Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wakiokuwa wanapiga kelele eti ETV hawachezi ngoma za WCB,hicho kitu hakipo...sasa nguvu ya ETV+WASAFI....Clouds mtaomba poo mwaka huu na roho zenu mbaya. Muda huu hizi picha ni Ngoma ya Diamond ETV
3 Reactions
84 Replies
10K Views
Mzuqa SIZONJE's slaves! Kwani crazy GK aliwakosea nini AY na Mwana FA? Walikuaga Benet Sana. Hata kwenye harusi wamemtenga. Harusi ya AY iliyofanyika Golden Tulip
8 Reactions
124 Replies
27K Views
Wakati style ya kubadili rangi ya nywele zao na kuweka rangi tofauti tofauti ikiendelea ku-trend, Mwana FA hajakaa kimya katika hilo. Katika moja ya picha za Ommy Dimpoz ambazo anaonekana na...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
  • Redirect
Leo March 1, 2018 Msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amehukumiwa kulipa faini ya Tsh. Milioni 14 na mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam baada ya kupatikana na...
0 Reactions
Replies
Views
Nyota wa muziki wa pop nchini Marekani Madonna amesema kuwa mwanawe David Banda atakuwa rais wa Malawi siku zijazo katika ujumbe aliouchapisha katika mtandao wa Twitter akimsifu mvulana huyo...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Hebu angalia hii video ya sugu show ya mwaka 1996 mnazimmoja Dar es salaam kweli Sugu ni mwanaharakati toka zamani
7 Reactions
37 Replies
6K Views
Bollywood Super star Sridevi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. ======================================= Muigizaji wa kwanza wa kike kupata umaarufu zaidi kwenye soko la filamu nchini India...
1 Reactions
28 Replies
10K Views
Picha iliyozua maneno kuhusu mke wa Barnaba Boy ambayo yeye anasema ni ya kawaida tuichambue kidogo
1 Reactions
63 Replies
21K Views
Msanii mwenye kipaji cha kipekee ambaye amegeuka kuwa homa ya jiji Mbosso aka mbosokhan mshedede anakaribisha maoni yako kuhusu muziki wake. Hii ni baada ya kutoa ngoma mbili official na mbili...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Redirect
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA imezfungia nymbo Za wasa Hawa Kwa kukosa maaudhui mazur Kwanza hz nyimbo Zlitolewa mtandaon bla kupelekwa basata Nawapongeza sana basata na TCRA Kwa kaz nzur...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
TCRA yazifungia nyimbo zisizo na maadili, Zipo mbili za msanii Diamond 'waka waka' na 'Hallelujah''
0 Reactions
Replies
Views
Baby gal can definitely get it!
0 Reactions
5 Replies
506 Views
  • Redirect
"Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA) imepokea orodha ya nyimbo 15 zisizokuwa na maadili kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kupiga marufuku nyimbo hizo kuendelea kurushwa katika vyombo vya habari...
0 Reactions
Replies
Views
Habari wana Jamiiforums? Leo nimeisikia ile nyimbo ya kipindi cha Watoto Show Radio One, nikamkumbuka yule mtoto aliyeiimba. Wanaojua yuko wapi na anafanya nini kwa sasa atujuze. Ni hayo tu...
4 Reactions
65 Replies
31K Views
  • Redirect
Msanii Diamond Platnumz amekabidhiwa rasmi Certificate ya usajili wa Wasafi TV[emoji342] huko zenji...sasa kuanza kurusha matangazo yake kuanzia kesho...Hongera sana Diamond na timu nzima ya WCB
8 Reactions
Replies
Views
Baada ya kuvunjika kwa kundi la Yamoto band, kila msanii wa kundi hilo alianza kufanya kazi kivyake. 1. Aslay alianza kutoa nyimbo moja baada ya nyingine kila baada ya muda mchache bampa to bampa...
0 Reactions
22 Replies
17K Views
Moja kati ya majina makubwa katika soka kutokea ukanda wa Afrika Mashariki basi huwezi kuacha kutaja jina la nadhoa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club...
16 Reactions
124 Replies
25K Views
Aliyekuwa mke wa msanii maarufu nchini Diamond aitwaye Zari Hassan amesema yeye na mme wake Diamond wameachana rasmi na kwamba hivi sasa kila mmoja anaendesha maisha kivyake. Source BBC!
5 Reactions
156 Replies
22K Views
Nahitaji Mtu au Watu ambao wataweza kuratibu vizuri kabisa hili zoezi la kuweza kuchangishana Pesa za Kutosha ili tumnunulie Zawadi kubwa na ya thamani sana huyu Mwanadada ambaye kwakweli nampenda...
28 Reactions
136 Replies
14K Views
Nimeona picha ya Zari na huyu anayejiita Pedeshee Katunzi, sijui ukweli wake kama hawa wawili ni wapenzi, huenda walikuwa ni wapenzi au ilipigwa kama ilivyo watu maarufu wakikutana pamoja hupiga...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Back
Top Bottom