Kumekuwa na changamoto ya kukosekana kwa ufanisi katika uendeshaji wa mashirika mbalimbali ya uma na makampuni binafsi hapa nchini Tanzania kwa muda mrefu sasa.
Ndio maana kuna mashirika kadhaa ya serikali yalibinafsishwa mfano, viwanda kama zana za kilimo (zzk) kule Mbeya ambacho hakifanyi...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Vijana Taifa, Mhe. Amina Ali Mzee akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kulipa madeni wanayodaiwa na Mashirika ya TBA na TEMESA ili kupunguza changamoto za ukosefu wa fedha kwa Mashirika hayo.
"Nampongeza Mheshimiwa Rais...
Habari mimi ni mdau, changamoto yangu kubwa ni kuwa namba nyingi za simu za mashirika ya umma hazipatikani na zingine ukipiga zinakuwa hazipo...
Pamoja na changamoto hiyo, bado mashirika wanaziweka hizo namba kwenye anuani za mashirika hayo jambo linaloleta mkanganyiko sana hasa ukiwa...
UTANGULIZI:
Mfumo wa Pamoja wa TEHAMA wa udhibiti wa mifumo ya TEHAMA (General Intergrated Control of IT systems) ni mfumo wa pamoja utakaosimamia na kudhibiti matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika taasisi au mashirika ya umma kwenye utendaji wa shughuli zao. Mifumo hii itakayodhibitiwa naweza...
Muhimu: Gharama hizo ni kwa mwaka moja pekee
Kampuni ya Pegasus ya Israel hutoa huduma ya kudukua smartphones (hata iphone) kwa dau la shilingi bilioni 57 kwa simu 50 ( euro milioni 20.7) takribani shilingi bilioni 1.x kwa kila simu.
Wateja wakuu ni serikali hasa katika kuchunguza wapinzani...
Maajabu hayatakaa yaishe Tanzania. Dhirika linalokusanya mabilioni kwa mwezi ndilo linaongoza kutengeneza pia hasara kwenye nchi.
Kwa hali hii bima kwa wote ni ndoto za mchana. Sheria imeshatungwa lakini kwa kufosi sana. Tetesi ni kwamba feasibility study ya wataalamu ya bima kwa wote ilionesha...
Akichangia bungeni leo mbunge machachari wa CCM anasema umefika wakati sasa viongozi kama mawaziri, wakurugenzi, makatibu wakuu,wakuu wa mikoa na wilaya wapatikane kwa kuomba nafasi hizo na kufanyiwa usahili.
Anasema mfumo wa sasa hauna uwazi kwani Rai hawezi kusoma CV za watu wote wanofaa...
DODOMA: Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amefanya Ukaguzi wa Mashirika ya Umma kwa mwaka wa fedha 2022-23 na kuorodhesha mashirika 99 ambayo yanadaiwa zaidi ya Sh trilioni 3.49.
Je, kama Mtu ni mkurugenzi kwenye hili shirika, amekaa hapo miaka 10 na...
Report za CAG zinatoka tunashuhudia hasara kwenye mashirika na pesa zinaibiwa.
Kuna haja gani ya kuendelea kuhitaji watu wenye uzoefu mkubwa kusimamia hayo mashirika?
Ndugu wanajamii forum hao watu wenye uzoefu tunaowatafuta uzoefu wao unafanya kazi gani?
Ripoti hii ya mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha 2022/23 imetolewa kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura 418.
Ripoti hii imeangazia matokeo ya ukaguzi na mapendekezo ya hatua stahiki za...
Kitu kikubwa nilichogundua ni kuwa, Namna pekee ya Kuyaokoa mashirika ya serikali yanayo andamwa na hasara kubwa ni namna ya kupata waendeshaji wawajibikaji.
Imekuwa ni kawaida sana Kipindi hiki cha Uongozi wa Rais Samia Watu kubadilishiwa vitengo tu badala ya kuwajibishwa.
Utakuta Kiongozi...
Salaam!
Mashirika ya kiserikali ni taasisi zinazofanya kazi kwa uhuru kwenye baadhi ya mambo na pasipokuingiliwa kwa majukumu lakini kwa asilimia kubwa hizi taasisi zinakuwa monitored by Government Ministries (Single Tier),imekuwa ni kawaida kwa serikali kutenga kiasi cha fedha ili kuzipa...
Kuna mtazamo ambao umejengeka kwamba Serikali Haina lengo la kutengeneza faida bali kutoa huduma, mtazamo huu Kwa uono wangu hafifu nafikiri ndio chanzo kikubwa Cha baadhi ya mashirika kushindwa kujiendesha na kupelekea kubinafsishwa ama kuingia ubia na sekta binafsi.
Badala ya kuwa na mtazamo...
Sisi vishirika vya umma vichache tu kila siku vinatulamba hasara tunaona njia ni kubinafsisha kila kitu.
Hawa marafiki zenu nyie CCM hawa wachina wao uchumi wao umeshikiliwa na mashirika ya umma tena katika sekta muhimu.
Tazama hawa jamaa katika fortune global 500 kwa mwaka 2021 mashirika ya...
Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni kujirudisha nyuma maana muwekezaji huyo hata kama atatoa huduma nzuri namna gani lakini atachota uchumi...
Wataalamu wasomi na wanamajumui kwa kuweka ubinafsi kando na uafrika mbele, hili jambo kama si leo ni siku zijazo laweza leta mapinduzi chanya katika kujikwamua na kuamsha shughuli nyingi za kiuchumi kijamii kiafya n.k.
Hebu wasomi tusaidieni tufanyaje?
Zingatia kama sio fitna leo East Africa...
Sahivi simu nyingi hapa bongo zina support NFC (Near-field communication) ambayo inaweza kurahisisha transaction kwenye mifumo kama ATM, vivuko, machine za uwakala, pia kulipia ushuru wa magari na vitu vingine vingi, ni salama ni rahisii na unahitaji Tu kuwa na simu yako basi na kama ilivyo...
Habari za Asubui wana JF,
Naomba kuleta mada kwenu kuhusu haya mashirika ya kigeni yanayojiita ya kusaidia binadamu (humanitarian) au kujiita mashirika ya kimataifa yasiokuwa ya kiserikali (INGO). kwa mfano; Medecins sans frontieres, Medecins du monde na mengine mengi.
Kwanza kabisa mimi ni...
KITENDO cha Baazi ya vituo binafsi vya huduma ya afya kusitisha utoaji wa huduma hiyo kwa wanachama wa NHIF ulioanza leo Machi 1, ni ishara ya muendelezo wa uendeshaji mbovu wa mashirika ya uma yanayopelekea kudhorota kwa uendeshaji kunako sababishia hasara taifa.
Mgomo huo uliotolewa na baazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.