Search results

  1. DIDAS TUMAINI

    SANAMU LA ASKARI, POSTA

    Picha cha ya kwanza ni mwamba wa kuitwa KAVIRONDO. Mwamba ndiye aliyepiga picha iliyotumika kutengeneza lile sanamu la posta. Jina lake 'kavirondo' limebeba asili ya makabila ya kibantu kutokea magharibi ya kenya (waluya na wakisii). Yaliyokuwa yakiishi katika utawala wa ukoloni wa mwingereza...
  2. DIDAS TUMAINI

    Nchi ya Dominican ndio nchi pekee duniani inayomruhusu mtu kutoa talaka bila kumpa taarifa mwenzi wake

    Mwaka 1994, Mwamba wa kuitwa Gabriel alikutana na mrembo Christina katika party moja huko jijini New York, Marekani. Walipendana na wakaamua kuoana, ingawa Gabriel alimzidi umri christina kwa miaka 30. Hata hivyo waliishi kwenye ndoa yenye furaha na upendo wa kila aina. Miaka 20 baadae...
  3. DIDAS TUMAINI

    Referee Camera (RefCam)

    Mwamuzi wa ligi kuu ya nchini Uingereza, Jarred Gillett atakuwa mwamuzi wa kwanza wa Premier League kuvaa kamera ya video yenye kichwa wakati wa mchezo kati ya Crystal Palace na Manchester United usiku wa leo. Pia, Gillett atavaa kifaa kilichowekwa kichwani ambacho kimeunganishwa kwenye mfumo...
  4. DIDAS TUMAINI

    Uhasama wa Everton na Liverpool ulianzia hapa

    Kulikuwa na timu iliyoitwa Everton kutoka kitongoji cha Merseyside cha jiji la Liverpool nchini England. Timu hii ilikuwa ikitumia uwanja wa Anfield, uliokuwa ukimilikiwa na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu hiyo, John Houlding, mfanyabiashara mkubwa wa Freemason kutoka jiji la...
  5. DIDAS TUMAINI

    Je, wajua utofauti wa England, Great Britain na United Kingdom (UK)?

    Wengi huwa wanapata shida kujua utofauti wa haya maneno hususan pale unaponunua bidhaa na kukuta nyingine imeandikwa 'Made in UK, nyingine 'Made in England' nyingine 'Made in Great Britain'. Sasa utofauti wake ni huu hapa, ungana nami Didas Tumaini nikujuze. ✅ England England au kwa kiswahili...
  6. DIDAS TUMAINI

    Je, ni sheria kila mkazi wa Dar kulipa hela ya taka?

    Wakuu salamu, Naomba kujuzwa, hivi ni sheria kuwa kila mkazi wa dar kulipa hela ya taka kwenye eneo lake la biashara hata kama biashara yako haizalishi taka? Kumekuwa na tendency ya wakusanya taka kutoza hela kwa kila mwananchi hata kama kwa mwezi huo hawakuzoa taka kwenye eneo lake. Je, ni...
  7. DIDAS TUMAINI

    Je, wajua hili kuhusu kumbukumbu ya kifo cha Rais Mwinyi?

    JE WAJUA? Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea... Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌 R.IP Rais Mwinyi
  8. DIDAS TUMAINI

    Atapata PhD akiwa na miaka 102

    Mhitimu wa miaka 95 ,David Marjot, kutoka Weybridge, Surrey Uingereza, sasa anatafakari kuisaka PhD, ambayo itamweka chuoni hadi atakapofikisha miaka 102 baada ya kufamikiwa kuhitimu shahada ya uzamili (MA) katika Chuo Kikuu cha Kingston. David ni Daktari mstaafu wa magonjwa ya akili, na...
  9. DIDAS TUMAINI

    Ijue Asili ya jina Taifa Stars

    Majira ya saa mbili usiku wa leo, timu yetu ya taifa, Taifa Stars, itakuwa na kibarua dhidi ya Morocco kwenye AFCON. Wakati tunaisubiri mechi hiyo muhimu, si vibaya tukafahamu asili ya jina la TAIFA STARS. Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Paul West Guivaha, ndiye aliyetunga jina la timu...
  10. DIDAS TUMAINI

    Ipi ni tofauti ya mwili, nafsi na roho?

    Naomba kujua utofauti na uhusiano wa Mwili, Nafsi na Roho. Vipo wapi na vinatendaje kazi katika mwili wa mwanadamu. Nawasilisha.
  11. DIDAS TUMAINI

    Mwanariadha wa zamani wa Olimpiki Oscar Pistorius aachiliwa huru

    Mwanariadha wa zamani wa Olimpiki Oscar Pistorius ameachiliwa kwa msamaha kutoka jela nchini Afrika Kusini, baada ya kuwa kifungoni kwa takriban miaka 11 baada ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Pistorius alihukumiwa kwenda jela baada ya kumpiga risasi nyingi mpenzi wake kupitia mlango wa...
  12. DIDAS TUMAINI

    Historia: Upasuaji wa Kwanza wa Moyo wafanyika Duniani

    SIKU KAMA YA LEO Mwaka 1967 kwa mara ya Kwanza Daktari Christiaan Barnard kutoka nchini Afrika Kusini aliandika historia ya Kuhamisha Moyo wa Binadamu kwenda kwa mwingine (human to human heart transplant) hii ilikuwa haijawahi tokea duniani. Tukio hili lilifanyika Mjini Cape Town katika...
  13. DIDAS TUMAINI

    Siku kama ya Leo mwaka 1804 huko Ufaransa bwana Napoleon Bonaparte alijivika Taji kama Kaisari wa Ufaransa

    Siku kama ya Leo mwaka 1804 huko Ufaransa bwana Napoleon Bonaparte alijivika Taji kama Kaisari wa Ufaransa. Mwaka uliofuata akapewa pia Taji la Mfalme wa Italia. Vita ya Mapinduzi yake dhidi ya familia ya Kifalme, Huhesabika kama moja ya matukio 10 makuu ya Kihistoria Ulaya. Mwaka 1805...
  14. DIDAS TUMAINI

    Je, kuna uhusiano kati ya tairi za ndege na injini?

    Magurudumu (Tairi) za ndege hazina kiunganisho wala husiano na injini za ndege iwe Pangaboi au Jeti. Gurudumu huzunguka huru kama toroli au au kiti cha kusukuma "wheel chair" isipokuwa tu zimefungwa mifumo ya breki, mifumo wa kona na mifumo ya 'hydraulic' ya kuvuta tairi ndani au kutoa nje kwa...
  15. DIDAS TUMAINI

    Huyu ndio Mzee Kingunge

    Pichani ni Mzee Kingunge Ngombale Mwiru na Mke wake Peras Kingunge Enzi za Ujana wao. Duru za historia zinasema Kingunge alikuwa muumini mzuri sana wa dini ya kikristu na wakati anasoma alisoma seminari, baadae alikuja kuhitilafiana na dini kutokana na misimamo yake ya kukinzana na misingi ya...
  16. DIDAS TUMAINI

    Je, wajua hili kuhusu Zidane?

    Katika michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2006 nchini Ujerumani, mechi kati ya Ufaransa na Korea kusini iliisha kwa sare ya 1-1. Mechi hii ilichezwa katika uwanja wa timu ya RB Leipzing (Leipzing Arena) timu inayoshiriki ligi kuu nchini Ujerumani Bundesliga. Kitendo cha timu ya Ufaransa kutoa...
  17. DIDAS TUMAINI

    Sina la kuwadai viongozi wa Simba

    Katika msimu ambao mimi kama shabiki wa simba nimeridhishwa na usajili wa club yetu, tena kiufundi na kwa quality players basi ni msimu huu.Management imejitahidi sana kusajili kwa kuangalia mahitaji ya timu na umri. Simba imesajili wachezaji waliofanya vizuri kwenye ligi zao.Kilichobaki tu ni...
  18. DIDAS TUMAINI

    Unatakiwa kufanya nini ikiwa nyaya za umeme zitaanguka karibu yako?

    Ukiwa unatembea na nyaya za umeme zikaanguka karibu yako kitu cha kwanza unatakiwa usimame acha kutembea, Ruka juu na utue kwa miguu yote, endelea kuruka kwa miguu yote hadi angalau ufike umbali wa mita 50 ndo uanze kutembea kawaida, unafanya hivyo kwaajili ya concept inayoitwa Step potential...
  19. DIDAS TUMAINI

    Naomba yeyote mwenye uwezo wa kuniunganisha na NGO yoyote ile Tanzania

    Wakuu salamu. Naomba yeyote mwenye uwezo wa kuniunganisha na NGO yoyote ile TANZANIA kwajili ya kupata kazi, please naomba anisaidie. Nina Bachelor degree in statistics and research Mawasiliano yangu ni 0712778881
  20. DIDAS TUMAINI

    Ofisi ya Rais, mamlaka ya bandari -TPA; kuweni smart kidogo

    Dunia inashuhudia maendeleo makubwa ya kiteknolojia lakini serikali ya Tanzania na taasisi zake bado ipo nyuma sana. Kitu kinachoitwa e-governance kwa nchi yangu hii bado ni ndoto itakayotimia baadae sana. Yawezekana kuna sababu kadhaa ya kubaki nyuma lakini kubwa ni kukosa utayari au niseme tu...
Back
Top Bottom