Search results

  1. Kiboko ya Jiwe

    Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

    Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga. Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono . Mdoli waneupaka rangi ya Tanzania, mdoli hautembei, haujui Kiswahili wala lugha yoyote. Waliohusika kuununua washikwe wafunguliwe...
  2. Kiboko ya Jiwe

    Mtumishi wa umma kutokuwa na gari na nyumba nzuri ni ujinga wake binafsi

    Hii ni kwa tathmini yangu Mimi kama nitakuwa siko sawia mnisamehe. Unakosaje kumiliki gari na nyumba huku una miaka zaidi ya 5 kwenye utumishi wa umma? Jitahidi mtumishi mwakani uachane na Daladala kama wanafunzi. Daladala waachie wanafunzi na machinga
  3. Kiboko ya Jiwe

    Hatimaye jana nimelipwa mshahara wa Machi na Aprili baada ya kufanyiwa ukatili na PEPMIS

    Daaaaahh, so sad Mtu unamnyima mshahara kwa miezi 2 ili afe njaa? Ili afedheheke katika jamii? Nakiri kuwa kwa upande wangu nilitimiza majukumu yangu ya kila siku na kutokumalizia kipengele kimoja cha mfumo wa PEPMIS ni uzembe wa mwajiri wangu. Nimepokea pesa nimetumia laki tu zingine...
  4. Kiboko ya Jiwe

    Mwafrika ndiye toleo la mwisho kwenye ghala la uumbaji

    Mimi nalala, ngoja nikate hangover ya night shift. Video inajieleza 👇👇
  5. Kiboko ya Jiwe

    Jamaa kajilipua kwenda kutoa wenge Serena Hotel, sasa anaikumbuka pesa aliyoitumia anajilaumu

    Jamaa ni bodaboda hapa Dar es salaam, juzi kaenda na boda yake mpaka Serena Hotel ili akatoe nuksi a.k.a kuushitua umaskini. Kaagiza Biriani 40,000 na soda ya Mirinda kwa sh. 6500 jumla kuu ikawa sh. 46000. Kapanda boda karudi kijiweni kwake na kuanza kujisifu. A few moment later akaanza kujutia...
  6. Kiboko ya Jiwe

    Huyu mtoto alijifanya mjanja, pesa anataka mzigo anasema mpaka tuzoeane kwanza

    Mahusiano yana siku 3 nikamwambia Jmosi tuvunje amri ya 6 akasema mpaka nimzoee nijiridhishe kama ana tabia njema naye pia ajiridhishe ndipo tufanye. Hivi mtu munaishi mitaa tofauti muchunguzane tabia ili tu mupate kufanya tendo inawezekana vipi? Ingekuwa tumepanga kufunga ndoa sawa...
  7. Kiboko ya Jiwe

    Bunge la JMT halina manufaa yoyote kwa Watanzania. Lifutwe, ofisi ya DED ichukue majukumu ya wabunge

    Katika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge. Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika. Hawa wamachinga na bodaboda wanaoahindia mihogo na wali wa buku ndio wahanga. Majukumu ya wabunge wapewe wakurugenzi wa...
  8. Kiboko ya Jiwe

    SoC04 Mzazi amka dunia iko kasi, kusomesha sio bahati nasibu, kabla hujampeleka chuo mtoto wako lazima ujiulize anakwenda kusomea nini, kwa malengo gani?

    Habari! Elimu ni suala la lazima katika dunia ya leo. Kuna elimu ya msingi, elimu ya kati na elimu ya juu. Kila level ina umuhimu katika maisha ya watu. Kilele cha elimu ni chuo ambako kijana huandaliwa tayari kwa kutumika katika jamii yake. Sasa baada ya kumaliza chuo hapo ndipo minong'ono...
  9. Kiboko ya Jiwe

    Kijana anayejiunga UVCCM hana ajira, pia hana mtaji wa maana, ukiwaondoa watoto wa viongozi ambao wanataka kurithi viti vya wazazi wao

    Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo. Vijana waliosota na ukosefu wa ajira uliosababishwa na CCM ndio hukimbilia UVCCM wakisubiria...
  10. Kiboko ya Jiwe

    Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anaweza kumwacha handsome man. Utamkwaza atakaa pembeni lakini baada ya muda mfupi atakuhitaji tena.

    Hello morning 🌞! Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira. Lakini utafiti wangu wa hivi karibuni nimebaini kuwa mwanaume handsome hawezi kuachwa na mwanamke hata amkwaze kwa kiwango...
  11. Kiboko ya Jiwe

    Kuna watu wamerogwa vibaya sana na hawajijui kuwa wamerogwa.

    Hello! Mtu akirogwa anajijua kabisa lakini akirogwa vibaya sana hawezi kujijua. Anabaki tu kama kipepeo hajui afanye nini kutwa kutwa. Hawezi kuwa na mipango thabiti, leo atapanga hili, kesho atapanga lile , keshokutwa atapanga jingine. Mtu huyu hawezi kufanikiwa kwenye jambo lolote. Kuna watu...
  12. Kiboko ya Jiwe

    Wananchi wa Tanzania wataendelea kupigwa na maisha mpaka mwisho wa Dunia

    Viongozi wanatulaumu wananchi wakihisi huwenda sisi ndio sababu ya nchi kutokupiga hatua, huku sisi wananchi kwa 100% tukiutupa mzigo mzima wa lawama kwa viongozi maana wao ndio watunga sera zote za kiuchumi. Kama viongozi wa Kitaifa wanawajumuisha Kizazi og na Wadudu wa Arusha kwenye issue...
  13. Kiboko ya Jiwe

    Mtanganyika anayempinga Lissu kwenye hoja za muungano ana matatizo

    Kama Lissu anaipigania Tanganyika iliyomezwa anakosa gani? Where is Tanganyika? Kwanini hakuna mamlaka ya bara inayoweza kuvuka bahari huku mamlaka ya Zanzibar inaweza kuvuka bahari? Watanganyika wenye vyeo acheni ujinga, wajukuu zenu watasema wazee wetu walikuwa matahira kwa mienendo yenu...
  14. Kiboko ya Jiwe

    Serikali inapojisifu kupiga hatua kiuchumi sifa zote anapewa Rais huku watumishi wa wakiaswa kuboresha utendaji ili kuleta tija na mishahara ipande.

    Wanaoleta maendeleo haswa ni wananchi walipa kodi wakisimamiwa na watumishi wa umma. Viongozi wa serikali wao kazi yao kutunga sera tu. Tumeona mara nyingi serikalini inapojisifu kupiga hatua kiuchumi sifa zote anapewa Rais aliyeko madarakani na wanaompa hizo sifa haswa ni wale viongozi wa...
  15. Kiboko ya Jiwe

    Hivi mnapata wapi ujasiri wa kuoa mke mwenye mshahara?

    Nawauliza kwa wema tu nyie wanaume wenzangu. Huo ujassiri wa kuoa mke mwenye mshahara mnautoa wapi? Sababu zenu ni dhaifu eti maisha kusaidiana, au ukifa watoto wasiyumbe. Ahahahah Nyie si ndio mnasogezewa maji ya kunawa kwa mguu🤣🤣🤣 Kama kusaididiana mbona kasi ya maendeleo kati ya familia zenu...
  16. Kiboko ya Jiwe

    Ukilifahamu hili hautamdharau mtu yeyote kwa kazi au cheo alichonacho

    Mungu alipomaliza kuiumba dunia na kisha kumuumba mwanadamu ambaye alipewa milki yote ya duniani ili aitunze na kuitawala aligawa majukumu kabla hatujauona uso wa Dunia. Sisi wanadamu tunahangahika kupata nafasi nzuri zenye kutukuka. Tunahangahika kupata vyeo vitamu vyenye kunguruma. kumbe kila...
  17. Kiboko ya Jiwe

    Vipi mshahara wa Aprili tayari? Nina jambo langu

    Nauliza tu wazee, Nimecheki kwangu CRDB naona maluelue tu hamna fedha. Vipi kwenu tayari?
  18. Kiboko ya Jiwe

    Watanzania wengi ni wachawi, makinika

    DALILI kuu ya mtu anayeitwa mchawi ni kupata furaha, amani au raja moyoni pindi mtu hasa yule wa karibu naye anapopata matatizo. Kwanini nasema Watanzania wengi ni wachawi? Ni kwasababu Watanzania raha yao ni kuona watu hasa wa karibu yao wanakwama, wanafilisika, wanahangahika kusaka ajira...
  19. Kiboko ya Jiwe

    Watumishi wa umma tulionyimwa mshahara wa Machi kwasababu ya PEPMIS tumeumaliza mwezi salama, hatujawa ombaomba

    Hello! Serikali ilikosea sana kutunyima mshahara wa Machi baadhi ya watumishi wa umma kwasababu ya kutokukamilisha PEPMIS. Nikiri kuwa kazini kwetu hakuna aliyepata semina wala kidudu gani, tuliwekewa tu tangazo Whatsapp tujiunge wenyewe. Mimi binafsi niliona simple nikajiunga nikaona mchezo...
Back
Top Bottom