BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,738
- 6,555
Huna unacho jua kwa kifupi,Kwa hiyo unakuwa unadadisi ukiwa na njaa zako tumboni.huo udadisi utafanikiwa kweli wakati una msongo wa mawazo na njaa kali. Unafikiri watu na matajiri wote unaowaona leo hii walianzia juu au hapo walipo.hufahamu kuwa walianzia huku chini kwa wajasiriamali ndio wakakua kimitaji?