Haya nakuomba tuliza kabisa Akili yako na niambie umeelewa nini halafu umegundua tatizo gani kwa Maelezo haya ya LATRA?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,115
110,509
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka watoa huduma za usafirishaji abiria kupitia njia mpya na ya dharura kwa safari za kati ya mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Mtwara wasiwatoze abiria nauli ya zaidi ya shilingi 105, 000.

Chanzo: azamtvtz

Halafu GENTAMYCINE nikiwa mkali kwa baadhi ya Mamlaka na Utendaji wao wa hovyo hovyo baadhi mnachukia mno.
 
FB_IMG_1715065269425.jpg
 
Acha kuwashwawashwa
 
Nauli ya ndege kwenda Mtwara ni 205,500/= kwa dakika 45 na hiyo ya Latra ya 105,000/= ni kwa saa 18.

Kwa hiyo chagua mwenyewe.
 
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka watoa huduma za usafirishaji abiria kupitia njia mpya na ya dharura kwa safari za kati ya mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na Mtwara wasiwatoze abiria nauli ya zaidi ya shilingi 105, 000.

Chanzo: azamtvtz

Halafu GENTAMYCINE nikiwa mkali kwa baadhi ya Mamlaka na Utendaji wao wa hovyo hovyo baadhi mnachukia mno.
Itabidi msafiti kwa ndege kama mnaona hiyo ndogo 😐
 
Back
Top Bottom