AISEESerikali ingeweka meli upande wa bahari kupita hicho kipande kilicho aribika
Hivi uko msamala su hapo mfaranyaki 😃Mbona sasa magari yatakua mengi sana hapa mjini? Ila rutii ndefu hii, hope watakua wanalala hapa mjini songea.
Msamala kwa washua,Hivi uko msamala su hapo mfaranyaki