JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu kwa moyo mkunjufu kabisa kutokana na story kwamba huyu mzee hakuwa na ajira na wakati mwingine alilala bila Kula, nipo tayari kumpatia huyu mzee ajira Mara tu atakapo maliza maswala ya kesi...
31 Reactions
99 Replies
10K Views
Ndugu zangu,nikiwa kama mwenyekiti wa Chama cha wanaume mashababi wa Tanzania(Chawamata) napenda kutoa Taarifa rasmi ya chama chetu kuhusu maamuzi ya kikao chetu tulichoketi jana Tar 12/11/2017...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu Kwahio Budget Hapo Juu Naweza Kununua simu Gani, Kalii.....Nilikuwa na idea na Galaxy S5.....Je Mkiangalia itafaa?.....Kama kuna mtu ana recomendation ya simu Kali kwa hio Bei Naombeni...
0 Reactions
2 Replies
546 Views
mtoto Hope kabla na baada ya kuokotwa na mzungu
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Humu tunaitana mkuu bila kujuana jinsia(kama member wamezuia profile zao kwa baadhi ya watu{halafu kwanini watu mnalimit watu wa kuona profile zenu?hata gender tu?}),umri au vyeo.Sasa ikitokea...
0 Reactions
9 Replies
793 Views
Huyu member amekua mchangiaji no 1 kwa Kila uzi humu kampuni jukwaani,hii imemfanya kujulikana ktk Kila uzi.. Kwa muda sijaona comment yake, je kuna yeyote anaefahamu alipo? Hana...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Toilet Paper zimetengenezwa kwa ajili ya wanawake tu. Wanaume wa kweli tunatumia; > Karatasi > Kalenda > Gazeti > Mfuko wa cement mtupu > Jiwe > Kipisi cha godoro > Majani > Viatu > Rungu ONGEZA...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Waungwana msaada kituo cha mafuta kinatafutwa maeneo ya dsm Kodi million tano kwa mwezi...malipo ya miezi mitatu Kama ipo nitext what's up +258862695817
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Sio siri nimetembelea kwenu jana usiku pale Alfa Cafeteria na nilichokiona sikuamini macho yangu kabisa. Kijana wa INFORMATICS nikajikuta nipo chumba cha mamba wa mapenzi. Hakika mmeumbika sana...
7 Reactions
53 Replies
5K Views
Let's say mpo online mnachat na girl wako Akakuuliza "Unaoa lin mpenzi?" Nawe ukajibu "Kwanza ybd nijipange wngu.... nipe mda Then kuna kjtamblsha Hlf kuna posa Na ndoa itafuata wngu Just...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Enhe twambie leo jua limewaka vipi huko, kwema.
0 Reactions
9 Replies
693 Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habar kinavyojieeleza hapo juu Hapa najua kuna mafundi wa mtongozo kwa sana Naomba watu ambao ni watalamu wa kuwavua chup wadada ambao...
1 Reactions
84 Replies
14K Views
Binafsi nakerwa sana na huu mtindo wa awa walinzi wetu wa barabara wanavyobuni vimakosa visiyoeleweka kila kukicha ili mradi tu ipatikane sababu ya kudaka mtu. Majuzi nimevuka zangu kwne zebra...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
j
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Sitaki tena namba ya mtu ambae hajui kusoma wala kuandika meseji ktk simu yangu na nimewaambia kabisa bila kumung'unya maneno na wala kupepesa macho, khaa!!, na kwa Uso wa Mbuzi, nikawaambia...
0 Reactions
10 Replies
814 Views
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] New brnd...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Utetezi wa Dr. Louis.... Mimi ni kweli nilipanga kununua nyumba zote tatu, na kwenye mnada nilitamka fedha 700, 800 na mwisho 900... Hakuna popote niliposema milion 900 Nimewaacha police...
28 Reactions
117 Replies
14K Views
Nikiwasha Itv Na Nikamsikia Farhia Midley Akitangaza Napata Faraja.Natamani Aendelee Kutangaza Na Kutangaza Tu.Kinachonivutia Ni Ile Sauti Yake Na Usomaji Wake.Sijamtamani Nieleweke!! Nasema...
0 Reactions
99 Replies
19K Views
Karibuni nyote,uliza swali lolote lile,au jambo lolote lile linalokutia ushamba,uliza memba wenzako watakujibu
1 Reactions
2 Replies
667 Views
Wakuu kichwa cha habari hapo juu kinajieleza... Nimeamua kuchukua uamzi huu wa kumtafta mganga wa kienyeji baada ya kufanya kila njia ili nijikwamue katika hii ya umasikin imeshindikana Na kama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom