kama Mdudu au filimbi inalia Kwa Mbali. Hapo awali nilihisi ni wale wadudu wanaopiga kelele ardhini, lakini...
0 Reactions
3 Replies
74 Views
Habari za muda wakuu!!! Jmani naomba msaada kwa anaejua dawa ya kienyeji ya PUMU ya ngozi. Mwanangu anasumbuliwa sana nahuu ugonjwa, nimeshampeleka MUHIMBILI, EKENYWA, REGENYCY na tukapewa dawa...
1 Reactions
6 Replies
159 Views
Nianze kama una umri wa chini ya miaka 18 hapa hapakufai hata kama unaijua dawa. Huu msaada utaenda kutibu watu wengi hivyo kama utatoa msaada jua moja kwa moja unaenda kuponya au kuharibu hivyo...
11 Reactions
169 Replies
5K Views
Alcoholism: • Alcoholism is a psychological condition • Addiction to alcohol can affect one's life negatively • Family support and encouragement is critical to help quit drinking Symptoms to...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini jamani.. Naomba kufahamishwa tube nzuri (dawa ya kupaka) usoni ambayo inaweza kuondoa chunusi au mashimo usoni ambayo yanapelekea kutengeneza utando(ugaliugali) mweupe kwa ndani. Kama...
0 Reactions
2 Replies
89 Views
Habari wakuu Naomba kufahamu kusafishwa Figo ghrama zipoje kwa sasa hapa hospital ya taifa ?
3 Reactions
54 Replies
1K Views
Habari za muda huu wanajf, Nimekuja kwenu wanajf ili niwezekupata mbili tatu kuhusu hii milio ya masikio ambayo imenisababisha kutosikua vizuri kabisa tatizo halina muda mrefu sana.
3 Reactions
9 Replies
179 Views
Habari! Leo nimeona niwasaidie kuwatajia dawa ya asili ya Bawasili ya uhakika, nimewahi kuwasaidia wagonjwa wengi tatizo la Bawasili na wakapona. DAWA 1. Mizizi ya mmea unaoitwa 9 disemba...
2 Reactions
5 Replies
176 Views
Wakuu kwanza kabisa niwe wazi mimi sio daktari wala sipo kabisa kwenye eneo la afya. Habari hii ni kwa hisani ya vyanzo mbalimbali vya taarifa nilizosoma na kusikia. Matumizi ya vitu hivyo ni...
9 Reactions
61 Replies
2K Views
No wonder this grass went viral all over the social media. With its endless health benefits, it is truly God’s gift to mankind. We can find this weed almost everywhere throughout the Philippines...
75 Reactions
2K Replies
248K Views
Habar wakuu ushauri wenu mke wangu siku yakujifungua presha ilikua juu sana akapigwa sindano yakushusha presha ndo kuweza kujifungua lakina baada ya akujifungua Bado presha ikawa juu kidgo...
5 Reactions
7 Replies
116 Views
Tunaelewa joto la dar ni kali lakini jitahidi mwanaume usioge maji ya moto/yaliyopigwa na jua kwa muda mrefu. Kwa sababu nimeona niwafichulie siri, imetoka ripoti kutoka hospitali fulani kuwa...
11 Reactions
91 Replies
3K Views
Bawasili imenikata nguvu za kiume kbsa msaada aliepona
7 Reactions
136 Replies
11K Views
Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.. Niligundua hili tangu mwaka 2023 baada ya kushindwa kusex Kwani uume ulisimana ila nataka kuingiza tu nikamwaga na uume...
6 Reactions
63 Replies
3K Views
Wadau habari za jioni? Kama mada ilivyo hapo juu kuna huo ugonjwa unaitwa Anal fissure siujui jina lake kwa kiswahili, yani unakua kama kunavinyama fulani vinatokea kwenye anus vinatokana na...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari wanajamvi wenzangu. Leo naomba NITOE BURE dawa 2 za Magonjwa sugu ya NGIRI na VITONDA VYA TUMBO kama Zawadi yangu ya CHRISTMAS kwenu. Dawa hizi siuzi bali tumia mazingira unayoishi...
4 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu habari za jioni!, Naomba niulize chanjo ya homa ya ini inapatikana kwenye hizi hospital kuu za mikoa kwa sisi tuliopo mikoani au hata kwenye hospital za wilaya? Na je vp gharama zake ni bei...
0 Reactions
5 Replies
311 Views
Back
Top Bottom