Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hello mim mgeni samhn nasumbuliwa na kitu kukaba kooni nimezunguka bila kufanikisha Tiba mwenye kujua tiba tafadhali anijuze[emoji120]thanks
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Habari wakuu Nina matumaini nyie wazima naombeni msaada kwa hili nina ndugu yangu akaifuata akiomba ushauri Kuwa amepata mwanamke anayetarajia kumuoa lakini huyu binti ana tatizo la moyo kila...
1 Reactions
15 Replies
371 Views
Wakuu habari za Asubuhi, Natumaini wote mko wazima! Naomba mtu anefahamu Dawa au Suluhisho la tiba za Nyama za Puani kwasababu mwanzoni niliambiwa ni Surgery na nilifanya mwaka jana mwezi wa...
0 Reactions
1 Replies
149 Views
Moyo Moyo wa kibinadamu baada ya kutolewa kwenye maiti kwa utafiti wa kiganga Moyo kama ishara ya upendo Muundo wa moyo wa kibinadamu *1 Vena kava ya juu (damu inaingia kutoka...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu ni alfajiri hii siku ya leo, usishangae kwa nini nimeshika simu nakukaa kuandika uzi huu badala ya kujifunika gubigubi blanketi, hapo ujue ni kuwa usingizi umenipaa na dakika kadhaa...
38 Reactions
390 Replies
22K Views
JF doctor habari. Week iliyopita jumanne nilijikuta napata uchovu mkubwa sana, na maumivu kwenye mabega. Uchovu ulidumu siku mbili tu, then nikaanza kupata maumivu kiunoni na mgongoni kwenye...
0 Reactions
11 Replies
324 Views
Baadhi ya Maswali yaliyoulizwa na wadau Kuhusu tatizo la Ganzi kwa ujumla Habari wana JF, Naomba kujua kupata ganzi mwilini kunasababishwa na nini na tiba yake ni ipi? --- popoma yeye ameuliza...
2 Reactions
138 Replies
207K Views
Habari wakuu? Naomba kuleta kwenu swala hili la ugonjwa wa GERD. Je, kuna watu wameugua huu ugonjwa? Wamepona? Walitumia muda gani kupona? Ulitumia njia zipi/ matibabu gani Hadi kupona? Vipi...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuna watu hawaamini mpaka leo kuwa ngoma ni ugonjwa dhaifu kama magonjwa mengine pindi unapoingia mwilini kwa mara ya kwanza. Ikiwa mwili wako ni mwili wenye kinga imara ambayo inaweza kupambana...
9 Reactions
61 Replies
2K Views
Habari wana jamii, Ninasumbuliwa na tatizo la miguu kukaza kuanzia unyayoni mpaka kiunoni na hata mgongoni kiasi kwamba nakosa balance, siwezi kusimama au kutembea muda mrefu mpaka nitumie nguvu...
0 Reactions
9 Replies
288 Views
Mnyonyo ni mbegu zinazotokana na mti wa Mbarika. Sasa mwenye kujua zaidi atuhabarishe, manake hizi mbegu mi nasikia ni zaidi ya dawa!! Kwa niliyoyasikia hasa toka kwa wazee wa zamani ni haya...
3 Reactions
23 Replies
103K Views
Habari ndugu Wana jf. Natumaini nyie wazima wa afya Tena,niko hapa kuwaomba ushauri na uelewa juu ya tatizo hili la kichwa kuwa kizito sehemu ya nyuma bila kupoteza wakati Moja kwa Moja niende...
1 Reactions
18 Replies
371 Views
Habari Wana jukwaa! Kuna Binti anapitia changamoto ya mwili wote kuhisi maumivu ya kuwaka moto muda wote, miguu kuuma, mikono kushika ganzi na mabega kuumia lakini pia na meno yanamuuma ivyo vyote...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wataalam Ningependa kujua kwa undani maana ya hiki kipimo cha full blood picture Kinahusu vipimo vyote vya damu? including HIV? Au ni vipi? Je, kinamsaidia dokta kupata picha ya magonjwa...
3 Reactions
38 Replies
33K Views
HAPA NI ELIMU YA ASALI TU Unakuta mtu anaasali nyingi hajui matumizi yake. Niulize chochote kuhusu asali nitakujibu hapa natoa na elimu yake Dawa ya Asili ya Kikohozi Sugu VIFAA 1.Kitunguu...
6 Reactions
119 Replies
6K Views
Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini mtu mwenye kisukari kidonda chake hakiponi haraka? JIBU: Kuna sababu kuu mbili za kisukari kuchelewesha kupona kwa vidonda: KWANZA: Viwango vya juu vya sukari...
4 Reactions
6 Replies
307 Views
Wasalaam madaktari na wahenga... Ninaandika uzi huu nikiwa na maswali mengi yakinichanganya akili. Nina mchumba wangu ni single mother pia amenizidi hadi umri. Kwanza ameokoka na katika uchumba...
19 Reactions
207 Replies
4K Views
Naelekea duka la dawa. Nikanunue dawa gani na bei ikoje? Usiniambié habari za kwenda hospitali, we taja dawa. Wengine tuliiba mashuka ya hospitali tukienda tu tunazua taharuki.
1 Reactions
12 Replies
311 Views
Back
Top Bottom