Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact.
Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye...
Nategemea kutembelea mji wa Kigoma mwanzoni mwa mwezi wa tano mwaka huu. Kwa mwenye uzoefu na mji wa Kigoma, naomba kufahamishwa sehemu nzuri ya kufikia na maeneo ya kutembelea kwa wiki tatu...
Nimeupdate:
Mi naishi Nje ya Nchi tokea mwaka juzi tokea mwaka juzi (2016). Nilipata bahati ya kusoma master Nchini ubeligiji miaka ya 2013 baada ya hapo nikaja bongo nikatafuta kazi sikubatika...
Unapoingia mlangoni na kuufunga mlango, ni sawa na kuingia kaburini na kujifukia.
Ndio maana asili ya viumbe hai, iwe wanyama n.k hawana nyumba zaidi ya kukaa na kuishi sehemu za wazi, na mwisho...
Kwa umri uliofika.
1. Kama una miaka 30s Kuwa bilionea sahau/Waza mambo mengine.
2. Kama una 30s na hauko na hujawai kuingia kwene siasa bas we huwezi kuwa Rais hadi unakufa.
3.Wewe siyo Super...
DISCLAIMER (KANUSHO): Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya burudani tu, Maudhui yake hayana nia ya kukashifu, kudharau au kuchukulia poa harakati/imani/mitazamo au kazi za watu.. Tufurahie na kucheka...
Naona watu wengi wananiuliza nini maana ya prakatatumba, huyu mwamba cabo snoop aliitisha sana na ule wimbo wake wa Windhoek, sijui ameishia wapi lakini mimi nimekua fans wake mkubwa miaka yote.
Asalaam ndugu zangu,
Hakika natumaini ya kuwa wote nyie ni wazima wa Afya baada ya mihangaiko ya week nzima. Anyways, niende moja kwa moja kwenye mada, Jumapili ya leo tarehe 21/4/2024 una enjoy...
Hivi mtu unatokaje huna hata mia? Aibu nyingine zinaepukika kuwa na akiba ya hela yako binafsi ni muhimu sana. Hii inawakumba sana Ke wengi.
Back up plan ni muhimu sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.