𝗛𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶 𝘇𝗲𝗻𝘂 𝘄𝗮𝗸𝘂𝘂...
Poleni na majukumu.
Bila kupoteza muda 1kwa1 kwenye mada kama kichwa kinavyosema, Ni changamoto gani uliipitia katika ndoa/muhusiano yako ambayo ilitaka kuvunja ndoa/mahusiano yako kisha ukainusuru kwa kuitatua na mambo yakawa saaafi kama mwanzo.
Nilienda Mtwara around January nikakaa kama wiki moja hivi. Nimenogewa nataka likizo yangu ya mwezi wa sita niitumie Mtwara.
Mliowahi kuwa Mtwara ndani ya likizo ya mwezi wa sita nipeni uzoefu tafadhali. Vibe lake huwa linakuwaje kuwaje mtaani?
Jinsia pendwa wa Mtwara chukueni maua yenu. Yani...
Wanaume ambao mnawatoto embu tupeni uzoefu wenu kwa mara kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua,hiyo siku ilikuwaje na kipi utoweza kusahau kabisa
Habari zenu wana jamvi. Hope this thread finds you well.
Bila kupoteza muda, naomba niruke kwenye mada moja kwa moja.. ninaomba uzoefu katika nyanja tofauti tofauti za uendeshaji wa kiwanda cha peanut butter,
Kama vile upatikanaji wa Mashine bora na bei zake. Changamoto?? Masoko?? n.k
Nipo...
Binafsi ni mdau wa afya na ni mnufaika wa bima ya taifa NHIF , Tanzania kwa ujumla tuna bima za afya nyingi sana kama :-
-NHIF
-ASSEMBLE
-STRATEGIES
-JUBILEE
-Cigna
-BRITAM
-BUPA
-UAP
-HEALIX
-WCF
-CHF
-Aetna
-NSSF
Na nyinginezo nyingi je wewe ni BIMA ipi unaweza mshauri mtu ajiunge na kwa faida...
Mabalozi wamehimizwa kutumia taaluma, uzoefu na ujuzi tofauti waliokuwa nao kuharakisha mabadiliko ya kimfumo yanayoendelea ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Kauli hiyo imetolewa leo Aprili, 23, 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka wakati...
Nina kadogo kangu ka kike ambako hakajachaguliwa kwenda advance
Nimejaribu kukachaulia kozi zitakazokafaa kama nilivoonesha hapo chini
Je kwenye hizo kozi ipi ni useless niitoe?
Habari wanaJF,
Naomba msaada kijana wangu nimemtafutia simu aina ya Tecno pop 7 shida ipo kwenye sms anapotaka kutuma ujumbe Inacomand atume Kwa lakini Moja tu na haimpi choice ya line either 1 or 2 na amecheza setup bado shida na inaonesha sms za line Moja tu. Sms za line nyiingine...
Ofisi inajihusisha na ujasiriamali wa kuuza Series/movies kwa watu majumbani.
Anahitajika kijana mwenye uzoefu na kazi ambae ameshawahi kuifanya na mwenye uzoefu nayo.
Lakini kwa ambae anajua computer vizuri kutumia na Kuitengeneza matatizo madogo madogo pia unaweza kufaa.
Kazi ni Kuingiza...
Salam salam ndugu, jamaa, washkaji na marafiki. Natoa salam hizi nikiwa sina akili zangu timamu kutokana na jambo nililoshuhudia siku chache nyuma.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, mimi ni kijana wa miaka 30+ ila sijafika 35, nipo katikati apo.
Sasa kama mnavyojua ndugu zangu wiki hii...
Hbar wadau,
Awali kbsa mwanangu nilikuw nae maeneo ya bard kiasi alpofk miez 6 walihama na mama yao kwenda Zanzibar maisha kule yaliendelea ya kupambana na joto alpo fka miez 8 akaw na tabia ya kulala sakafu kimtazamo Wangu nikajua joto tu sasa tuko Dar na hasa tupo kwenye room yenye AC usiku...
Habari za muda huu wakuu.
Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo kikuu cha SUA.
Ninachukua Bachelor of Science in Environmental Sciences and Management. Ninatarajia kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu mwishoni mwa mwezi wa 7 mwaka huu.
Hivyo basi nilikuwa naomba wenye uzoefu na course yangu...
Shalom,
Ifahamike ya kwamba ukweli ni tunu na kusema ukweli ni ibada kamilifu.
Naomba jamii itambue kuwa umbile la uke wa mwanamke lilivyo halina Cha umri wala nini ili mradi amevuka miaka 19 mwanamke yeyote ni mtu mzima.
Mpaka sasa kwa idadi ya wanawake wazaliwa wa 1997-2004 niliotoka nao...
Wakuu nilikuwa napitia bei za vitochi vya Nokia alibaba naona ni ndogo sana
nawaza nijaribu japo kwa piece 4 , ila sina uzoefu wowote naombeni muongozo wakuu
Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni kujirudisha nyuma maana muwekezaji huyo hata kama atatoa huduma nzuri namna gani lakini atachota uchumi...
Habari zenu wapendwa,
Tafadhali naomba kujua kiundani kuhusiana na biashara ya chakula cha kawaida(mama LISHE/ntilie) au tuiite biashara ya chakula cha bei nafuu, kuanzia sh. 1000 - 5000.
Kwa mwenye uzoefu naomba kujua taswira nzima inavyokuwa, mf:
1. Mahitaji muhimu (vifaa nk.)
2. Namna ya...
Simba moyo unataka kucheza nusu finali lakini quality yao inakataa katakata na wana mashaka nayo. Tumaini lao kuu huwa wanalielekeza kwa kocha Benchikha kwakuwa anao uzoefu mkubwa wa kucheza hizi za robo, nusu na finali za caf champions, lakini bahati mbaya Benchikha hataingia uwanjani kuzuia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.