Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Kuna watu wanaitwa waswahili, hapa namzungumzia Sadaat na wenzake hawa jamaa walikuwa noma sana katika uandishi sema hawakuwa na bahati albumyao ya Waswahili ilitisha nyimbo kama Yupi bora kati...
2 Reactions
61 Replies
15K Views
Nilitegemea itakuwa moto wa kuotea mbali zaidi ya kwangaru lakini imekuwa tofauti. Bora atoe video faster ,nenda YouTube ukapate uhakika. Ila kwavile ni WCB tutalizimishwa kuzipenda kwa promo...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
huyu ni shabiki wa simba au Manchester United???? Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
0 Replies
355 Views
Hizi zote ni movie za kutisha ambazo zimetoka kwa nyakati tofauti Ipi unaipa maksi kubwa zaidi?
1 Reactions
109 Replies
18K Views
Naomba kujua,nina muda sasa nashindwa kutumia AzamTv application niliyo download kutoka App store,kila niki download.. nilitaka kuangalia mechi live/ news ina jifunga,nimejaribu kuondoa na ku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza wanajamvini niwape pole sana kwa misiba hii mikubwa miwili ya Ruge na Kaka yetu kibonde waliotangulia mbele za haki, mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi, Katika kipindi hiki...
0 Reactions
46 Replies
12K Views
Nandy - Nikumbushe (Official Audio)
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Siku kama ya leo mwaka 2007 mwanamuziki nguli wa miondoko ya Rege, Lucky Philip Dube maarufu kwa jina la Lucky Dube aliuawa kwa kupigwa risasi > Tukio hilo lilitokea muda mfupi baada ya...
5 Reactions
46 Replies
10K Views
Menu ya safaricomline kupata huduma zake ni ipi jama? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Lucky Philip Dube (tamka doo-bei) [1] (3 Agosti 1964 - 18 Oktoba 2007) alikuwa mwanamuziki wa reggae kutoka Afrika Kusini. Alirekodi albamu 22 katika lugha ya Kizulu, Kiingereza na Kiafrikaans...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu kuna huu wimbo wa bendi ya lucky dube wa CELEBRATING HIS LIFE nimeshindwa kujua kitu,hivi ile sauti inayosikika mbona ni ya lucky dube kabisa,na je yule jamaa anaeoneshwa kwenye video kama...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wadau kuna wimbo mmoja watiwa kesi ya khanga au monica uliimbwa na huyu nguli au bendi ambayi akiitumikia kama kuna mdau anao au link napoweza download please naomba. Natanguliza shukrani Buswelu
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Naomba mwana jf yeyote aliye na audio ya wimbo wa dudu baya unaitwa Mwanangu huna nidhamu anisaidie. Wimbo huu naupenda sana na unanikumbusha miaka ya 90. Asanteni.
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Shirikisho la soka barani ulaya limemaliza utata wa penalti ulitokea kwenye mechi ya mtoano kati ya Man United na PSG na kusema kwamba penalti ilikuwa stahiki. Mpira ulipigwa na diego dolot na...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
RIWAYA: URITHI WA GAIDI. NA BAHATI MWAMBA. SIMU: 0758573660 Vitabu vilivyopita. • Kikosi cha pili • Dakika za mwisho • Mpango wa Congo • Mbwa wa geti • Operesheni jicho la...
6 Reactions
44 Replies
11K Views
Wakuu mko pow? Nadhani nipo jukwaa sahihi Wakuu nimeitafuta hii movie bila mafanikio tafadhali anaye ifahamu naomba aniambie hii movie inaitwaje jina tuu latosha mimi nitaifuta online...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau Kila mtu ana ladha yake ya movie l,akini itakuwa vizuri tukitajiana majina ya movie nzuri tulizowai kuona na kupendekeza tuzitzame. Ni vema tusifuate kigezo cha mwaka bali kigezo cha...
0 Reactions
131 Replies
14K Views
  • Redirect
haya ndyo maneno ya dudu baya!! jamaa kumbe muda mwingne ana akili na anaweza kuongea vizur na mazuri kwa watu
1 Reactions
Replies
Views
ukipita hapa mchana au asubuhi ni frem tu iliyofungwa kama frem zingine za biashara...asubutuuuu pita apo kuanzia saa moja jioni na kuendelea alafu uone iyo set-up yao utazimia na roho...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom