maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    Wabongo kwa kujiita C.E.O mitandaoni utafikiri hata wanajua maana na kirefu cha herufi hizi. Sio mbaya kujiinua ila huu ni ulimbukeni.

    Mara utasoma " The cute baby mama" C.E.O wa Ze Cute Outfits za warembo Mara "Juma aka Simba mkali" C.E.O wa simba fanicha kunduchi" Maana halisi na ya kawaida ya C.EO ni mtu mkuu mwenye jukumu la kusimamia kampuni, ambaye wakati mwingine pia ni rais wa kampuni au mwenyekiti wa bodi. Tena hapo...
  2. mmmuhumba

    Kuukumbatia moto katika mapenzi ni kujipa kasoro isiyo lazima, acha maana hauishi milele

    Ni ukweli mchungu kuwa ipo siku tutakufa na kila kitu kilichopo katika ulimwengu hakitodumu bali kinapita. Ni muhimu sana katika shida zote ukatambua na wewe unahitaji kupata muda wa kuyafurahia maisha yako kwa hali yoyote ile iwe kwa kingi ama kidogo ulichonacho. Katika mahusiano, wapo watu...
  3. A

    Mungu maana yake ni nini? Au Mungu ni nini?

    Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu. Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao msingi wake ni kutokuwa na uelewa wa kina wa mambo na elimu ya vitu umewavutia watu wengi katika...
  4. G

    Nini maana ya yatima?

    Babangu ana miaka 59, lakini wazazi wake wote wametangulia mbele za haki. Je, ni yatima?
  5. S

    Mwalimu Nyerere bado yupo sahihi kwenye muungano, Umoja haujapoteza maana

    Nikiwa mtoto mdogo pale Ikulu niliwahi kumona Mwalimu akitoa hotuba ndefu pembeni ya hayati Rashid Kawawa miaka ile ya 80 mwanzoni. Mwalimu alijaliwa karama binafsi za ushawishi {charismatic leader}, alikuwa akiufahamu uwezo huo aliojaaliwa na Mungu lakini haikumfanya akavimba kichwa na kujiona...
  6. Mhafidhina07

    Mzazi unajisikiaje unapopata mtoto na uchaguzi wa jina una maana gani kwako?

    Mtoto ni baraka kutoka kwa muumbaji wa hii dunia, ni furaha ya wazazi pamoja jamii kwa ujumla uwepo wa mtoto inaonekana ni nuru na baraka kwa kuwa ni kiliwazo kwa wazazi na inatarajiwa kuongezeka kwa maarifa na nguvu katika familia, jamii au taifa kwa ujumla. Katika jamii za kale kuna tamaduni...
  7. Mgosi Mbena

    DOKEZO Kujiondoa kwa Majeshi ya Africa Kusini nchini Msumbiji na kuiacha Tanzania na Rwanda dhidi ya kundi la kigaidi la Ansar al-Sunna kuna maana gani?

    Jeshi la Africa kusini linategemea kufunga virago msumbiji ambako vikosi vya SADC vikiongozwa na South Africa vilikua vikipambana na Kundi la kigaidi la kiislam Msumbiji. Hii ni kutokana na siasa za Africa kusini zinazoshinikiza Africa kusini kutoa majeshi DRC pia kwene nchi nyingine kama...
  8. VINICIOUS JR

    Huwa unajisikije pale unapokuta na mwana ambaye kaoa, muda wote stori zake kidogo tu anataja mke wake?

    Bila shaka mko poa kabisaa. Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu, uwa naona kinyaa sana pale nakutana na mwana flani unategemea mnapiga stori zenu binafsi au tudiscuss mambo ya maana au kupeana idea nzuri za maisha yeye kidogo tu mke wangu. Hivi huu uwa ni ulimbukeni au ni kitu gani...
  9. GENTAMYCINE

    Hapa ndipo Uongozi wa Simba SC mnaponikwaza na ndiyo maana sasa nimeamua Kuwaacha ili mpotee zaidi na Timu iendelee Kuharibikiwa tu

    Hivi huyo Mnafiki na Msaliti aliyetusaliti sana Mechi za Yanga SC Beki Henock Inonga Baka mnambembeleza wa nini ili abakie Simba SC? Muacheni aende huko Yanga SC anakokutaka kisha nitawaambieni muende wapi mkampige Pini muone kama hata huko Yanga SC Kwenyewe atacheza Kudadadeki zake. Hakuna...
  10. Mohamed Said

    Alfu Lela Ulela, Shakespeare na Irving Wallace Ndani ya "Posa za Maana"

    ALFU LELA ULELA, WILLIAM SHAKESPEARE NA IRVING WALLACE WANAPOJUMIKA PAMOJA KATIKA KITABU CHA TUNE SHAABAN SALIM ‘’POSA ZA MAANA’’ Juzi niliandika na kusema kuwa kitabu hiki kina mwendo mkali. Kila ukifungua ukurasa mmoja ukurasa wa pili unakuita kwani akili yako inakuwa imetekwa unataka kujua...
  11. Nkobe

    Imani ya Mwarabu na Myahudi zinafanana kwa karibu sana, wote walimkataa Yesu ndio maana laana ya damu inawasumbua

    Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo 1. Wote hawaamini kuwa Yesu ni Masiha 2.Wote hawaamini katika utatu...
  12. W

    Uongo upi usio na maana umewahi kutanana nao kwenye Filamu?

    Filamu zote ni maigizo na sio uhalisia halisi wa maisha. Lakini katika ulimwengu wa filamu, mara nyingi tunakutana na uongo ambao hauna maana. Mimi nilikua nafuatilia sana movie za kihindi ila kwa sasa huwezi nikuta naangalia tena kwa sababu aisee wale jamaa ni waongo mpaka mtu unaweza kujiona...
  13. NALIA NGWENA

    Endeleeni kulipa watu na pages zao ili wasambaze propaganda za kuwaaminisha mashabiki wenu kuwa Yanga sc inabebwa na ndiyo maana imechukua ubingwa

    Nimezunguka kwenye mitandao mpaka mtaani mpaka kwa viongozi wa matawi wote wamejifichwa kwenye kivuli za Yanga sc inabebwa na ndiyo maana wamchukua kombe la Nbcpl. kwani kilichowatoa kwenye kombe la FA kwa kipigo cha mkwaju ya penati huko kigoma napo Yanga walikuja kushiriki kuwatoa?? je...
  14. ndege JOHN

    Nini maana ya kasma ya mwajiri

    Katika ujazaji form ya maombi ya uanachama wa Mfuko wa Bima ya afya kuna kipengele cha kujaza kasma ya mwajiri. Nini maana yake Kwa anayeelewa.
  15. Truth Bot AI

    DOKEZO/KERO:Tumechoshwa na Biashara ya Ngono Inayofanyika Katika Eneo la Shule maana Mabaki ya Kondomu Yanazagaa Uwanja Mzima Kirumba mwanza

    Mwanza. Ni jambo ambalo halikutarajiwa na wengi na isivyo bahati, uwe mgeni ama mwenyeji hapa mjini Mwanza ukipita pembezoni mwa mazingira ya shule za msingi Kitangiri A na C zilizopo pembezoni mwa uwanja wa CCM Kirumba kuanzia majira ya saa moja jioni utakutana na makundi ya wanawake wanaofanya...
  16. ndege JOHN

    Hivi huu mjadala wa kishamba wa kuwatoa maana single mother ni hoja Tanzania tu au na mataifa mengine?

    Unaweza ukapoteza single mother wa kukusaidia maishani kwa sababu ya uchoyo na ubinafsi na chuki na kiburi.huijui kesho yako wape watu nafasi waishi.unaweza kukuta huyo unayemuona hajazaa amewahi kutoa mimba mbili na ashafanya mapenzi zaidi ya mara 500 Ila single mothers ukakuta amefanywa mara...
  17. EDIGAR IC

    Ila hawa wazazi wanaowatelekeza watoto wao vyuoni wana maana gani?

    Mtoto ulimlea mwenyewe kwa kutshughulisha na akija chuo na akapewa fedha za kujikimu unaona kana kwamba shida zimeisha . Mfano ★Anaenda hana nguo za kumtosha ★Hana simu janja wala PC ★Anaenda hana fedha ya hakiba . Na bado haitoshi gharama za bima na malipo mengine ayafanye yeye kwa kigezo...
  18. 1

    Nguvu Moja imerudi Simba ndio maana ushindi unapatikana

    Jana kwa wale wanaoijua vizuri Simba watakuwa wameona kwenye jukwaa kuu kulikuwa na akina Kajuna, Juma Pinto na baadhi ya friends of Simba huku pembeni kukiwa na akina Asha Baraka, ile ni dalili kuwa kuna mambo wamekubaliana msimu ujao na akina jaribu tena ndio basi tena. Wale akina Kajuna ss...
  19. Kiboko ya Jiwe

    Kijana anayejiunga UVCCM hana ajira, pia hana mtaji wa maana, ukiwaondoa watoto wa viongozi ambao wanataka kurithi viti vya wazazi wao

    Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo. Vijana waliosota na ukosefu wa ajira uliosababishwa na CCM ndio hukimbilia UVCCM wakisubiria...
Back
Top Bottom