DIDAS TUMAINI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 238
- 659
Wakuu salamu,
Naomba kujuzwa, hivi ni sheria kuwa kila mkazi wa dar kulipa hela ya taka kwenye eneo lake la biashara hata kama biashara yako haizalishi taka?
Kumekuwa na tendency ya wakusanya taka kutoza hela kwa kila mwananchi hata kama kwa mwezi huo hawakuzoa taka kwenye eneo lake.
Je, ni lazima kutoa hiyo hela au ni hadi pale watakapokuwa wamezoa taka?