Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Universe yetu ina takribani miaka 93 Billion Light years. Ninaposema 93 Billion Light years ninamaanisha kwamba ili uvuke Universe yetu ni lazima kwanza usafiri kwa speed of light yaani Kilometre...
5 Reactions
57 Replies
8K Views
Salam Wakuu!. Pitia hapa kidogo upate mawili matatu kuhusu hii inaitwa MAELEWANO RAFIKI NA ULIMWENGU (Harmonic relationship). Kanuni ya msingi ya ulimwengu ni ile ya utaratibu(Order), pale...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Kakobe amempongeza Rais Kibaki kwa kuchaguliwa tena. Mwanzoni niliposoma mstari wa kwanza nilishtuka na nikaanza kusema huyu Askofu kapatwa na nini tena. Hata hivyo kadri nilivyoendelea kusoma...
0 Reactions
84 Replies
16K Views
habari wanajf niende moja kwa moja kwenye mada nimekua nikisikia toka kwa viongozi wengi wa dini na hata kwa wasio viongozi wadini wakisema kuwa sisi sote ni uzao wa adam na hawa....lakini swali...
9 Reactions
133 Replies
22K Views
CNN na hata BBC wamekuwa wakionesha mashushu wa mossad wanavyoshtakiwa Iran. Wale wa FSB ya Russia wanakamatwa na kurudishwa Urusi ama kufungwa marekani. Mimi dada yenu na urembo na umri wangu...
20 Reactions
261 Replies
44K Views
Dunia ina maajabu yake. Basi leo tuangalie baadhi tu ya maeneo ambayo hukufikiria kama yanaweza kuwepo duniani na utastaajabia maajabu ya Mungu katika uumbaji wake. 1. Gates of Hell Eneo hili...
19 Reactions
75 Replies
19K Views
Well knowledge is power find out where and why for the past 500years our history,culture and our artifacts have been stolen and branded ''white'' civilization by the albinos(white men). Kingo...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Ndugu zangu wa JF naomba kupata uelewa zaidi ya Room 39 ya Korea ya Kaskazini. Nimejaribu kuperuzi nimepata machache tu nimeyakopy hapa chini..please mwenyewe uelewa zaidi naomba atiririke...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Pet" girl kicked off bus for wearing leash A British bus company has apologized to a girl who is led around on a leash by her boyfriend and describes herself as a human pet after one of its...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jambazi sugu mjini Boston James "Whitey" Bulger amepatikana akiwa amefariki katika jela moja eneo la West Virginia nchini Marekani. Jambazi huyo mwenye umri wa miaka 89 alifikishwa katika...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
SOMETIMES TERROR MUST BE USED TO FIGHT TERRORIST THEMSELVES. KUNA WAKATI UGAIDI NI LAZIMA UTUMIKE KATIKA KUPAMBANA NA MAGAIDI WENYEWE. Picha za video za hivi karibuni zilizokuwa zikionesha...
37 Reactions
131 Replies
37K Views
Katika mazungumzo yake Rais Magufuli na wananchi leo Mjini Ngara, amemuuliza mkuu wa kambi ya jeshi iliopo kwenye mpaka unao unganisha mataifa mawili ya Burundi na Rwanda kuwa kikosi chake kina...
32 Reactions
229 Replies
35K Views
Vita maarufu ya Vietnam ni moja ya vita katika historia ya Marekani ambazo taifa kubwa na lenye nguvu duniani lililazimika kuondoka uwanja wa mapambano baada ya kushindwa vibaya. Vita hii...
21 Reactions
102 Replies
23K Views
Miaka ya 1776 Jasusi wa Kimarekani William Carmichael alitumwa na Taifa lake kwenda kutafiti na kujua ni kwa namna gani USA inaweza kuteka soko la Tumbaku Duniani ambalo lilikuwa limeshikiliwa na...
23 Reactions
17 Replies
2K Views
Judy Tong Wenhong alijiunga na kampuni ya Alibaba mwaka 2000 (mwaka mmoja tu baada ya kampuni hiyo kuanzishwa), kama mtu wa mapokezi (Receptionist) kwa kuwa hakufanikiwa kupata nafasi aliyoiomba...
21 Reactions
27 Replies
4K Views
  • Redirect
Copy & Paste (soma upate maarifa usiniulize mimi) [emoji1322][emoji1322] Vita maarufu ya Vietnam ni moja ya vita katika historia ya Marekani ambazo taifa kubwa na lenye nguvu duniani lililazimika...
17 Reactions
Replies
Views
Habarini za jioni wanaintellijensia na watu wa kufikiri katika nyuzi 360 kwa kila jambo. Kama kuna kosa kubwa tunafanya ni kushika imani bila kujua japo historia kiduchu ya tulikotoka. Dunia ya...
45 Reactions
283 Replies
38K Views
"OPERATION COINTELPRO" OPERESHINI MAALUM ILIO SUKWA NA FBI, ILIINJINIA VIFO VYA MALCOM X NA MARTIN LUTHER KING Jr, WANAHARAKATI WEUSI WASIO SAULIKA. Na.Comred Mbwana Allyamtu Friday -28/6/2019...
8 Reactions
10 Replies
5K Views
Salamu wana jukwaa wa humu: Nimekisoma kitabu cha The Richest Man in Babylon, by George S. Clason na kinasema kwamba wanasayansi, wanamahesabu wa kwanza kabisa ni wao. Nijuavyo mimi, watu wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana jamii intelligence, Kutokana na kichwa cha uzi nini maoni yako kwamba askari mfano mwanajeshi,polisi akiua mtu pindi awapo katika majukumu yake ya kazi ni dhambi kwa Mungu...
4 Reactions
51 Replies
6K Views
Back
Top Bottom