mtwara

Mtwara (Portuguese: Montewara) is the capital city of Mtwara Region in southeastern Tanzania. In the 1940s, it was planned and constructed as the export facility for the disastrous Tanganyika groundnut scheme, but was somewhat neglected when the scheme was abandoned in 1951. The city is spread out over a large area planned to accommodate up to 200,000 people. The present population is around 108000. As part of the development associated with the failed Tanganyika groundnut scheme, Mtwara features a deep-water port that can accommodate ocean-going vessels, and a range of large municipal buildings, including a post office. Recent improvements in the port made it possible for big container ships to berth there.

View More On Wikipedia.org
  1. LIKUD

    Minada ya Mtwara mjini

    Habari zenu wana Mtwara tafadhali anae fahamu kuhusu ratiba za minada ya Mtwara mjini tafadhali. Nitakapo kuwa Mtwara nitautumia muda huo kuzunguka kwenye minada yote ya Mtwara kwa ajili ya ku interact na wana Mtwara. With much thanks in advance
  2. LIKUD

    Mliowahi kwenda Mtwara mwezi wa sita nipeni uzoefu. Vibe lake mtaani huwa linakuwaje kuwaje?

    Nilienda Mtwara around January nikakaa kama wiki moja hivi. Nimenogewa nataka likizo yangu ya mwezi wa sita niitumie Mtwara. Mliowahi kuwa Mtwara ndani ya likizo ya mwezi wa sita nipeni uzoefu tafadhali. Vibe lake huwa linakuwaje kuwaje mtaani? Jinsia pendwa wa Mtwara chukueni maua yenu. Yani...
  3. GENTAMYCINE

    Dkt. Stergomena Tax: Hali ya usaIama wa mpaka wa Tanzania na Msumbiji haitabiriki

    DODOMA - Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dk Stergomena Tax ameliambia bunge kuwa haIi ya usaIama wa mpaka wa Tanzania na Msumbiji wenye urefu wa kiIomita 922.76, haitabiriki kutokana na mashambuIizi yanayofanywa na kundi Ia kigaidi Ia Ansar Al Sunna Wal Jamaah (AASWJ). Chanzo...
  4. Tommy 911

    Nahitaji mawazo yenu, nina mpango wa kununua nazi kutoka Lindi au Mtwara kwa bei ya jumla na kuuza Dar

    Habarini Wana JF, Nimepata wazo la kununua nazi Jumla na KUUZA DAR. Mwenye uzoefu au kujua bei za usafiri na masoko yapoje kwa Dar naomba mawazo YENU. Mtaji laki tano
  5. Roving Journalist

    Mikoa ya Mbeya, Kagera, Mtwara ina kiwango cha chini cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango Tanzania

    Kiwango cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango nchini hadi kufikia Machi 2024 Vipandikizi - 38.3% Sindano - 23.1% Vidonge - 11.3% Njia za Asili - 11.1% Kondomu - 10.4% Vitanzi - 4.6% Kufunga Kizazi - 0.4% Mikoa yenye Kiwango Kikubwa cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango Tanzania Mara -...
  6. Abou Shaymaa

    Kero Ya Umeme Mkoa Wa Mtwara Imefika Pabaya

    Shida ya umeme ilipofikia sasa mkoa wa mtwara si pazuri, leo ni siku ya nne umeme hauwaki mchana unawaka usiku tu, tena hiyo usiku unaweza kusema labda kaachiwa mtoto achezee kidogo umewaka kidogo umekata ili mradi kero tu, Tulitangaziwa kuwa umeletwa mtambo wa megawati 20 kumaliza tatizo mpka...
  7. A

    KERO Kero kubwa ya Umeme mkoa wa Mtwara

    Shida ya umeme ilipofikia sasa mkoa wa mtwara si pazuri, leo ni siku ya nne umeme hauwaki mchana unawaka usiku tu, tena hiyo usiku unaweza kusema labda kaachiwa mtoto achezee kidogo umewaka kidogo umekata ili mradi kero tu. Tulitangaziwa kuwa umeletwa mtambo wa megawati 20 kumaliza tatizo mpaka...
  8. A

    KERO Polisi Mtwara acheni tamaa mnatukwamisha, sisi pia tupo kazini na tuna familia

    Inasikitisha sana siku hizi polisi kama nchi ni ya kwao kabisa.! As if Serikali imeshawapa ruhusa ya wanachokifanya. Mikoa mingine sijui, hapa Mtwara Kilimanjaro kuna hawa polisi wanatoza tu hela kwa wenye magari hata kama huna kosa sijui tuwaite watoza ushuru au polisi maana mauza uza uza tu...
  9. Aliko Musa

    Maeneo Yaliyotengwa Kwa Ajili Ya Uwekezaji Katika Halmashauri Ya Manispaa Ya Mtwara

    Halmashauri ya manispaa ya Mtwara imetenga maeneo mengi kwa ajili ujenzi wa viwanda, hospitali za kisasa, vituo vya michezo, hoteli za nyota tatu, n.k. Maeneo hayo ni kama ifuatavyo: (a) Ujenzi wa kiwanda cha kusindika nazi na kiwanda cha kuongeza thamani ya zao la korosho. Mamia ya Mtwara...
  10. P

    Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

    Kuna sintofahamu inaendelea nchini baada ya Bandari nyingine za Mtwara na Tanga nao wafanyakazi kutangaziwa ujio wa DP World. Hii ni kinyume kabisa Mbarawa alivyokua anahakikishia watu kuwa maeneo yanayohusika sio Pwani yote bali ni Bandari ya Dar tu tena baadhi ya Gati. Ieleweke kuwa suala la...
  11. Replica

    Kampuni ya Magnis ya Australia yaitumia Graphite ya Ruangwa kupata bilioni 816

    Kampuni ya mitaji ya Singapore, PAY imetoa dola za kimarekani milioni 320 kwa mradi wa Graphite mkoani Ruangwa unaotekelezwa na Magnis. Kampuni ya Magnis Energy kupitia kampuni yake tanzu nchini, Uranex Tanzania Limited inamiliki mradi wa Nachu Graphite uliopo Ruangwa mkoani Lindi. Kampuni ya...
  12. Kiboko ya Jiwe

    Maamuzi ya Azimio la Mtwara yatakuwa kama yale ya 2019

    Kitendo kilichofanyika 2019 na 2020 kilinifanya Mimi niione CHADEMA kama chama chenye viongozi matapeli wa kisiasa. Ni kikundi cha upigaji tu chenye kuangalia maslahi ya viongozi kwanza kisha maslahi ya Taifa inafuatia nyuma. Ilikuwa 2019 ambapo CHADEMA iliweka Azimio la kugomea uchaguzi wa...
  13. BARD AI

    CHADEMA kujifungia kwa saa 48 kujadili Azimio la Mtwara

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inatarajiwa kujifungia kwa siku mbili kuanzia leo kuandaa Azimio la Mtwara la kushiriki au kutokushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu. Pia, kikao hicho kitakachohitimishwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kitafanya...
  14. JanguKamaJangu

    Bashungwa atoa saa tatu kurejeshwa mawasiliano ya Barabara ya Mtwara - Masasi iliyokatika

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameelekeza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara iliyokatika eneo la Maili Mbili katika barabara ya Mtwara-Mingoyo-Masasi ndani ya masaa matatu mara baada ya Daraja kusombwa na maji katka eneo hilo. Bashungwa ametoa...
  15. B

    Taasisi ya Dido, Female Future Program wawawezesha wanafunzi wenye mazingira magumu Mtwara

    Mtwara. Kwa kutambua ugumu unaowakabili baadhi ya wanafunzi kukidhi mahitaji yao muhimu, taasisi ya Dido Mwanafunzi Initiative (DMI) kwa kushirikiana na Female Future Program Cohort 9 imetoa msaada wa sare za shule, madaftari na viatu kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari mkoani Mtwara...
  16. B

    Anayeijua vizuri Shooters ya Mtwara

    Wadau next weekend nitakuwa Mtwara then Lindi town. Naulizia anae ijua vizuri bar ya shooters ya Mtwara pamoja na viwanja vingine vinavyo happen hapo Mtwara mjini. Kingine, hapo Lindi je kuna kiwanja ambacho kina happen kama shooters? Ni kiwanja gani au viwanja gani please? With much thanks in...
  17. Mjanja M1

    Wafanyabiashara ‘wagombania’ sukari Mtwara

    Wafanyabiashara mkoani Mtwara wamegombania sukari iliyopelekwa na Serikali kwa lengo la kupunguza uhaba wa bidhaa hiyo Serikali imepeleka tani 52 za sukari kupitia wafanyabiashara na walikuwa wanauza mfuko mmoja wa kilo 50 kwa Sh140,000 hadi Sh150,000, kwa kuzingatia maelezo ya Serikali ili...
  18. DodomaTZ

    Bandari ya Mtwara kwa sasa ina uwezo wa kuhudumia Zaidi ya Tani 1,000,000 kwa Mwaka

    Bandari ya Mtwara ni miongoni mwa bandari kuu tatu zinazosimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliyopo Kusini mwa Tanzania karibu na mpaka na Msumbiji. Kijiografia inapatikana kilomita 578 Kusini mwa Jiji la Dar es Salaam. Bandari ya Mtwara ambayo ina kina kirefu ilijengwa...
  19. F

    Watu wa Lindi na Mtwara hawafurahishwi na Makonda kuingilia kazi za Kassim Majaliwa

    Tangu Makonda arudi kwenye jukwaa la siasa imekuwa kama vile yeye ndio waziri mkuu, makamu wa rais au rais mwenyewe. Sio kila mtu anafuria jambo hili na ndio maana hata Makonda mwenyewe tayari alishaanza kulalamika kuwa kuna watu wanamtafuta wamuue. Makonda awe makini anaposafiri kwenda...
Back
Top Bottom