harufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakuperuzi

    Nanusa harufu ya matukio

    je! inawezekana vp mtu kuendelea kutumia wtsp na kupost stutus mf hta mpka sa 8usiku while lst seen yake inanionyesha ni sa2? hta ukimtxt labda sa 3usiku utakutna na jbu asubuhi na atakuambia nimekujibu toka jna labda mtndao. Najua kwl mtandao unaweza kusumbua lkn inwezekena vp kuendelea kuona...
  2. B

    Acid reflux ni kivipi inasababisha harufu mbaya kinywani?

    Habari wakuu naombeni msaada wenu. Nasumbuliwa na tumbo kuwaka moto, nahisi kukabwa na kitu kooni, natoa vitu vidogo vidogo kama mabaki ya chakula yaliyo Ganda kwenye Koo, sauti kukata nikiongea kwa sauti ya juu na kutoa harufu mbaya kinywa. Nahitaji kujua kama sababu ya kutoa harufu mbaya...
  3. Staphylococcus Aureus

    Nina jasho lenye harufu kali sana. Je, kuna dawa ya kutibu tatizo hili?

    Wakuu, Nina hili tatizo muda mrefu hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale. Nashukuru Mungu ni mwanaume ningekua Mwanamke nadhan ningeteseka zaidi. vitu ninavoogea 1. Deto ya maji 2. Sabuni ya mikono 3. Medicated soap Mbaya zaidi joto kidogo na sweat kwa sababu watz wengi hawako...
  4. kyagata

    Harufu ya manukato porini na nywele kusisimka ina maana gani?

    Habari JF, Kwa wenye uzoefu wa hili jambo naomba mnisaidie ni ishara ya nini? Siku tatu nyuma nilienda kijijini kwetu kusalimia,sasa kama mjuavyo ndugu kijijini huwa ni wengi na ukifika huko basi ni lazima ujitahidi uwatembelee wote kuepusha lawama. Kilichonishangaza ni kwamba kuna siku...
  5. Lycaon pictus

    Kitabu: Ukisoma historia ya Wachaga lazima usikie harufu ya damu

    Asili na habari za Wachaga Wachaga walikuwa ni moja ya makabila ya kwanza kwanza kabisa Tanzania kukutana na kupata ustaarabu wa Kizungu. Hilo limefanya kuwa kabila ambalo historia yake imeandikwa na kutunzwa zaidi. Sasa historia yao imejaa damu hasa, kuisoma tu lazima usikie harufu ya damu...
  6. Suley2019

    SI KWELI Ukihisi harufu ya wali au mchele uwapo porini ni ishara kuwa Chatu yupo karibu

    Habari, Kumekuwa na hoja mtaani inadai kwamba ikitokea upo porini na ukahisi harufu ya wali au mchele unapaswa kuchukua tahadhari kwani ni ishara kuwa chatu yupo karibu na anatoa harufu hiyo kukuvuta. Je, kuna ukweli kuhusu hoja hii? Tunaomba ufafanuzi.
  7. Kiboko ya Jiwe

    Kwanini magari mengi ya serikali ni TOYOTA?

    Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA. Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA. Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine? Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi...
  8. The ice breaker

    Asilimia kubwa ya maeneo mengi Dar es Salaam yananuka

    Bonjour Aisee ndugu zangu siwafichi, asilimia 90 ya maeneo mengi ya Dar es salaam yananuka sana , na hii imesabishwa Kwa poor management ya mitaro inayo pitisha maji machafu, haswa kipindi hiki cha mvua watu wanafungulia chemba alooo ni hatari sana , alafu kila kona ya mtaa unao pita, kuzagaa...
  9. Tanganyika1

    Maeneo ya Mtoni Kijichi hadi Mtongani kuna harufu mbaya ya mafuta usiku huu (28/03/2024)

    Wadau maeneo ya Mtoni Kijichi hadi Mtongani kuna harufu mbaya ya mafuta usiku huu (28/03/2024) Maeneo haya ni karibu sana na Bandarini. Je Kuna Nini kinaendelea? Mashaka ni kwamba labda bomba au tank la mafuta limepasuka.
  10. Swahili_Patriot

    Kwanini bangi ni kitu kinachopatikana duniani kote ila kinazuiwa kuuzwa?

    Hivi kwanin kila nchi, kila sahemu haikosekani bang? Nimepitia Kenya mitaa ya town pale kwa madhee na nk, theka theka mako go hadi del monte kule kwenye mlima, kisii mitaa ya keroka, gesima hadi mosobeti na masehemu kibao mengine. Ni mzawa wa dar, nimeishi kko, Palestina hadi mori, majumba6...
  11. Lady Whistledown

    Fahamu mawe ya kwenye Koo yanayosababisha harufu mbaya ya Kinywa

    Uchafu utokao kooni ulio kama vimawe vidogodogo (tonsil Stones) husababishwa hasa na mabaki ya chakula, seli zulizokufa na uchafu mwingine, unaposhikiliwa katika tishu hizo ( Tonsil) Mabaki hayo hubadilika na kuwa magumu hadi kutengeneza uchafu kama vimawe vidogo (Tonsil calculi /...
  12. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Je uke wa umpendaye unatoa harufu mbaya? Msaidie kwa kufanya hivi.

    Je, Uke Wako Unatoa Harufu Mbaya? Hii Ndio Jinsi ya Kumaliza Tatizo Lako Wanaume wengi kila kukicha huwa wanalalamika kuwa inaboa na inakera kupeana Raha na Utamu na Mwanamke ambae sehemu zake za siri zinanuka. Inawatoa out of the mood, mwisho wake wanaconcetrate kudo fasta, wamalize hamu zao...
  13. BARD AI

    KERO Maji ya DAWASA yana harufu na ladha ya Dawa kali sana, ni salama kweli?

    DAWASA tunawashukuru sana kwa kuanza kurejesha huduma ya Maji baada ya kukatika kwa muda mrefu huku mkieleza chanzo ilikuwa kurekebisha mitambo ya machujio ya tope. Lakini sasa kuna jipya, maji yenu yanakuja harufu kali sana ya Dawa za kutibu maji kiasi kwamba hata ladha ya maji imepotea. Sasa...
  14. Kiboko ya Jiwe

    Lipi suluhisho la kudumu kwa mtu mwenye harufu kali ya mwili?

    Nimewahi kukutana na kuishi na watu wenye harufu kali, harufu ambayo hata nguo zao zikifuliwa kwa sabuni ya kipande inaendelea kubaki kwenye nguo zao, lakini leo nimepanda boda aisee, yule boda miwili wake una harufu kali sana. Nikamuuliza vipi dogo umekesha nini akasema hapana ndio kaingia...
  15. monotheist

    Perfume gani isiyo na harufu kali inafaa kwa mwanaume

    Mimi ni mwanaume nina allergy na vitu vyenye harufu kali, mimoshi ya sigara na vumbi napenda sana kujipulizia perfume lakini zinanishinda naishia kupata mafua makali Je, perfume ipi ambayo imepoa itafaa kwa matumizi yangu bila kuniletea shida ya mafua makali bajeti yangu isizidi 30,000
  16. A

    KERO Wakazi wa Mbezi Beach tunapata maji ya bomba machafu, na yana harufu mbaya. Mlipuko wa magonjwa unakuja

    Habari JF, Ni wiki na zaidi sasa maji yamekuwa yakitoka machafu hivi na wakati mwingine huwa machafu zaidi na yenye harufu mbaya. Niliuliza kwa mjumbe maana ni jirani yangu kama anakutana na tatizo hilo nikitaka kufahamu huenda ni mimi tu, naye akasema yapo hivyo na kwake pia (maji yalikatika...
  17. Mjanja M1

    Uke kutoa harufu mbaya

    Habari zenu, Watu wengi hudhani kuwa na harufu mbaya itokayo ukeni ni matokeo ya uchafu tu na ndio maana wanaume huwasema wake zao kuwa hawajui kujisafisha na kufanya wanawake kuongeza jitihada katika kujisafisha ukeni,leo napenda kuzungumzia tatizo hili linalowasumbua wanawake wengi na...
  18. L

    Tiba ya harufu mbaya kama samaki aliyeoza kwenye uke

    Siku hizi ni kama nina bahati mbaya yaan Kila nikiotea kibint nakuta kinanuka ukeni .....yaan vingine vidogo tu lkn balaa.... Naomba msaada wa matibabu ya hii kitu maana Kuna bint mmoja alinisumbua miaka minne ndio kanikubalia siku kuu ya juzi....sasa nikajipanga kupiga doz ya maana lkn bahati...
  19. K

    “ Nasikia harufu” kumbe miswada ya uchaguzi ni moto!

    Serikali kwa bahati mbaya sana walifikiria kiurahisi tu watapetesha mishada ili Tanzania tuonekane na sisi tuna chaguzi za kidemokrasia. Matokeo yake ni kwamba Serikali ielewe nchi inabadilika. Hakuna kitu kitakuwa kirahisi. Pamoja na kwamba Watanzania wengi wameonyesha upole lakini ukweli ni...
Back
Top Bottom