Recent content by DIDAS TUMAINI

  1. DIDAS TUMAINI

    Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

    Kwann wasitengeneze za kwao? Kwanini wasinunue kwa kaka yao urusi au china? Wameweza kumudu gharama za drones inakuaje washindwe kwenye helicopter tena ya rais?
  2. DIDAS TUMAINI

    Rais wa Iran, Ebrahim Raisi na Waziri wa Mambo ya Nje wafariki dunia kufuatia ajali ya Helikopta

    Ya zamani sana🤣🤣🤣.... wabongo bwana kila kitu wajuaji!
  3. DIDAS TUMAINI

    SANAMU LA ASKARI, POSTA

    Picha cha ya kwanza ni mwamba wa kuitwa KAVIRONDO. Mwamba ndiye aliyepiga picha iliyotumika kutengeneza lile sanamu la posta. Jina lake 'kavirondo' limebeba asili ya makabila ya kibantu kutokea magharibi ya kenya (waluya na wakisii). Yaliyokuwa yakiishi katika utawala wa ukoloni wa mwingereza...
  4. DIDAS TUMAINI

    Nchi ya Dominican ndio nchi pekee duniani inayomruhusu mtu kutoa talaka bila kumpa taarifa mwenzi wake

    Mwaka 1994, Mwamba wa kuitwa Gabriel alikutana na mrembo Christina katika party moja huko jijini New York, Marekani. Walipendana na wakaamua kuoana, ingawa Gabriel alimzidi umri christina kwa miaka 30. Hata hivyo waliishi kwenye ndoa yenye furaha na upendo wa kila aina. Miaka 20 baadae...
  5. DIDAS TUMAINI

    Referee Camera (RefCam)

    Mwamuzi wa ligi kuu ya nchini Uingereza, Jarred Gillett atakuwa mwamuzi wa kwanza wa Premier League kuvaa kamera ya video yenye kichwa wakati wa mchezo kati ya Crystal Palace na Manchester United usiku wa leo. Pia, Gillett atavaa kifaa kilichowekwa kichwani ambacho kimeunganishwa kwenye mfumo...
  6. DIDAS TUMAINI

    Uhasama wa Everton na Liverpool ulianzia hapa

    Kulikuwa na timu iliyoitwa Everton kutoka kitongoji cha Merseyside cha jiji la Liverpool nchini England. Timu hii ilikuwa ikitumia uwanja wa Anfield, uliokuwa ukimilikiwa na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu hiyo, John Houlding, mfanyabiashara mkubwa wa Freemason kutoka jiji la...
  7. DIDAS TUMAINI

    Je, wajua utofauti wa England, Great Britain na United Kingdom (UK)?

    Wengi huwa wanapata shida kujua utofauti wa haya maneno hususan pale unaponunua bidhaa na kukuta nyingine imeandikwa 'Made in UK, nyingine 'Made in England' nyingine 'Made in Great Britain'. Sasa utofauti wake ni huu hapa, ungana nami Didas Tumaini nikujuze. ✅ England England au kwa kiswahili...
  8. DIDAS TUMAINI

    Je, ni sheria kila mkazi wa Dar kulipa hela ya taka?

    Wakuu salamu, Naomba kujuzwa, hivi ni sheria kuwa kila mkazi wa dar kulipa hela ya taka kwenye eneo lake la biashara hata kama biashara yako haizalishi taka? Kumekuwa na tendency ya wakusanya taka kutoza hela kwa kila mwananchi hata kama kwa mwezi huo hawakuzoa taka kwenye eneo lake. Je, ni...
  9. DIDAS TUMAINI

    LIVE Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130

    Watu wasiopungua 40 wanahofiwa kufariki dunia kufuatia shambulio la bunduki kweye ukumbi mmoja karibu na Moscow, vyombo vya habari vya Urusi vimeripoti. Watu wasiopungua wanne waliovalia nguo za kijeshi wamefyatua risasi kwenye ukumbi wa Crocus City uliopo Krasnogorsk. BBC imethibitisha video...
  10. DIDAS TUMAINI

    Wakatoliki mnakwama wapi kwenye media?

    Radio maria inatosha
  11. DIDAS TUMAINI

    Je, wajua hili kuhusu kumbukumbu ya kifo cha Rais Mwinyi?

    JE WAJUA? Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea... Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌 R.IP Rais Mwinyi
  12. DIDAS TUMAINI

    Atapata PhD akiwa na miaka 102

    Mhitimu wa miaka 95 ,David Marjot, kutoka Weybridge, Surrey Uingereza, sasa anatafakari kuisaka PhD, ambayo itamweka chuoni hadi atakapofikisha miaka 102 baada ya kufamikiwa kuhitimu shahada ya uzamili (MA) katika Chuo Kikuu cha Kingston. David ni Daktari mstaafu wa magonjwa ya akili, na...
  13. DIDAS TUMAINI

    Mfahamu Jenny Joseph, Star wa logo ya Kampuni ya Filamu ya Columbia Pictures

    Mrembo kwenye hiyo logo anaitwa Jenny Joseph (28). Mnamo 1992, Kampuni ya "Columbia Pictures" iliamua kubadilisha tena nembo (logo) yake kutoka ile ya awali. Ikumbukwe kuwa hapo awali kulishakuwa na logo nyingi zilizotumika. Safari hii walitaka kuwa na logo ya kisasa na yenye kubeba historia ya...
Back
Top Bottom